Ndege za jeshi la Israel lashambulia jirani na ubalozi wa Iran Damascus Syria, naibu kamanda kikosi cha Jeshi Quds la iran auawa

Zayuni na mashambulizi yake ya kigaidi.

Iran kavumilia sana , tena kwa miaka mingi makamanda wake kuuawa kila mara na jeshi la Israel.

Aende akarushe hata jiwe hapo Tehran aone muziki wake.

Sasa hivi anabehave kama mhuni fulani hivi.
 
Kiufupi ni kuwa
serikali ya Iran ni ya kigaidi. Israel kwa akili kubwa inawapiga viongozi wa Iran kama mfugaji wa kuku anavyokula kuku kwa utaratibu kutoka bandani kwake.
 
Tehran alishatindua kama hujui waulize Hamas kiongozi wao mkuu aliuliwa wapi watakupa jibu.
Umelewa ama tukupe chai ya asali ukate pombe!?
Kifo cha kiongozi wa Hamas ndio kimelipizwa mwezi huu wiki iliyopita.
Je Israel amejibu mashambulizi ya Iran ya wiki iliyopita!?
 
Umelewa ama tukupe chai ya asali ukate pombe!?
Kifo cha kiongozi wa Hamas ndio kimelipizwa mwezi huu wiki iliyopita.
Je Israel amejibu mashambulizi ya Iran ya wiki iliyopita!?
Cha msingi alishatindua Tehran.
 
Cha msingi Iran kamshikisha adabu.
Tunataka aguse tena Iran kama yeye MWANAUME.
Kidume karusha makombora nchini mwake tunataka na yeye alipize.
Kazi ya Israel siyo kulipiza kisasi,ni kutindua kwanza na kuwaachia wenye kazi ya kulipa kisasi waendelee na visasi vyao.
 
Ushaishiwa hoja.
Hao Gaza si aliwalipiza kisasi cha Oktoba 7?
Mbona Iran hawezi?
Tulia we ngedere Israel kazi yake sio kulipiza kisasi ni kupasua halafu vidagaa ndio vinalipiza kisasi sababu Israel ni taifa teule la mungu dunia nzima Hilo tunalijua
 
Tofauti nikwamba Iran inashambulia kwa makombora mengi mfululizo na hayaleti madhara makubwa, ila Israel ikishambulia ndio hivyo inalenga sehemu na madhara yanakuwa makubwa
Iran hawakusudii kuuwa watu wao wanapiga miundombinu ya kijeshi
 
Sasa uliona wapi kambi za Hamas, wao popote wanaweka silaha na kuvurumisha maroketi katikati ya raia
Sio kweli na ushahidi ni baadhi ya mateka ambao waliwahi kuwaachilia walipohojiwa walisema Hamas ni watu wazuri hawakuwahi kuteswa na walipewa chakula pia wakifurahi na kucheza na watoto wao. Kama kuna roketi ilianguka kwa raia ni kwa bahati mbaya sana
 
na iran hawezi kufanya chochote kwa sababu bado amelala chini anasubiri achapwe kiboko chake. hapo ndipo israel alipomwekea mtego na kumtesa kisaikolojia. israel sasa yupo huru kufanya chochote na iran hawezi kusema wala kuleta chokochoko, kwani hadi sasa ana kesi anayotakiwa kupigwa viboko ndio mambo mengine yaendelee.
 
Mambo makubwa ya Yom Kippur, tarehe 11 hadi 12 October 2024 kwa masaa 25 yanafanyika mambo ya kiimani ya ndani kwa Wayahudi wote, kisha kurudi kutekeleza mambo mengine ya kidunia bila hasira wala mihemuko

Yom Kippur 2024​

Fasting times, prayer schedules, and customs for the holiest day in the Jewish calendar.​

By ILH Staff

Published on 10-10-2024 09:30
Last modified: 10-10-2024 17:04


The shofar blowing on Yom Kippur is one of the central moments of the holy day, symbolizing the end of the fast and the conclusion of the Day of Judgment | Photo: Mark Neyman
 
Ni pale mbongo akiwatetea magaidi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…