Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
taa zimeangaza kwa manjonjo yote ? hahahaaaaView attachment 2578766
Ndege ya KLM kutoka Amsterdam imeshindwa kutua uwanja wa ndege wa KIA masaa machache yaliyopita na kusababisha watalii na watu wengine karibu 150 kushindwa kuingia nchini.
Ndege hiyo ililazimika kwenda kutua Entebbe ambako taa zilikuwa zinaangaza kwa manjonjo yote. Pamoja na watu wazima wengi ndege hiyo imebeba wamama wajawazito, watoto na wazee ambao sasa wanahangaika kutafuta usafiri wa haraka.
Haieleweki tatizo ni taa au umeme au upepo. Kuna watu wengine wamesikika wakilitaja Jina la yule Marehemu Mpendwa, wakionesha kusikitishwa na Tanzania kuzidiwa na umeme wa Jinja.
Hello Jack, how u been? It's been a whileNipo mkuu, naona kama wewe ndo umepotea zaidi.
Hapo itabidi watoe majibu wao wenyewe.
Dodoma Sasa Zinatua UsikuNA JANA TENA LIMESHINDWA KUTUA HII NI AIBU NA BADO KUNA MAJITU, YANA ROL V8 HUKU YANAPANGUSA I PHONE 14 KWENYE KITAMBI AMBACHO KIMEFUNIKWA NA SUTI MARIDADI KUTOKA ITALY. Mungu tunusuru na hizi aibu.
Hiyo picha hiyo!!
And not ArushaWhy Nairobi?
Arusha haikidhiAnd not Arusha
Hakuna tatizo linalojirudia, funguwa uzi wake mpya.Tatizo ni lile lile limejirudia. Watu waache kuhoji kwa nini?!
Watanzania siku hizi wanachat kimalkia😁😁😁😁Wanabodi, hii imetokea jioni hii, mpaka sasa ndege zimeshindwa kutua KIA, chanzo kikiwa kutokufanya kazi kwa taa za runway.
Precison iliyotoka Dar jioni hii imekua re routed to Nairobi as we speak, wameambiwa matengenezo might take up to 5 hours.
Wahusika changamkeni kurekebisha tatizo.
=======
UPDATES;
=======
Alipotafutwa kutoa ufafanuzi juu ya taarifa hiyo, Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Uendeshaji na Uendelezaji wa Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro wa Kia (KADCO), Christine Mwakatobe amesema amesikiliza swali kisha akasema yupo kikaoni na kukata simu.
Hata alipotafutwa baadaye kwa kupigiwa simu na kutumiwa ujumbe wa maandishi (SMS) hakutoa ushirikiano.
Mkurugenzi wa Idara ya Habari Maelezo na Msemaji Mkuu wa Serikali, Ndg. Gerson Msigwa, amethibitisha Taa za njia ya ndege zilizima kuanzia saa moja Usiku hadi saa tano Usiku kutokana na Mvua nyingi zinazoendelea kunyesha na kuathiri miundombinu.
Ndege iliyokuwa itue muda huo, ililazimika kwenda kutua Entebbe Nchini Uganda.
Hakuna abiria hata mmoja aliyetelekezwa na na Wote watarudi Tanzania.
Ameongeza Uwanja wa KIA baada ya kufanyiwa Marekebisho, kuanzia jana Usiku saa tano na nusu hadi sasa Uwanja unafanya kazi kama kawaida.
View attachment 2578583
View attachment 2578472View attachment 2578473View attachment 2578474View attachment 2578475