Ndege zilizotengenezwa na Watanzania kuanzia mwanzo hadi mwisho

Ndege zilizotengenezwa na Watanzania kuanzia mwanzo hadi mwisho

kama bbc wametangaza kwa namna ulivyowasisilisha basi waandaji wa hiyo habari wana changamoto na hawajafuatilia kiundani.

Ndege unayoona ni toleo linaitwa skyleader 600 ambayo imedizainiwa Czech na hiyo kampuni ya skyleader.

kwa hapa Tanzania skyleader inaitwa Airplane Africa Limited ambao wanaleta components kwa ajili ya ku-assemble maana ni nafuu zaidi kuliko kuleta ndege nzima ambayo ndani yake kungekuwa na kodi kubwa.

ku-assemble ni hatua ya awali kujifunza kutengeneza kitu chako kama serikali inakuwa na nia ya dhat ku-develop industry.

Samsung tv za awali walikuwa wana-assemble tv za Japan na kuweka label ya samsung.

Magari ya korea kusini kipindi wanaanza walikuwa wana-aasemble baadae serikali ikaanza kuwalizimisha watengenezaji watengeneze "true korean car" yaani kile kitu kitengenezwe ndani ya nchi.. na serikali ilikuwa inatoa support kubwa kifedha, kiulinzi kutoka washindani wa nje na kimasoko

kwa hiyo hatua sio mbaya hivyo basi hao anjinia wanapaswa wawe na hamu ya kuanzisha kampuni zao
Hapo nimekuelewa 👍
 
Ni kweli, viwanda vingi vya Africa ni assembling, Nchi zenye uwezo wa kutengeneza ndege from scratch pengine hata 10 hazifiki duniani.
Hata nchi za Ulaya na Marekani wanafanya hivyo. Hapo ni supplier wa parts kutoka nchi zaidi ya 20 katika uundaji wa Boeing 737. Assembly inafanyika Marekani.
1000184996.jpg
1000184997.jpg
1000184998.jpg
 
Kwa Tanzania hakuna hata kiwanda cha pikipiki, nisishangae ndege? Hivi mnafaidika nini na comments za namna hii nyie watu?
Mbona mi naona kama ingekua ni jambo la maana zaidi kama tungeanza na viwanda vya pikipiki (ambazo zinahitajika na kutumiwa na watanzania wengi) kuliko ndege ambazo sijui ni watu wangapi hasa wanazihitaji hapa nchini?
 
Back
Top Bottom