Aibu gani unaongelea nduguNdio maana tunawashauri watu wafunge WiFi na DSTV tena walipie kifurushi cha Premium kabisa.
Aibu ndogo ndogo kama hizi ungeweza kujiepusha nazo maana ungeona hii project kwenye vipindi kama realty series shows. Tanzania sio inchi ya kwanza kufanyika hii project bali huko mataifa mengine kama hapo South Africa hawa wazungu walishakwenda na kuweka kambi kutengeneza hivi videge vidogo.
Kwahio wanaotengeza ni wazungu au watanzania?maana hawa wanasema wanaanza kuanzia kuchora ramani mpaka kukamilisha ndege kamili?Ndio maana tunawashauri watu wafunge WiFi na DSTV tena walipie kifurushi cha Premium kabisa.
Aibu ndogo ndogo kama hizi ungeweza kujiepusha nazo maana ungeona hii project kwenye vipindi kama realty series shows. Tanzania sio inchi ya kwanza kufanyika hii project bali huko mataifa mengine kama hapo South Africa hawa wazungu walishakwenda na kuweka kambi kutengeneza hivi videge vidogo.
Ni wazungu wanakuwa kama instructors kuwaelekeza na kiwasaidia kupata assembly parts. Kwasababu engine ya ndege vipuli unapata duka gani Tanzania?Kwahio wanaotengeza ni wazungu au watanzania?maana hawa wanasema wanaanza kuanzia kuchora ramani mpaka kukamilisha ndege kamili?
Sasa mbona ukiangalia hiyo video BBC wanasema "sio kuunganisha, bali kuunda kuanzia mwanzo mpaka ndege inapaa"
Ina maana wanadanganya umma
Sawa,hapo nimeelewaNi wazungu wanakuwa kama instructors kuwaelekeza na kiwasaidia kupata assembly parts. Kwasababu engine ya ndege vipuli unapata duka gani Tanzania?
Na engineer plus materials na funding zinatokea wapi Tanzania?
Wana vipindi DSTv tokea wanaanza hadi wanamaliza.
Yaani hivi vi-nzige ambavyo watu sehemu nyingine duniani walishaunda tangu miaka ya kabla ya vita vya kwanza vya dunia ndivyo unashangaa leo hii 2025? Da!Kuna siku niliwahi kuandika mada humu kuhusu jinsi Tanzania ilivyo na magenius wengi, lakini hawavumi.
Haya, kuna ndege za Skyleader zimetengenezwa na vijana 13 wa Kitanzania kuanzia mwanzo hadi mwisho. Mind you, sio ku assemble bali ni kutengeneza ndege kabisa
Ila haoa kuna kitu kinanichanganya, nahisi Skyleader ni kampuni ya Kizungu, sasa sijaelewa kwa nini ndege zinatengenezwa na Wabongo tupu ila ndio hivyo, tuaweza kuruhusu nchi yetu kuongozwa na vilaza ila haimaanishi sisi wote ni vilaza
Kwa Tanzania hakuna hata kiwanda cha pikipiki, nisishangae ndege? Hivi mnafaidika nini na comments za namna hii nyie watu?Yaani hivi vi-nzige ambavyo watu sehemu nyingine duniani walishaunda tangu miaka ya kabla ya vita vya kwanza vya dunia ndivyo unashangaa leo hii 2025? Da!
Niliona kitambo kuhusu kuwa na assembly plant ya ndege hapa Tanzania, na mada ilikuwa ni ya humuhumu jukwaaniAirplanes Africa assembles four planes in Morogoro
Eng Grolig stated that they had been providing services in various countries worldwide, although they had not yet expanded significantly within Africa.www.thecitizen.co.tz
Na zilianza kuwa assembled toka 2023, kuna Nyuzi humu jukwaani ziliwahi kuletwa.
Pia hizo ndege zipo tayari kama 100 angani, utaanzaje from scratch kitu ambacho kimeanza kutengenezea since 2010?
Tunakufaidisha wewe kwa kukufundisha duniani ilikotoka na inakwenda, tena bure kabisa.Kwa Tanzania hakuna hata kiwanda cha pikipiki, nisishangae ndege? Hivi mnafaidika nini na comments za namna hii nyie watu?
Wewe usiyejua dunia iko wapi.Munanifaidisha wewe na nani? Umetema madini gani ya kumfaidisha mtu humu?