Kiranga
Platinum Member
- Jan 29, 2009
- 78,790
- 128,275
Kuna kipindi zamani wakati naanza kazi nilipewa kazi ya kununua printers za ofisini na bosi wangu.Thamani ya ndege moja aina ya Skyleader 600 ambayo imetengenezwa nchini Tanzania, imetajwa kuwa ni zaidi ya Dola za kimarekani 220,000 sawa na shilingi milioni 500 za Kitanzania.
Gharama Thamani ya ndege moja aina ya Skyleader 600 ambayo imetengenezwa nchini Tanzania, imetajwa kuwa ni zaidi ya Dola za kimarekani 220,000 sawa na shilingi milioni 500 za Kitanzania,
Bei inayolinganishwa na gari zenye gharama kubwa zaidi kama vile V8 land cruiser, defender na Range rover.
Afisa Mawasiliano kwa umma katika kampuni ya utengenezaji wa ndege hizo ya Airplanes Africa Limited, Bw. Freddie Monento ametoa ufafanuzi huo katika kipindi cha "Wekeza Tanzania" ambapo ameweka wazi kuwa kwa sasa ndege hizo zinavibali na zimethibitishwa kuruka.
View attachment 3218902
Basi nikawa natafuta printers zenye bei nafuu na ubora mkubwa.
Bosi wangu kama alijua nitafanya hivyo, akaniambia unavyonunua printers, usiangalie bei na ubora wa printer tu, angalia na running costs za hiyo printer, angalia bei ya wino na huo wino unadumu kwa muda gani.
Nilivyokuja kuangalia na hilo jambo, nikakuta printers zilizofaa kununuliwa zilikuja tofauti na zile nilizotaka kununua mara ya kwanza.
Milioni 500 watu wanaweza kuwa nazo, hiyo inaweza kuwa bei ya magari mawili tu.
Sasa, swali la running cost linabaki pale pale. Bei ya mafuta? Mshahara wa rubani? Gharama za viwanja vya ndege? Bima je?