Ndege za Jeshi la Tanzania zilizobakia

Hii thread ilishafungwa tokea tukio la amboni Tanga.. nadhani kila mtu sasa anaelewa uwezo wetu...

tulifanikiwa kuua nyani wanne.. that is the best we could do..
 

Hilo neno hapo juu kwenye maelezo yako inatosha kufahamu kuwa wewe si Mtanzania.
 

Kumbe unaelewa idadi na aina ya silaha, unataka ujue nini sasa? Wafuasi wa Kagame mna tabu sana
 


Uwanja wa Ndege Kigoma.... Kitu VIP nimeipenda.... Nchi ina miaka zaidi ya 50 ya uhuru bora Mkoloni

Miaka 50ya uhuru ni michache sana , hao tunaojilinganisha nao wanajitawala kwa miaka 3000!
 
msijipe moyo kiivo... vitu vingine viko wazi tu kwa mfano kama tungekuwa na meli za kivita si tungeziona zikiwa baharini au nazo zimefichwa kwenye kambi za kijeshi...

Zimefichwa katika mahandaki mkuu
 
Swali la mleta mada ni valid. Tatizo waTz mmeaminishwa vizuri havionekani kumbe wajanja wanawaibia kiulaini huku mkiamini kuna ndege zimefichwa.

Hata kama hawataki kuonyesha silaha zenye uwezo zaidi basi wangeweka za kawaida lakini za kisasa. Kuonyesha hayo ma helicopter ya miaka ya 80 kunachora picha halisi ya jinsi jeshi letu lilivyochoka
 
 
Endelea kuamini kuwa tuna vindege hivyo, chokoza au vamia Sirali, horohoro, mtukula au mbalizi utaona mpaka midege yenye gurudum moja mamakeeeeeee!
 
Nitarudi kuangalia uelekeo wa hii mada.
 
Kumbe unaelewa idadi na aina ya silaha, unataka ujue nini sasa? Wafuasi wa Kagame mna tabu sana

Kagame Katokea wapi Tena? Nchi Imeoza Hii
 
Kakojoe ulale, usiku mkubwa huu, angalia post ni ya.lini na muda huo kulikua na tukio gani.

Huko ulipo pengine ni Usiku... huku ndio bado Kweupe
 
Hii thread ilishafungwa tokea tukio la amboni Tanga.. nadhani kila mtu sasa anaelewa uwezo wetu...

tulifanikiwa kuua nyani wanne.. that is the best we could do..

Dah...!
 
kama ni kweli hizi silaha ndo zipo basi hakika shabab wametuzidi
 
Chagua Lowasa na Chadema tufufue TZ. CCM imeua nchi.
 
Chagua Lowasa na Chadema tufufue TZ. CCM imeua nchi.

Leo Lowasa amekuwa masihi baada ya kuwa angepaswa kuwa mahakamani au jela kwa ufisadi kama mlivyotuaminisha...
Wonder shall never ends...
 
THE TOP TEN STRONGEST ARMY IN AFRICA
1) South Africa ( South Africa has the most powerful army in africa; it has more harmful weapons than any other country in Africa; it is the only African country that was trying to create the Nuclear weapon but was stopped by the US.
2) Egypt
3) Nigeria
4) Libya
5) Morocco
6) Sudan
7) Ghana
8) Tanzania ( Tanzania has the most powerful army in east africa, The Tanzania Peoples' Defence Force (TPDF) ( Swahili: Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ))
9) Uganda
10) Kenya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…