Sudan Kusini wamo?Kwa Afrika Mashariki tupo Tanzania na Burundi! Hahahahahaaa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sudan Kusini wamo?Kwa Afrika Mashariki tupo Tanzania na Burundi! Hahahahahaaa
Nyani acheka kundu la mwenziwe!!!!Hahahaha wakenya wana hangaika sana haahaha hivi wanafikiri ugonjwa unafichwa?hahahaha tuna watakia kila la kheri hahahaha!
Kenya wanaumia sana kuona Tanzania wanaendelea na shughuli zao kama kawaida hahahha jamani kila mtu apambane na hali yake ugonjwa haufichiki!
Tunawatakia kila la kheri!
Ama kwa hakika mambo si shwari. Naona ndege za Tanzania nazo zimeanza kupata hitilafu kama ile ya Kenya
---
Akizungumza jijini Nairobi wakati akitoa taarifa kuhusu mwendendo wa maambukizi ya janga la Covid-19 nchini Kenya, Waziri wa Usafirishaji James Macharia amesema kuwa anga la Kenya halitafunguliwa kwa kila mtu. Orodha ikionesha wazi Tanzania ikiwa si mmoja wa nchi inayokaribishwa kwenye anga ya Kenya.
Macharia amesema ni raia wa nchi 11 pekee wa kigeni ndio watakaoruhusiwa kutua Kenya katika viwanja vyake vinne vya kimataifa vilivyopo Nairobi, Mombasa, Eldoret na Kisumu.
Nchi zilizoruhusiwa ni China, Korea Kusini, Japan, Canada, Zimbabwe, Ethiopia, Switzerland, Uganda, Rwanda, Namibia na Morocco.
Waziri huyo amesema nchi hizo zimedhibiti janga la Covid- 19 kwa kiasi cha kuridhidha.
Amesema nchi hizo zimepunguza maambukizi ya ugonjwa huo na raia wake wamekuwa wakipata dalili za kawaida za ugonjwa wa mfumo wa upumuaji.
''Tutaendelea kuboresha orodha yetu kwa kutegemea na hali ilivyo na mazingira. Hii ni orodha yetu kwa leo tutaipitia tena kesho na siku zinazokuja.''
''Abiria wote watakaowasili kwa ndege za kimataifa wakiwa na hati zinazoonesha kuwa hawana dalili za Covid-19 na wale waliopima saa 96 kabla ya safari hawatakaa karantini,'' alisema.
Mara tu orodha ilipotolewa, Wakenya kwa haraka waligundua kuwa Tanzania haimo.
Siku ya Jumatatu tarehe 27 mwezi Julai, Rais Uhuru Kenyatta alitoa kauli ambayo haikuilenga Tanzania moja kwa moja kuwa Kenya haifichi idadi ya watu wenye maambukizi ya Covid-19.
''Sisi tuko wazi na tunajua fika kuwa ugonjwa huu upo tofauti na majirani zetu ambao wanauficha ukweli huu,'' alisema Rais Kenyatta.
Chanzo: BBC
Babu yako kafa juzi. Sababu unaijua? Na kilichowazuia kuja kuzika unakijua. Think critically. Wana lumumba bwana, pumba tupuHahahaha wakenya wana hangaika sana haahaha hivi wanafikiri ugonjwa unafichwa?hahahaha tuna watakia kila la kheri hahahaha!
Kenya wanaumia sana kuona Tanzania wanaendelea na shughuli zao kama kawaida hahahha jamani kila mtu apambane na hali yake ugonjwa haufichiki!
Tunawatakia kila la kheri!
Yaani mtu mwenye umri mkubwa kama mzee mkapa leo hii inakuwa ajabu kufariki,basi itakuwa ni corona tu.Inajulikana wazi kuwa kingozi wetu wa zamani amekufa kifo kinachoashiria COVID 19. Sasa acheni Kenya wajilinde. Sisi hatupimi na hatufuatilii wagonjwa.
Mtu mkubwa kafa with unknown clinical observations and case definition. Unategemea nini. Nkurunzinza ameondoka hapo Burundi ilikuwa hivyo hivyo, baadae sisi. Na ndio maana msibani hawakufika wanajua kinachoendelea hapa kwetu.
Kicheko cha kinafiki. South kwenyewe hali tete sembuse TzHahahaha wakenya wana hangaika sana haahaha hivi wanafikiri ugonjwa unafichwa?hahahaha tuna watakia kila la kheri hahahaha!
Kenya wanaumia sana kuona Tanzania wanaendelea na shughuli zao kama kawaida hahahha jamani kila mtu apambane na hali yake ugonjwa haufichiki!
Tunawatakia kila la kheri!
Hapo ulipo umevaa barakoa?? Katika mtaa wako au majirani umesikia vifo vingapi?! Kazini kwako wamekufa wangapi? Mmlipompokea huyo TK mlivaa barakoa?!
Kwan lazima Ndege zetu kutia kwao. Wasitutishe SISI Ni sovereign state
Uzuri hatuna time nao!Wee jua tu kuwa nchi zako zote zimepigwa ban kutua Kenya kuanzia hiyo ya uhamishoni hadi hii ya nyumbani.
Nchi 11 (Nchi zilizoruhusiwa ni China, Korea Kusini, Japan, Canada, Zimbabwe, Ethiopia, Switzerland, Uganda, Rwanda, Namibia na Morocco.)
Tanzania haimo katika orodha ya nchi ambazo ndege zake zitatua Kenya - BBC News Swahili
Sent using Jamii Forums mobile app
Anataka mpaka ziwe zinafika hadi Kenya,!Huna hoja, ila una ubishi wa kitoto.
Direct flight za kuja Tz zipo na nimekutajia, na pia mashirika makubwa tu ya ndege yanafanya safari zao kuja Tz. sasa sijui unataka kitu gani tena.
Very funny! Kuaminisha nchi zipi wakati madereva wakifika hata hizi nchi jirani wanapimwa tena kwa sababu no one trusts TZ testing?!Teh. .. sasa kwani mimi niliandika nini kabla? si hivyo hivyo?... Wanatoa vyetu kuwaaminisha hizo nchi wanazokwenda kama Tz hakuna corona.
Tuachane na KE, ambao hamkawii kusema kwamba KE wanataka kutuhujumu... twende kwa jirani yetu mwingine ambae tunafanya nae biashara:-Na ni kweli Tz hakuna corona, kama una amini tofauti na hivyo leta uthibitisho.
Tangia wafunge mipaka Yao kipindi chote Cha Corona, Tanzania imeathirikaje kiuchumiKwasababu za ushindani wa siasa za kipuuzi sio lazima. Ila kwa sababu za kibiashara ni lazima.
Usiwe mpumbavu! Yani Mkapa afe kwa corona alafu system iruhusu viongozi wakuu wakae kihasara namna ile ikiwemo kumkumbatia mjane?Inajulikana wazi kuwa kingozi wetu wa zamani amekufa kifo kinachoashiria COVID 19. Sasa acheni Kenya wajilinde. Sisi hatupimi na hatufuatilii wagonjwa.
Mtu mkubwa kafa with unknown clinical observations and case definition. Unategemea nini. Nkurunzinza ameondoka hapo Burundi ilikuwa hivyo hivyo, baadae sisi. Na ndio maana msibani hawakufika wanajua kinachoendelea hapa kwetu.
Kwanini ukimwi hautufanyi tupanic kama ilivyo kwa corona maana matokeo yanaonekana ni sawa?Bila kupinga maelezo yako mazuri yenye wingi wa busara, je kuvaa barakoa ndio kipimo kuwa ugonjwa upo au kutokuwepo? Ukimwi bado upo, je watu wote wanavaa condum? Ww kila wiki unazika mtu kwa ukimwi, au huko mtaani kwenu kumejaa wagonjwa wa ukimwi? Je kutokufuata masharti ya kupambana na ugonjwa fulani, hiyo ni dalili kuwa ugonjwa huo haupo? Kutokutoa taarifa za idadi ya wagonjwa, hiyo ndio inaondoa ukweli wa hali halisi ya ugonjwa?
Hivi nimekuambia hakuna direct flights?!Huna hoja, ila una ubishi wa kitoto.
Direct flight za kuja Tz zipo na nimekutajia, na pia mashirika makubwa tu ya ndege yanafanya safari zao kuja Tz. sasa sijui unataka kitu gani tena.
Very funny! Kuaminisha nchi zipi wakati madereva wakifika hata hizi nchi jirani wanapimwa tena kwa sababu no one trusts TZ testing?!
Tuachane na KE, ambao hamkawii kusema kwamba KE wanataka kutuhujumu... twende kwa jirani yetu mwingine ambae tunafanya nae biashara:-
Kama Tanzania HAKUNA Covid-19, how come 6 drivers from TZ, out of 15 walikutwa na Covid-19 walipofanyiwa testing Uganda?!
Ni mara ngapi madereva kutoka TZ wamekuwa wakizuiwa mipakani baada ya kuwa tested Covid-19 Positive hata baaada ya serikali kuacha kutoka updates?!
Wakati mkiendelea kuleta mizaha, madereva ni % ndogo sana ya Watanzania wote lakini kutoka kwenye hiyo % ndogo, mara kwa mara wamekuwa wakiridishwa mipakani baada ya kuonekana +Ve! What about the entire population?