Tukundane
JF-Expert Member
- Apr 17, 2012
- 11,993
- 9,212
Kilichofanya Hama's kuivamia Israel oktoba 7 ni katika msululu uleule wa waarabu kulipa visasi ni kama vile Iran walivyolipa kisasi kwa kuishambulia Israel kwa ndege 300 bada ya Israel kupiga ubalozi wa Iran na kuwaua makamanda wa Iran nchini Syria kitendo ambacho kilitafusiliwa na Iran kuwa ni sawa na kuishambulia nchi ya Iran.Ushaishiwa hoja.
Hao Gaza si aliwalipiza kisasi cha Oktoba 7?
Mbona Iran hawezi?