Ndege zilizotengenezwa na Watanzania kuanzia mwanzo hadi mwisho

Hapo nimekuelewa 👍
 
Ni kweli, viwanda vingi vya Africa ni assembling, Nchi zenye uwezo wa kutengeneza ndege from scratch pengine hata 10 hazifiki duniani.
Hata nchi za Ulaya na Marekani wanafanya hivyo. Hapo ni supplier wa parts kutoka nchi zaidi ya 20 katika uundaji wa Boeing 737. Assembly inafanyika Marekani.
 
Kwa Tanzania hakuna hata kiwanda cha pikipiki, nisishangae ndege? Hivi mnafaidika nini na comments za namna hii nyie watu?
Mbona mi naona kama ingekua ni jambo la maana zaidi kama tungeanza na viwanda vya pikipiki (ambazo zinahitajika na kutumiwa na watanzania wengi) kuliko ndege ambazo sijui ni watu wangapi hasa wanazihitaji hapa nchini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…