Ndege za Tanzania zapigwa marufuku kutua viwanja vya Kenya kutokana na janga la Corona

Nyani acheka kundu la mwenziwe!!!!
 

Inajulikana wazi kuwa kingozi wetu wa zamani amekufa kifo kinachoashiria COVID 19. Sasa acheni Kenya wajilinde. Sisi hatupimi na hatufuatilii wagonjwa.

Mtu mkubwa kafa with unknown clinical observations and case definition. Unategemea nini. Nkurunzinza ameondoka hapo Burundi ilikuwa hivyo hivyo, baadae sisi. Na ndio maana msibani hawakufika wanajua kinachoendelea hapa kwetu.
 
Babu yako kafa juzi. Sababu unaijua? Na kilichowazuia kuja kuzika unakijua. Think critically. Wana lumumba bwana, pumba tupu
 
Sasa mbona Wakenya ndio wataoathirika,KQ anafanya safari mara 5 kiwanja cha Jnia kwa siku,anaenda pia Zenj na KIA...mkwara mbuzi tu huo soon ataufyata na samahani ataomba...
 
Yaani mtu mwenye umri mkubwa kama mzee mkapa leo hii inakuwa ajabu kufariki,basi itakuwa ni corona tu.

Huu wimbo umekosa radha hata hao viongozi wenu wameamua kuachana nao,nyumbu bado mnaimba tu.
 
Kicheko cha kinafiki. South kwenyewe hali tete sembuse Tz
 
Kwan lazima Ndege zetu kutia kwao. Wasitutishe SISI Ni sovereign state
 
Hapo ulipo umevaa barakoa?? Katika mtaa wako au majirani umesikia vifo vingapi?! Kazini kwako wamekufa wangapi? Mmlipompokea huyo TK mlivaa barakoa?!

Bila kupinga maelezo yako mazuri yenye wingi wa busara, je kuvaa barakoa ndio kipimo kuwa ugonjwa upo au kutokuwepo? Ukimwi bado upo, je watu wote wanavaa condum? Ww kila wiki unazika mtu kwa ukimwi, au huko mtaani kwenu kumejaa wagonjwa wa ukimwi? Je kutokufuata masharti ya kupambana na ugonjwa fulani, hiyo ni dalili kuwa ugonjwa huo haupo? Kutokutoa taarifa za idadi ya wagonjwa, hiyo ndio inaondoa ukweli wa hali halisi ya ugonjwa?
 
Kwan lazima Ndege zetu kutia kwao. Wasitutishe SISI Ni sovereign state

Kwasababu za ushindani wa siasa za kipuuzi sio lazima. Ila kwa sababu za kibiashara ni lazima.
 
Wee jua tu kuwa nchi zako zote zimepigwa ban kutua Kenya kuanzia hiyo ya uhamishoni hadi hii ya nyumbani.
Uzuri hatuna time nao!
Watakapopata akili waataachia wenyewe.
 
Huna hoja, ila una ubishi wa kitoto.

Direct flight za kuja Tz zipo na nimekutajia, na pia mashirika makubwa tu ya ndege yanafanya safari zao kuja Tz. sasa sijui unataka kitu gani tena.
Anataka mpaka ziwe zinafika hadi Kenya,!

Wataz utawaweza? Wanataka tuinyenyekee hata Kenya kapuku mwenzetu tu huyu hapa EAC! yani beberu tumnyenyekee na Kenya nayo tuinyenyekee
 
Teh. .. sasa kwani mimi niliandika nini kabla? si hivyo hivyo?... Wanatoa vyetu kuwaaminisha hizo nchi wanazokwenda kama Tz hakuna corona.
Very funny! Kuaminisha nchi zipi wakati madereva wakifika hata hizi nchi jirani wanapimwa tena kwa sababu no one trusts TZ testing?!
Na ni kweli Tz hakuna corona, kama una amini tofauti na hivyo leta uthibitisho.
Tuachane na KE, ambao hamkawii kusema kwamba KE wanataka kutuhujumu... twende kwa jirani yetu mwingine ambae tunafanya nae biashara:-
Kama Tanzania HAKUNA Covid-19, how come 6 drivers from TZ, out of 15 walikutwa na Covid-19 walipofanyiwa testing Uganda?!

Ni mara ngapi madereva kutoka TZ wamekuwa wakizuiwa mipakani baada ya kuwa tested Covid-19 Positive hata baaada ya serikali kuacha kutoka updates?!

Wakati mkiendelea kuleta mizaha, madereva ni % ndogo sana ya Watanzania wote lakini kutoka kwenye hiyo % ndogo, mara kwa mara wamekuwa wakiridishwa mipakani baada ya kuonekana +Ve! What about the entire population?
 
Kwasababu za ushindani wa siasa za kipuuzi sio lazima. Ila kwa sababu za kibiashara ni lazima.
Tangia wafunge mipaka Yao kipindi chote Cha Corona, Tanzania imeathirikaje kiuchumi
 
Usiwe mpumbavu! Yani Mkapa afe kwa corona alafu system iruhusu viongozi wakuu wakae kihasara namna ile ikiwemo kumkumbatia mjane?
 
Kwanini ukimwi hautufanyi tupanic kama ilivyo kwa corona maana matokeo yanaonekana ni sawa?
 
Huna hoja, ila una ubishi wa kitoto.

Direct flight za kuja Tz zipo na nimekutajia, na pia mashirika makubwa tu ya ndege yanafanya safari zao kuja Tz. sasa sijui unataka kitu gani tena.
Hivi nimekuambia hakuna direct flights?!

Unaelewa mtu anaposema direct flights?! Ina maana unajifanya hujui au ni kweli hujui kwamba kutoka Tanzania kwenda nchi nyingi tu duniani mtu unalazimika kwenda kupanda ndege Nairobi, au kuondoka Dar hadi Addis Ababa kisha kule ndo unabadilisha ndege?!

Acheni kuleta ushabiki... Jomo Kenyatta ina routes nyingi zaidi za kimataifa na direct routes than JNIA na KIA combined!!
 

Kwa hiyo kupitia hiyo tweet ndio tayari una amini kwamba corona ipo Tanzania? Mimi nimekwambia ugonjwa sio kitu cha kuficha leta updates hospital iliyo jirani na wewe wamelazwa watu wangapi na vifo vingapi vimetokea. Simple tu mkuu.

Nadhani umeona heka heka ya huo uigonjwa kwa hizo nchi nyingine jinsi hospitali zimejaaa na vifo vinatokea. Sasa kwa Tanzania hali iko vipi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…