Ndege za Tanzania zapigwa marufuku kutua viwanja vya Kenya kutokana na janga la Corona

Tutaenda kwa miguu tu si kuna njia za panya sio lazima kupanda ndege
 

Kenya ndio wanaruka mara 9 hadi 10 kwa siku kuja Tanzania kuliko sisi, yaani sisi hatuna flight za ATCL kwenda Kenya.. Kwa hiyo, Kenya ndio wajifungie wao wenyewe, sisi hatuendagi kwao kwa ndege zetu, wao ndio wanatuhitaji sisi, hivyo sisi hatuna corona wao ndio wana wagonjwa maelfu, hivyo Kenya Airways hakuna kutia mguu huku. Nyang'au hali mbaya wameji quarantine na bado corona inazidi kusambaa kwao, sisi tuko free hakuna corona, nyang'au roho inawauma sanaa
 
Kwanini ukimwi hautufanyi tupanic kama ilivyo kwa corona maana matokeo yanaonekana ni sawa?

Tumekwishauzoea ukwimi hivyo hamna kupanic tena. Panic huwa inatokea mwanzoni mwa tatizo fulani, likishaenea unaishi nalo.
 
Unaifahamu vyema biashara ya utalii, na ni kwa jinsi gani Kenya ni gateway ya watalii hapa nchini? Napenda nifahamu kama unajua hilo ili tuwe na uelewa wa pamoja. Isije ikawa unaongozwa na uzalendo academia na sio facts.

Nani kakwambia kwamba kenya ni gateway ya utalii ukanda huu? Tourism hub ni Tanzania. Kenya what they do ni kupiga propaganda tu mtandaoni na kiingereza chao kingi.

Ni sawa na wewe ujiite mbobevu, haimaanishi kwamba ndio utakuwa mbobevu kweli katika jamii nzima. Ila ni vile tu umeamua kujiita hivyo.
 
Kwa taarifa yako Wakenya tukifunga mpaka wao ndiyo wataathirika sana. Kama hujui wamekuwa wakiwadanganya wazungu hasa wamarekani sehemu nyingi za utalii za Tanzania kuwa zipo Kenya ikiwemo Mt. Kiljmanjaro, Serengeti, Ngorogoro, Oldvai etc. Sehemu hizo ndizo zimekuwa zikiwaingizia watalii sana ikiwemo Tanzanite. Sasa tukifunga mipaka imekula kwao na uongo wao!
 
Lazima Bwana yule atalipiza tena muda sio mrefu.
Siyo kulipiza, bali ni kumuunga mkono. Kenya imesema watanzania wasiende kenya. Ni busara kuwaunga mkono kwa kutokwenda lakini na wao wasije.

Ni hivi, wakija wataambukizwa corona waipeleke kenya. Njia sahihi ni kila mmoja kubaki kwake na virusi vyake.
 

Seems you know nothing about this tourism industry, that's why you came up with this conclusion. Pole, hapa unachosaka ni ushindi wa ubishani wa mtaani.
 

Wao wakatae tu tena wamefanya vizuri manake naamini wao ndiyo wangetetea maambukizi. Nashukuru Pande zote za Tanzania hakuna anaeugua kovid tangu vyuo vikuu vifunguliwebhakuna alaiyeripotiwa kufa kwa kovid pia shule za misingi pamoja sekondari.

Mungu endelea Kuibariki Tanzania tuepushe na hawa wanafiki[emoji1545]
 
Seems you know nothing about this tourism industry, that's why you came up with this conclusion. Pole, hapa unachosaka ni ushindi wa ubishani wa mtaani.

I have more than 15yrs in tourism industry and hospitality, what do you have in this sector?

kenya kwenye utalii haiwezi kusimama yenyewe wala kuwa na sauti bila kuitaja TZ. na pia KQ ndio iliwabeba sana maana inashirikiana na mashirika makubwa hivyo watalii wanapitia kenya sababu hiyo.
 
Watashindana nasi lakini hawatatuweza lipo jambo linakuja watatamani kukimbilia huku.
 
USA wao wanapambana kumaliza janga, siyo kama sisi tunaoamini katika miujiza ya kijinga!
We k, nani mjinga? Anayeliwa na corona na hajifunzi njia ya kupambana nayo au aliyeamini la kuamini na corona imepungua?

Tanzania ingezidiwa na corona hakuna mpumbavu angebaki Dar, au asivae barakoa na kupita mitaani kufanya kazi zake. Lazima watu wangekimbikia vijijini au kuvaa barakia au kunifungia ndani.

Kuwepo watu wengi mtaani ni ishara kuwa hakuna tishio la corona.

Hatuhitaji kuagua au kupima watu kujua kama corona imepungua. Watu kufanya kazi zao za kila siku wakishirikiana ni ishara tosha.

Wakenya tafuteni suluhisho dhidi ya janga badala ya kumsingizia jirani. Haiwezekani wewe ukiumwa na jirani naye lazima aumwe.
 
Mwaka huu na kwa hasira hizi, mpaka mama Samia naye atatumbuliwa.
Hiyo orodha Ina nchi ngapi?
Vizuri sana na issue Kenya tu. Na wadau wengine watangaze tunataka ziruke hapahapa ndani kwani tumezinunua kwa pesa ya ndaniπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Wee jua tu kuwa nchi zako zote zimepigwa ban kutua Kenya kuanzia hiyo ya uhamishoni hadi hii ya nyumbani.
Hii inaitwa jino kwa jino
kama mbwai na iwe mbwai
Kama USA Nayo haipo sioni tatizo....
Kwa Afrika Mashariki tupo Tanzania na Burundi! Hahahahahaaa
Kuna zile zinazotoka Tanzania kupitia Kenya mkuu. Nazo zimepigwa ban vilevile
Lazima Bwana yule atalipiza tena muda sio mrefu.
Wakenya wanafiki tu hapo wanatufanyia kwa vita ya utalii tu na si lolote, japo hili picha ni la kutisha, nahofu sana huko mbeleni nahisi dunia itatutenga!
 
Unaifahamu vyema biashara ya utalii, na ni kwa jinsi gani Kenya ni gateway ya watalii hapa nchini? Napenda nifahamu kama unajua hilo ili tuwe na uelewa wa pamoja. Isije ikawa unaongozwa na uzalendo academia na sio facts.
Watalii wengi wa TZ wanakuja na mashirika ya KLM, Ethiopian Airline, Emerate, Dubai Air etc ambayo yana direct flights to KIA Airport na yote hayo yalishaanzisha safari kuja TZ. Sasa hawa Kunyaland wanatutisha nini wakati walishajaribu kuzuia Shuttle Bus zetu kwenda kuchukua watalii pale JKIA lakini hawakufaulu baada ya kuona KLM imeanzisha direct flights from Amsterdam to KIA then DAR and Back to Amsterdam hapo awali ilikuwa inateremka Nairobi then KIA. Kwa taarifa yako hawatubabaishi kabisa na kuhakikishia tukifunga mipaka na Kenya tutapata watalii wengi zaidi kwa kuwa hata hao wanaanzia Kenya lakini destinations zao nyingi zinakuwa TZ kupanda Mt. Kilimanjaro, kuona pia Ngorongoro, Serengeti na Zanzibar pia. Tulipowabana kwenye madini ya Tanzanite na Dhahabu sasa wanapumulia mipira!!
 
Hata kama. Tatizo la corona kenya na Tz wapi kubwa? Wametumwa na bwana zao. Ila itakula kwao. Nashauri serikali iwaambie wasije kwetu wakaambukizwa corona. Wabaki kwao na sisi tubaki kwetu.
Tuone kama watatoa kinyesi
 
Hakuna takwimu za corona Tanzania. Watu wanafanya maamuzi kwa takwimu. Isitoshe hakuna ndege ya Tanzania inayosafiri kwenda Kenya. Ndege gani zimepigwa marufuku, sasa? Acha kushabikia ugomvi ambao hauna maana.
Hata kama. Tatizo la corona kenya na Tz wapi kubwa? Wametumwa na bwana zao. Ila itakula kwao. Nashauri serikali iwaambie wasije kwetu wakaambukizwa corona. Wabaki kwao na sisi tubaki kwetu.
Tuone kama watatoa kinyesi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…