Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kunyaland hawatubabaishi kwenye malori mbona walinyoosha mkono!!? Waendelee na Covid-19 yao sisi mbona tumeshasahau kama kuna Covid-19Ama kwa hakika mambo si shwari. Naona ndege za Tanzania nazo zimeanza kupata hitilafu kama ile ya Kenya
---
Akizungumza jijini Nairobi wakati akitoa taarifa kuhusu mwendendo wa maambukizi ya janga la Covid-19 nchini Kenya, Waziri wa Usafirishaji James Macharia amesema kuwa anga la Kenya halitafunguliwa kwa kila mtu. Orodha ikionesha wazi Tanzania ikiwa si mmoja wa nchi inayokaribishwa kwenye anga ya Kenya.
Macharia amesema ni raia wa nchi 11 pekee wa kigeni ndio watakaoruhusiwa kutua Kenya katika viwanja vyake vinne vya kimataifa vilivyopo Nairobi, Mombasa, Eldoret na Kisumu.
Nchi zilizoruhusiwa ni China, Korea Kusini, Japan, Canada, Zimbabwe, Ethiopia, Switzerland, Uganda, Rwanda, Namibia na Morocco.
Waziri huyo amesema nchi hizo zimedhibiti janga la Covid- 19 kwa kiasi cha kuridhidha.
Amesema nchi hizo zimepunguza maambukizi ya ugonjwa huo na raia wake wamekuwa wakipata dalili za kawaida za ugonjwa wa mfumo wa upumuaji.
''Tutaendelea kuboresha orodha yetu kwa kutegemea na hali ilivyo na mazingira. Hii ni orodha yetu kwa leo tutaipitia tena kesho na siku zinazokuja.''
''Abiria wote watakaowasili kwa ndege za kimataifa wakiwa na hati zinazoonesha kuwa hawana dalili za Covid-19 na wale waliopima saa 96 kabla ya safari hawatakaa karantini,'' alisema.
Mara tu orodha ilipotolewa, Wakenya kwa haraka waligundua kuwa Tanzania haimo.
Siku ya Jumatatu tarehe 27 mwezi Julai, Rais Uhuru Kenyatta alitoa kauli ambayo haikuilenga Tanzania moja kwa moja kuwa Kenya haifichi idadi ya watu wenye maambukizi ya Covid-19.
''Sisi tuko wazi na tunajua fika kuwa ugonjwa huu upo tofauti na majirani zetu ambao wanauficha ukweli huu,'' alisema Rais Kenyatta.
Chanzo: BBC
Mlishasema sana tu lakini tunadunda tu!Unajua tatizo la upumuaji linavyoattack wazee? Alafu nimekubali mimi kwako kuwa mpumbavu sababu hunijui. COVID 19 mliipakaa kule Dodoma kwenye kongamano lenu mnaloliita uchaguzi kama mlivyopakaa kipindi cha kuzindua TBC ARIDHIO. Kuna siku mtajua kuwa tu hamjui na mtatukuta huku.
We jamaa tangu April ukionaga story za Corona unashupaza shingo sana. Ulikomaa na lockdown weeeee mpaka ukajiona mjinga. Shule zimefunguliwa tangu July mpaka leo shwari tu. Mmebaki mnaokoteza maneno tu. Last week watu wamejaa uwanja wa Mkapa kumuaga Ila hakuna cha mlipuko wa COVID19 wala nini., Mmejazana airport kumpokea Lissu na hakuna cha COVID19 wala nini. Bado unakomaa na Corona tu????, Huonagi aibu mkuu?.. Tanzania hakuna Corona, kama mnaipenda sana CORONA si muhamie huko KENYA??Wangetokea kutupigia debe kuwa Tanzania is a Corona free country mngeshangilia sana na kuona hiyo ndiyo sawa haswa?
Kwani kwa kuukimbia ukweli au kuuficha ugonjwa huu kutasaidia au kumesaidia nini kutuepusha nao?
Tunamwona Kenya tu? Yuko wapi aliyestufia au hata kutambua tu jitihada zetu hizo kwenye kupambana na huu ugonjwa?
Yuko wapi hata mmoja anayepiga nyungu kama sisi kwamba tumemvutia?
Kwamba mchawi ni Kenya? Tusitafute visingizio, mchawi anafahamika, anajijua na yuko baina yetu.
Mengine haya ni kelele za vyura tu.
Ama kwa hakika mambo si shwari. Naona ndege za Tanzania nazo zimeanza kupata hitilafu kama ile ya Kenya
---
Akizungumza jijini Nairobi wakati akitoa taarifa kuhusu mwendendo wa maambukizi ya janga la Covid-19 nchini Kenya, Waziri wa Usafirishaji James Macharia amesema kuwa anga la Kenya halitafunguliwa kwa kila mtu. Orodha ikionesha wazi Tanzania ikiwa si mmoja wa nchi inayokaribishwa kwenye anga ya Kenya.
Macharia amesema ni raia wa nchi 11 pekee wa kigeni ndio watakaoruhusiwa kutua Kenya katika viwanja vyake vinne vya kimataifa vilivyopo Nairobi, Mombasa, Eldoret na Kisumu.
Nchi zilizoruhusiwa ni China, Korea Kusini, Japan, Canada, Zimbabwe, Ethiopia, Switzerland, Uganda, Rwanda, Namibia na Morocco.
Waziri huyo amesema nchi hizo zimedhibiti janga la Covid- 19 kwa kiasi cha kuridhidha.
Amesema nchi hizo zimepunguza maambukizi ya ugonjwa huo na raia wake wamekuwa wakipata dalili za kawaida za ugonjwa wa mfumo wa upumuaji.
''Tutaendelea kuboresha orodha yetu kwa kutegemea na hali ilivyo na mazingira. Hii ni orodha yetu kwa leo tutaipitia tena kesho na siku zinazokuja.''
''Abiria wote watakaowasili kwa ndege za kimataifa wakiwa na hati zinazoonesha kuwa hawana dalili za Covid-19 na wale waliopima saa 96 kabla ya safari hawatakaa karantini,'' alisema.
Mara tu orodha ilipotolewa, Wakenya kwa haraka waligundua kuwa Tanzania haimo.
Siku ya Jumatatu tarehe 27 mwezi Julai, Rais Uhuru Kenyatta alitoa kauli ambayo haikuilenga Tanzania moja kwa moja kuwa Kenya haifichi idadi ya watu wenye maambukizi ya Covid-19.
''Sisi tuko wazi na tunajua fika kuwa ugonjwa huu upo tofauti na majirani zetu ambao wanauficha ukweli huu,'' alisema Rais Kenyatta.
Chanzo: BBC
Wewe nyang'ao tuliza mshono! Mtanyooka tu kama mlivyonyooka kwenye malori. By the way mashirika mangapi ya TZ yanayoenda Kenya kama siyo Precision Air tu ambayo KQ wana share?Hao watalii umewaona wapi mkuu? Hayo matangazo unayosikia ungeona uhalisia wake pengine ungefunguka akili.
Jamaa mshenzi sana!Kamanda Twambie huo ugonjwa Tanzania uko wapi? Hahahahahhaha au kuna ndugu yako anaumwa?
Nimekwambia utumie common sense, nimekuuliza Mkapa angekuwa na Corona wangeruhusu mtu Kama Kikwete aonane nae waongee ana kwa ana zaidi ya saa 1 siku 1 kabla hajafa??!??, Jibu hili swali, kama huwezi jibu hili swali ndo sababu ya kukuita MPUMBAVU, sihitaji kukujua ndo nitambue upeo wako wa kufikiri. Michango yako tu humu inaonyesha unachokiwaza.Unajua tatizo la upumuaji linavyoattack wazee? Alafu nimekubali mimi kwako kuwa mpumbavu sababu hunijui. COVID 19 mliipakaa kule Dodoma kwenye kongamano lenu mnaloliita uchaguzi kama mlivyopakaa kipindi cha kuzindua TBC ARIDHIO. Kuna siku mtajua kuwa tu hamjui na mtatukuta huku.
Ama kwa hakika mambo si shwari. Naona ndege za Tanzania nazo zimeanza kupata hitilafu kama ile ya Kenya
---
Akizungumza jijini Nairobi wakati akitoa taarifa kuhusu mwendendo wa maambukizi ya janga la Covid-19 nchini Kenya, Waziri wa Usafirishaji James Macharia amesema kuwa anga la Kenya halitafunguliwa kwa kila mtu. Orodha ikionesha wazi Tanzania ikiwa si mmoja wa nchi inayokaribishwa kwenye anga ya Kenya.
Macharia amesema ni raia wa nchi 11 pekee wa kigeni ndio watakaoruhusiwa kutua Kenya katika viwanja vyake vinne vya kimataifa vilivyopo Nairobi, Mombasa, Eldoret na Kisumu.
Nchi zilizoruhusiwa ni China, Korea Kusini, Japan, Canada, Zimbabwe, Ethiopia, Switzerland, Uganda, Rwanda, Namibia na Morocco.
Waziri huyo amesema nchi hizo zimedhibiti janga la Covid- 19 kwa kiasi cha kuridhidha.
Amesema nchi hizo zimepunguza maambukizi ya ugonjwa huo na raia wake wamekuwa wakipata dalili za kawaida za ugonjwa wa mfumo wa upumuaji.
''Tutaendelea kuboresha orodha yetu kwa kutegemea na hali ilivyo na mazingira. Hii ni orodha yetu kwa leo tutaipitia tena kesho na siku zinazokuja.''
''Abiria wote watakaowasili kwa ndege za kimataifa wakiwa na hati zinazoonesha kuwa hawana dalili za Covid-19 na wale waliopima saa 96 kabla ya safari hawatakaa karantini,'' alisema.
Mara tu orodha ilipotolewa, Wakenya kwa haraka waligundua kuwa Tanzania haimo.
Siku ya Jumatatu tarehe 27 mwezi Julai, Rais Uhuru Kenyatta alitoa kauli ambayo haikuilenga Tanzania moja kwa moja kuwa Kenya haifichi idadi ya watu wenye maambukizi ya Covid-19.
''Sisi tuko wazi na tunajua fika kuwa ugonjwa huu upo tofauti na majirani zetu ambao wanauficha ukweli huu,'' alisema Rais Kenyatta.
Chanzo: BBC
Kwa kupindisha maneno hamjambo sijaona zilipotajwa ndege za Tanzania bali ni nchi zilizoruhusiwa raia wa nchi 11,ungeandika basi hata kuwa Dar Exoress, Tahmid bus na mengine hayaruhusiwi kuingia KenyaAma kwa hakika mambo si shwari. Naona ndege za Tanzania nazo zimeanza kupata hitilafu kama ile ya Kenya
---
Akizungumza jijini Nairobi wakati akitoa taarifa kuhusu mwendendo wa maambukizi ya janga la Covid-19 nchini Kenya, Waziri wa Usafirishaji James Macharia amesema kuwa anga la Kenya halitafunguliwa kwa kila mtu. Orodha ikionesha wazi Tanzania ikiwa si mmoja wa nchi inayokaribishwa kwenye anga ya Kenya.
Macharia amesema ni raia wa nchi 11 pekee wa kigeni ndio watakaoruhusiwa kutua Kenya katika viwanja vyake vinne vya kimataifa vilivyopo Nairobi, Mombasa, Eldoret na Kisumu.
Nchi zilizoruhusiwa ni China, Korea Kusini, Japan, Canada, Zimbabwe, Ethiopia, Switzerland, Uganda, Rwanda, Namibia na Morocco.
Waziri huyo amesema nchi hizo zimedhibiti janga la Covid- 19 kwa kiasi cha kuridhidha.
Amesema nchi hizo zimepunguza maambukizi ya ugonjwa huo na raia wake wamekuwa wakipata dalili za kawaida za ugonjwa wa mfumo wa upumuaji.
''Tutaendelea kuboresha orodha yetu kwa kutegemea na hali ilivyo na mazingira. Hii ni orodha yetu kwa leo tutaipitia tena kesho na siku zinazokuja.''
''Abiria wote watakaowasili kwa ndege za kimataifa wakiwa na hati zinazoonesha kuwa hawana dalili za Covid-19 na wale waliopima saa 96 kabla ya safari hawatakaa karantini,'' alisema.
Mara tu orodha ilipotolewa, Wakenya kwa haraka waligundua kuwa Tanzania haimo.
Siku ya Jumatatu tarehe 27 mwezi Julai, Rais Uhuru Kenyatta alitoa kauli ambayo haikuilenga Tanzania moja kwa moja kuwa Kenya haifichi idadi ya watu wenye maambukizi ya Covid-19.
''Sisi tuko wazi na tunajua fika kuwa ugonjwa huu upo tofauti na majirani zetu ambao wanauficha ukweli huu,'' alisema Rais Kenyatta.
Chanzo: BBC
Tatizo la corona ni kwamba ukipima watu ndio utawakuta wanayo hiyo corona japo hawaugui kwa maana ni wazima kabisa,ndio hata Tz wakati ule tunapima watu basi case za waliyokuwa na corona ilikuwa inazidi tu japo watu hawaugui. Mfano humu kwenye nyumba za ibada mwanzoni walikuwa kidogo walikuwa wanazingatia masuala ya kuacha distance na kunawa mikono ila sasa kama humu misikitini hivyo vitu havipo tena hakuna kuachiana nafasi wala uzingatiaji wa kunawa mikono na sabuni.Katika kutumia common sense sasa ndio useme hali ya ugonjwa iko vipi hapa nchini. Yani watu wana ambiwa wakaugulie nyumbani? Hizo oksijeni wanafungiwa huko nyumbani?
Kuwa serious mkuu, unaielewa covid mziki wake vizuri kweli?
Hivi unaelewa wewe?! Kuna mahali nimesema corona imekoma hadi uhoji ina maana nasema nyungu imekomesha corona?Kwa hiyo kupiga nyungu ndio kumekomesha corona na kufanya watu wasilazwe kwa kushindwa kupumua sio? Hao wagonjwa wanaenda kuugulia nyumbani wakiwa katika stage gani sasa? Wewe binafsi umeshuhudia hayo? Ni wapi huko wanasema watu wakaugulie nyumbani mkuu? hii ni mpya kwangu.
Look at you! Eti Jomo Kenyatta ni maarufu kwa sababu ya KQ!! Sasa unatarajia JNIA imeipiku Jomo Kenyatta kwa sababu zipi?! Kwa ile dreamliner moja, au?!
Again, kwahiyo kama ndege mathalani ina direct route from Heathrow Airport to Jomo Kenyatta, hivi sasa itafuta hiyo route kwa sababu KQ zimepigwa ban kutua Tanzania?!
Kuhusu nani ataumia zaidi, whether you like it or not TZ ndo wataumia coz' Watalii wengi wataishia KE coz' KE kuna Tour Agents wengi zaidi compared to TZ, na wao wataongea lugha nyepesi tu: The COVID-19 Status in Tanzania is unknown kwa sababu serikali inaficha takwimu!!
Watalii wenyewe wakijaribu ku-verify kuhusu COVID-19 watakuta no data since May!!! So, unless kama mnadhani Watalii ni wajinga wa kuamini TZ hakuna COVID-19 kwa sababu mlifanya maombi na kupiga nyungu, then YES, Wataunga unga ndege hadi TZ bila kupitia KE!
Kenya hauwezi kunyooshwa na Tanzania kwa lolote lile hata pamoja na kutokuwapo gonjwa la Covid-19 na kuwa na ugonjwa wa moyo tu. Kiwanja world class anachosema huyu mjinga hakishindani kwa lolote na Kenyatta International Airport cha Nairobi jiji lenye hotel za kitalii za kimataifa nyingi kuliko zilizopo Tanzania nzima ikiwa ni pamoja na zile za Zanzibar we, Arusha mji muhimu Kanda ya utalii, ina hotel moja tu ya kimataifa iliyofinguliwa mwaka Jana zinazobaki ni Mangi Guest Houses. Mombasa mahoteli karibu yote ya kitalii ufukweni ni ya kimataifa na madege yanayoleta watalii kwenye mji huo karibu yote ni Charter tu. Ule Uwanja wa kimataifa wa Eldoret ni kwa ndege za mizigo tu sisi hata mbuzi zinasafirishwa kupitia 'world class' airports. JNIA cha Dar chenye uwezo wa kusafirisha abiria milioni 5 tu kwa mwaka kwenye nchi yenye watu milioni 60 ni kakiwanja kadogo sana kangefaa kuwa Chato au Mwanza.Wamechelewa, tuna world class airport sasa. Hivyo wasafiri wanaweza fanya booking za direct flights. Na mashirika makubwa ya ndege yamesha anza kufanya safari zake kuja Tz baada ya kuona hali ni shwari.. kenya will be in a loosing side hasa wale wageni wanaowadanganya wanashukia kenya bhas kutokea hapo kuingia TZ ndio watakapo nyooshwa. Watalegea tu mbona hao wakurupukaji.
Tangia wafunge mipaka Yao kipindi chote Cha Corona, Tanzania imeathirikaje kiuchumi
Inaonekana hata kutumia ndege hasa international flights hujawahi au mara chache sana umesafiri nje ya TZ. Unaposema direct flights from where to where? Hapa TZ kuna direct flights from Dar to Dubai, Amsterdam etc. ambako ndiko kwenye hub ya kwenda US na sehemu nyingine duniani. Sasa unaposema eti lazima uende Nairobi wakati kuna mashirika mengi tu yanayokuja Dar ya direct flights to those hubs mentioned above yakiwemo KLM, etc.Hivi nimekuambia hakuna direct flights?!
Unaelewa mtu anaposema direct flights?! Ina maana unajifanya hujui au ni kweli hujui kwamba kutoka Tanzania kwenda nchi nyingi tu duniani mtu unalazimika kwenda kupanda ndege Nairobi, au kuondoka Dar hadi Addis Ababa kisha kule ndo unabadilisha ndege?!
Acheni kuleta ushabiki... Jomo Kenyatta ina routes nyingi zaidi za kimataifa na direct routes than JNIA na KIA combined!!
Hivi unaelewa wewe?! Kuna mahali nimesema corona imekoma hadi uhoji ina maana nasema nyungu imekomesha corona?
Kama hawaugulii nyumbani, weka hapa coronavirus data! Hata ZERO Case na yenyewe ni Data! Mbona hutoi?! How come unasema hakuna corona wakati serikali imeacha kutoa data na kwa upande mwingine bado madereva wanarudishwa mipakani baada ya kuonekana +Ve?!
Narudia, June 26, Wizara ya Afya ya Uganda walisema:=
View attachment 1522674
Hizo ndo official data kutoka nchi ambazo HAZIDANGANYI watu wake!!! Na kama nilivyopata kusema miezi ya nyuma, kuficha takwimu ni bad move kwa sababu kila mmoja anafahamu COVID-19 ipo duniani kwahiyo no country would be judged kwa kuwa na cases nyingi, but countries will be judged by their level of transparency over the issue!!
Bora ya Shetani Unayemjua kuliko Malaika Usiyemjua! Hakuna mtu mwenye akili timamu anaweza kuamini eti TZ hakuna COVID-19 kwavile walifanya maombi!!! So, dunia bado itaendelea kuiona Tanzania kama nchi inayoficha tatizo!!
Stay blessed... endelea kuimba mapambio, am out!!
Direct flight from Heathrow To Jomo airport sawa itakuwepo ila from Jomo to Tz ndio hapo flight route za KQ zinatolewa. Halafu watalii sio wajinga kwamba utawadanganya tu kiuwepesi. Kumbuka hao watalii wana mawakala wao huku ambao ni raia wa huko kwao. Ndio ma leader kwenye msafara huo wa watalii. Hivyo hali ya TZ wanaijua vizuri wakiwa huko huko kwao.
Na hao ma Agents wa ke ndio itakuwa target sasa kwa bongo maana wao ndio wanaowadanganya watalii washukie ke, unadhani serikali ikiwaongezea kodi ma agent na watalii kutokea kenya bado watalii wata prefer kushukia kenya?
[emoji16][emoji16]mbona hujiamini!!!nimesema ni corona,maharage yametoka wapi sasa hapa!!!!Atakuwa alikula maharage mabichi yakaumuka tumboni. ndivyo unavyotaka sasa