Ndege zilizotengenezwa na Watanzania kuanzia mwanzo hadi mwisho

Traxtion

JF-Expert Member
Joined
Dec 10, 2021
Posts
8,000
Reaction score
16,414
Kuna siku niliwahi kuandika mada humu kuhusu jinsi Tanzania ilivyo na magenius wengi, lakini hawavumi.

Haya, kuna ndege za Skyleader zimetengenezwa na vijana 13 wa Kitanzania kuanzia mwanzo hadi mwisho. Mind you, sio ku assemble bali ni kutengeneza ndege kabisa

Ila haoa kuna kitu kinanichanganya, nahisi Skyleader ni kampuni ya Kizungu, sasa sijaelewa kwa nini ndege zinatengenezwa na Wabongo tupu ila ndio hivyo, tuaweza kuruhusu nchi yetu kuongozwa na vilaza ila haimaanishi sisi wote ni vilaza

Ndio maana tunawashauri watu wafunge WiFi na DSTV tena walipie kifurushi cha Premium kabisa.

Aibu ndogo ndogo kama hizi ungeweza kujiepusha nazo maana ungeona hii project kwenye vipindi kama realty series shows. Tanzania sio inchi ya kwanza kufanyika hii project bali huko mataifa mengine kama hapo South Africa hawa wazungu walishakwenda na kuweka kambi kutengeneza hivi videge vidogo.
 
Aibu gani unaongelea ndugu
 
Kwahio wanaotengeza ni wazungu au watanzania?maana hawa wanasema wanaanza kuanzia kuchora ramani mpaka kukamilisha ndege kamili?
 
Ni wazungu wanakuwa kama instructors kuwaelekeza na kiwasaidia kupata assembly parts. Kwasababu engine ya ndege vipuli unapata duka gani Tanzania?

Na engineer plus materials na funding zinatokea wapi Tanzania?

Wana vipindi DSTv tokea wanaanza hadi wanamaliza.
 
Sasa mbona ukiangalia hiyo video BBC wanasema "sio kuunganisha, bali kuunda kuanzia mwanzo mpaka ndege inapaa"
Ina maana wanadanganya umma

Na zilianza kuwa assembled toka 2023, kuna Nyuzi humu jukwaani ziliwahi kuletwa.

Pia hizo ndege zipo tayari kama 100 angani, utaanzaje from scratch kitu ambacho kimeanza kutengenezea since 2010?
 
Kuna siku niliwahi kuandika mada humu kuhusu jinsi Tanzania ilivyo na magenius wengi, lakini hawavumi.

Haya, kuna ndege za Skyleader zimetengenezwa na vijana 13 wa Kitanzania kuanzia mwanzo hadi mwisho. Mind you, sio ku assemble bali ni kutengeneza ndege kabisa

Ila haoa kuna kitu kinanichanganya, nahisi Skyleader ni kampuni ya Kizungu, sasa sijaelewa kwa nini ndege zinatengenezwa na Wabongo tupu ila ndio hivyo, tuaweza kuruhusu nchi yetu kuongozwa na vilaza ila haimaanishi sisi wote ni vilaza

Yaani hivi vi-nzige ambavyo watu sehemu nyingine duniani walishaunda tangu miaka ya kabla ya vita vya kwanza vya dunia ndivyo unashangaa leo hii 2025? Da!
 
Kwa Tanzania hakuna hata kiwanda cha pikipiki, nisishangae ndege? Hivi mnafaidika nini na comments za namna hii nyie watu?
 
Na zilianza kuwa assembled toka 2023, kuna Nyuzi humu jukwaani ziliwahi kuletwa.

Pia hizo ndege zipo tayari kama 100 angani, utaanzaje from scratch kitu ambacho kimeanza kutengenezea since 2010?
Niliona kitambo kuhusu kuwa na assembly plant ya ndege hapa Tanzania, na mada ilikuwa ni ya humuhumu jukwaani

Ila hiyo ya BBC ni recent na jinsi walivyoelezea ni kana kwamba wameacha ku assemble na kuanza kuunda kila kitu hapahapa Tanzania, angalia hiyo video ya BBC niliyoweka pia usikie wanavyosema, tena wametumia Kiswahili
Kama kweli ni assembly plant basi itakuwa BBC walikuwa wana exaggerate mambo
 
kama bbc wametangaza kwa namna ulivyowasisilisha basi waandaji wa hiyo habari wana changamoto na hawajafuatilia kiundani.

Ndege unayoona ni toleo linaitwa skyleader 600 ambayo imedizainiwa Czech na hiyo kampuni ya skyleader.

kwa hapa Tanzania skyleader inaitwa Airplane Africa Limited ambao wanaleta components kwa ajili ya ku-assemble maana ni nafuu zaidi kuliko kuleta ndege nzima ambayo ndani yake kungekuwa na kodi kubwa.

ku-assemble ni hatua ya awali kujifunza kutengeneza kitu chako kama serikali inakuwa na nia ya dhat ku-develop industry.

Samsung tv za awali walikuwa wana-assemble tv za Japan na kuweka label ya samsung.

Magari ya korea kusini kipindi wanaanza walikuwa wana-aasemble baadae serikali ikaanza kuwalizimisha watengenezaji watengeneze "true korean car" yaani kile kitu kitengenezwe ndani ya nchi.. na serikali ilikuwa inatoa support kubwa kifedha, kiulinzi kutoka washindani wa nje na kimasoko

kwa hiyo hatua sio mbaya hivyo basi hao anjinia wanapaswa wawe na hamu ya kuanzisha kampuni zao
 
Back
Top Bottom