Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ama kwa hakika mambo si shwari. Naona ndege za Tanzania nazo zimeanza kupata hitilafu kama ile ya Kenya
---
Akizungumza jijini Nairobi wakati akitoa taarifa kuhusu mwendendo wa maambukizi ya janga la Covid-19 nchini Kenya, Waziri wa Usafirishaji James Macharia amesema kuwa anga la Kenya halitafunguliwa kwa kila mtu. Orodha ikionesha wazi Tanzania ikiwa si mmoja wa nchi inayokaribishwa kwenye anga ya Kenya.
Macharia amesema ni raia wa nchi 11 pekee wa kigeni ndio watakaoruhusiwa kutua Kenya katika viwanja vyake vinne vya kimataifa vilivyopo Nairobi, Mombasa, Eldoret na Kisumu.
Nchi zilizoruhusiwa ni China, Korea Kusini, Japan, Canada, Zimbabwe, Ethiopia, Switzerland, Uganda, Rwanda, Namibia na Morocco.
Waziri huyo amesema nchi hizo zimedhibiti janga la Covid- 19 kwa kiasi cha kuridhidha.
Amesema nchi hizo zimepunguza maambukizi ya ugonjwa huo na raia wake wamekuwa wakipata dalili za kawaida za ugonjwa wa mfumo wa upumuaji.
''Tutaendelea kuboresha orodha yetu kwa kutegemea na hali ilivyo na mazingira. Hii ni orodha yetu kwa leo tutaipitia tena kesho na siku zinazokuja.''
''Abiria wote watakaowasili kwa ndege za kimataifa wakiwa na hati zinazoonesha kuwa hawana dalili za Covid-19 na wale waliopima saa 96 kabla ya safari hawatakaa karantini,'' alisema.
Mara tu orodha ilipotolewa, Wakenya kwa haraka waligundua kuwa Tanzania haimo.
Siku ya Jumatatu tarehe 27 mwezi Julai, Rais Uhuru Kenyatta alitoa kauli ambayo haikuilenga Tanzania moja kwa moja kuwa Kenya haifichi idadi ya watu wenye maambukizi ya Covid-19.
''Sisi tuko wazi na tunajua fika kuwa ugonjwa huu upo tofauti na majirani zetu ambao wanauficha ukweli huu,'' alisema Rais Kenyatta.
Chanzo: BBC
Kwanini ukimwi hautufanyi tupanic kama ilivyo kwa corona maana matokeo yanaonekana ni sawa?
Unaifahamu vyema biashara ya utalii, na ni kwa jinsi gani Kenya ni gateway ya watalii hapa nchini? Napenda nifahamu kama unajua hilo ili tuwe na uelewa wa pamoja. Isije ikawa unaongozwa na uzalendo academia na sio facts.
Kwa taarifa yako Wakenya tukifunga mpaka wao ndiyo wataathirika sana. Kama hujui wamekuwa wakiwadanganya wazungu hasa wamarekani sehemu nyingi za utalii za Tanzania kuwa zipo Kenya ikiwemo Mt. Kiljmanjaro, Serengeti, Ngorogoro, Oldvai etc. Sehemu hizo ndizo zimekuwa zikiwaingizia watalii sana ikiwemo Tanzanite. Sasa tukifunga mipaka imekula kwao na uongo wao!Kenya hauwezi kunyooshwa na Tanzania kwa lolote lile hata pamoja na kutokuwapo gonjwa la Covid-19. Kiwanja world class anachosema huyu mjinga hakishindani kwa lolote na Kenyatta International Airport cha Nairobi jiji lenye hotel za kitalii za kimataifa nyingi kuliko zilizopo Tanzania nzima. Mombasa mahoteli karibu yote ya kitalii ufukweni ni ya kimataifa na madege yanayoleta watalii kwenye mji huo karibu yote ni Charter tu. Ule Uwanja wa kimataifa wa Eldoret ni kwa ndege za mizigo tu. JNIA cha Dar chenye uwezo wa kusafirisha abiria milioni 5 tu kwa mwaka kwenye nchi yenye watu milioni 60 ni kakiwanja kadogo sana kangefaa kuwa Chato au Mwanza.
Siyo kulipiza, bali ni kumuunga mkono. Kenya imesema watanzania wasiende kenya. Ni busara kuwaunga mkono kwa kutokwenda lakini na wao wasije.Lazima Bwana yule atalipiza tena muda sio mrefu.
Nani kakwambia kwamba kenya ni gateway ya utalii ukanda huu? Tourism hub ni Tanzania. Kenya what they do ni kupiga propaganda tu mtandaoni na kiingereza chao kingi.
Ni sawa na wewe ujiite mbobevu, haimaanishi kwamba ndio utakuwa mbobevu kweli katika jamii nzima. Ila ni vile tu umeamua kujiita hivyo.
Ama kwa hakika mambo si shwari. Naona ndege za Tanzania nazo zimeanza kupata hitilafu kama ile ya Kenya
---
Akizungumza jijini Nairobi wakati akitoa taarifa kuhusu mwendendo wa maambukizi ya janga la Covid-19 nchini Kenya, Waziri wa Usafirishaji James Macharia amesema kuwa anga la Kenya halitafunguliwa kwa kila mtu. Orodha ikionesha wazi Tanzania ikiwa si mmoja wa nchi inayokaribishwa kwenye anga ya Kenya.
Macharia amesema ni raia wa nchi 11 pekee wa kigeni ndio watakaoruhusiwa kutua Kenya katika viwanja vyake vinne vya kimataifa vilivyopo Nairobi, Mombasa, Eldoret na Kisumu.
Nchi zilizoruhusiwa ni China, Korea Kusini, Japan, Canada, Zimbabwe, Ethiopia, Switzerland, Uganda, Rwanda, Namibia na Morocco.
Waziri huyo amesema nchi hizo zimedhibiti janga la Covid- 19 kwa kiasi cha kuridhidha.
Amesema nchi hizo zimepunguza maambukizi ya ugonjwa huo na raia wake wamekuwa wakipata dalili za kawaida za ugonjwa wa mfumo wa upumuaji.
''Tutaendelea kuboresha orodha yetu kwa kutegemea na hali ilivyo na mazingira. Hii ni orodha yetu kwa leo tutaipitia tena kesho na siku zinazokuja.''
''Abiria wote watakaowasili kwa ndege za kimataifa wakiwa na hati zinazoonesha kuwa hawana dalili za Covid-19 na wale waliopima saa 96 kabla ya safari hawatakaa karantini,'' alisema.
Mara tu orodha ilipotolewa, Wakenya kwa haraka waligundua kuwa Tanzania haimo.
Siku ya Jumatatu tarehe 27 mwezi Julai, Rais Uhuru Kenyatta alitoa kauli ambayo haikuilenga Tanzania moja kwa moja kuwa Kenya haifichi idadi ya watu wenye maambukizi ya Covid-19.
''Sisi tuko wazi na tunajua fika kuwa ugonjwa huu upo tofauti na majirani zetu ambao wanauficha ukweli huu,'' alisema Rais Kenyatta.
Chanzo: BBC
Seems you know nothing about this tourism industry, that's why you came up with this conclusion. Pole, hapa unachosaka ni ushindi wa ubishani wa mtaani.
Watashindana nasi lakini hawatatuweza lipo jambo linakuja watatamani kukimbilia huku.Ama kwa hakika mambo si shwari. Naona ndege za Tanzania nazo zimeanza kupata hitilafu kama ile ya Kenya
---
Akizungumza jijini Nairobi wakati akitoa taarifa kuhusu mwendendo wa maambukizi ya janga la Covid-19 nchini Kenya, Waziri wa Usafirishaji James Macharia amesema kuwa anga la Kenya halitafunguliwa kwa kila mtu. Orodha ikionesha wazi Tanzania ikiwa si mmoja wa nchi inayokaribishwa kwenye anga ya Kenya.
Macharia amesema ni raia wa nchi 11 pekee wa kigeni ndio watakaoruhusiwa kutua Kenya katika viwanja vyake vinne vya kimataifa vilivyopo Nairobi, Mombasa, Eldoret na Kisumu.
Nchi zilizoruhusiwa ni China, Korea Kusini, Japan, Canada, Zimbabwe, Ethiopia, Switzerland, Uganda, Rwanda, Namibia na Morocco.
Waziri huyo amesema nchi hizo zimedhibiti janga la Covid- 19 kwa kiasi cha kuridhidha.
Amesema nchi hizo zimepunguza maambukizi ya ugonjwa huo na raia wake wamekuwa wakipata dalili za kawaida za ugonjwa wa mfumo wa upumuaji.
''Tutaendelea kuboresha orodha yetu kwa kutegemea na hali ilivyo na mazingira. Hii ni orodha yetu kwa leo tutaipitia tena kesho na siku zinazokuja.''
''Abiria wote watakaowasili kwa ndege za kimataifa wakiwa na hati zinazoonesha kuwa hawana dalili za Covid-19 na wale waliopima saa 96 kabla ya safari hawatakaa karantini,'' alisema.
Mara tu orodha ilipotolewa, Wakenya kwa haraka waligundua kuwa Tanzania haimo.
Siku ya Jumatatu tarehe 27 mwezi Julai, Rais Uhuru Kenyatta alitoa kauli ambayo haikuilenga Tanzania moja kwa moja kuwa Kenya haifichi idadi ya watu wenye maambukizi ya Covid-19.
''Sisi tuko wazi na tunajua fika kuwa ugonjwa huu upo tofauti na majirani zetu ambao wanauficha ukweli huu,'' alisema Rais Kenyatta.
Chanzo: BBC
Learn to appreciate little you haveKampuni yao kubwa sio kama hizi daladala zetu ambazo hazifikii idadi ya ndege alizokuwa amenunua Idd Amin Dada miaka ya 1970 huko Uganda.
We k, nani mjinga? Anayeliwa na corona na hajifunzi njia ya kupambana nayo au aliyeamini la kuamini na corona imepungua?USA wao wanapambana kumaliza janga, siyo kama sisi tunaoamini katika miujiza ya kijinga!
Ama kwa hakika mambo si shwari. Naona ndege za Tanzania nazo zimeanza kupata hitilafu kama ile ya Kenya
---
Akizungumza jijini Nairobi wakati akitoa taarifa kuhusu mwendendo wa maambukizi ya janga la Covid-19 nchini Kenya, Waziri wa Usafirishaji James Macharia amesema kuwa anga la Kenya halitafunguliwa kwa kila mtu. Orodha ikionesha wazi Tanzania ikiwa si mmoja wa nchi inayokaribishwa kwenye anga ya Kenya.
Macharia amesema ni raia wa nchi 11 pekee wa kigeni ndio watakaoruhusiwa kutua Kenya katika viwanja vyake vinne vya kimataifa vilivyopo Nairobi, Mombasa, Eldoret na Kisumu.
Nchi zilizoruhusiwa ni China, Korea Kusini, Japan, Canada, Zimbabwe, Ethiopia, Switzerland, Uganda, Rwanda, Namibia na Morocco.
Waziri huyo amesema nchi hizo zimedhibiti janga la Covid- 19 kwa kiasi cha kuridhidha.
Amesema nchi hizo zimepunguza maambukizi ya ugonjwa huo na raia wake wamekuwa wakipata dalili za kawaida za ugonjwa wa mfumo wa upumuaji.
''Tutaendelea kuboresha orodha yetu kwa kutegemea na hali ilivyo na mazingira. Hii ni orodha yetu kwa leo tutaipitia tena kesho na siku zinazokuja.''
''Abiria wote watakaowasili kwa ndege za kimataifa wakiwa na hati zinazoonesha kuwa hawana dalili za Covid-19 na wale waliopima saa 96 kabla ya safari hawatakaa karantini,'' alisema.
Mara tu orodha ilipotolewa, Wakenya kwa haraka waligundua kuwa Tanzania haimo.
Siku ya Jumatatu tarehe 27 mwezi Julai, Rais Uhuru Kenyatta alitoa kauli ambayo haikuilenga Tanzania moja kwa moja kuwa Kenya haifichi idadi ya watu wenye maambukizi ya Covid-19.
''Sisi tuko wazi na tunajua fika kuwa ugonjwa huu upo tofauti na majirani zetu ambao wanauficha ukweli huu,'' alisema Rais Kenyatta.
Chanzo: BBC
Hiyo orodha Ina nchi ngapi?
Vizuri sana na issue Kenya tu. Na wadau wengine watangaze tunataka ziruke hapahapa ndani kwani tumezinunua kwa pesa ya ndani😂😂😂😂😂😂😂😂
Wee jua tu kuwa nchi zako zote zimepigwa ban kutua Kenya kuanzia hiyo ya uhamishoni hadi hii ya nyumbani.
Hii inaitwa jino kwa jino
kama mbwai na iwe mbwai
Kama USA Nayo haipo sioni tatizo....
Kwa Afrika Mashariki tupo Tanzania na Burundi! Hahahahahaaa
Kuna zile zinazotoka Tanzania kupitia Kenya mkuu. Nazo zimepigwa ban vilevile
Jibu ni moja tu,ndege zenyewe kwa ujumla hakuna faida zipo kama mapambo tu na moja ya sababu tumekosa kiongozi katika hili.
Note!!
Li-Sun-Likali jana katimba stendi ya Ifakara akwaambia waliokuwa wapiga kura wake:Jamani samahanini sikujua kama hawa jamaa wako hivi,
Raia mmoja akamwambia hukuwa unawajua?Nilikupa pilipiki na laki 7 zikusaidie kwenye kampeni hukunrudishia hata jero leo unakuja kuzingua
Hahahaha wakenya wana hangaika sana haahaha hivi wanafikiri ugonjwa unafichwa?hahahaha tuna watakia kila la kheri hahahaha!
Kenya wanaumia sana kuona Tanzania wanaendelea na shughuli zao kama kawaida hahahha jamani kila mtu apambane na hali yake ugonjwa haufichiki!
Tunawatakia kila la kheri!
Lazima Bwana yule atalipiza tena muda sio mrefu.
Wakenya wanafiki tu hapo wanatufanyia kwa vita ya utalii tu na si lolote, japo hili picha ni la kutisha, nahofu sana huko mbeleni nahisi dunia itatutenga!
sasa wao siwameamua kukumbatia ugonjwa kwa ajili ya misaada shauri yo bwanaTatizo liliopo ni kuwa sisi ugonjwa hatuna. We are a Corona free country na hivyo wanatuonea gere tu.
Watalii wengi wa TZ wanakuja na mashirika ya KLM, Ethiopian Airline, Emerate, Dubai Air etc ambayo yana direct flights to KIA Airport na yote hayo yalishaanzisha safari kuja TZ. Sasa hawa Kunyaland wanatutisha nini wakati walishajaribu kuzuia Shuttle Bus zetu kwenda kuchukua watalii pale JKIA lakini hawakufaulu baada ya kuona KLM imeanzisha direct flights from Amsterdam to KIA then DAR and Back to Amsterdam hapo awali ilikuwa inateremka Nairobi then KIA. Kwa taarifa yako hawatubabaishi kabisa na kuhakikishia tukifunga mipaka na Kenya tutapata watalii wengi zaidi kwa kuwa hata hao wanaanzia Kenya lakini destinations zao nyingi zinakuwa TZ kupanda Mt. Kilimanjaro, kuona pia Ngorongoro, Serengeti na Zanzibar pia. Tulipowabana kwenye madini ya Tanzanite na Dhahabu sasa wanapumulia mipira!!Unaifahamu vyema biashara ya utalii, na ni kwa jinsi gani Kenya ni gateway ya watalii hapa nchini? Napenda nifahamu kama unajua hilo ili tuwe na uelewa wa pamoja. Isije ikawa unaongozwa na uzalendo academia na sio facts.
Watalipata njaaaa itawapiga muda si mrefuWakenya wanatutafutia nini hawa
Ova
Hata kama. Tatizo la corona kenya na Tz wapi kubwa? Wametumwa na bwana zao. Ila itakula kwao. Nashauri serikali iwaambie wasije kwetu wakaambukizwa corona. Wabaki kwao na sisi tubaki kwetu.Heading ya post yako iko exaggerated na ni chonganishi. Kenya haijapiga marufuku nchi fulani fulani. Ila Kenya itaanza kufungua anga lake tarehe 1 August 2020 kwa kuruhusu nchi 11 kwanza ambazo kwa takwimu zimeonekana kuwa zina maaambukizi kidogo. Sasa kupiga marufuku ndege za Tanzania kuna kuja vipi hapa? Dunia ina nchi kama 200 hivi. Katika hizo Kenya imeruhusu 11 tu kwa vigezo fulani. Sasa kupiga marufuku Tanzania kunaingiaje hapa. Tuache uchonganishi... Katika hali ya sasa, kila nchi ina sovereignty ya kufanya kile inachoona kinalinda afya za watu wake.
Hata kama. Tatizo la corona kenya na Tz wapi kubwa? Wametumwa na bwana zao. Ila itakula kwao. Nashauri serikali iwaambie wasije kwetu wakaambukizwa corona. Wabaki kwao na sisi tubaki kwetu.
Tuone kama watatoa kinyesi