Kabisa. Anapaswa atubu na kunyosha maelezoMtoa mada umemaliza kila kitu. Nje ya hapo anapoteza Muda Hana legitimate ya kumnyoshea mtu kidole wakati Mama anaendeleza kile walichokianzisha wao akiwa na mwendazake akitutambishia V8
Mimi mshabiki wake, ila hanyoshi maelezoPole pole kasema mmeazima mitandao kwa masaa mawili takriban bilioni zimepotea, kasema atadili nanyi akimaliza kuwaweka sawa wahuni
Moto wake unaunguza vibaya mnoPole pole kaamua kufuata sauti ya wengi kwani ni sauti ya Mungu nyie endeleeni kujizima data,viziwi.
Kama ndiyo hivyo hakupaswa kujihudhulu Kwa barua yake Kali. Maana wananchi wanataka ufafanuzi wa kile alichoandika. Kwa SASA kwenye press zake anabaki kulalamika tu taratibu za chama hazijafatwa. Wananchi wao malalamiko ni haki zao.Mama alikuwa makamu yote yakitokea...Ina maana hata ihu ya lisu kupigwa risasi yeye haijui au polepole haijui Kuna viapo hulishana vya kutunza Siri...mf.kabendera alijuaje SAA na me alipigwa risasi ikulu na mengine mengi...kwa Nini alipewa kesi nzito...aliyempa Siri ya Ben NI Nani na yupo wapi...si ajabu alishapotezwa...
Tumeona. SASA anakuja
Number 5 naona umeigusa. HongeraHabari wa JF,
Siku nyingi sijafika humu. Leo nami ninene.
Ni kweli, nimesikiliza awamu zote mbili za mazungumzo ya Ndugu Polepole na wanahabari. Nimezitafakari sana, na haya ndiyo niliyoyaona:
Ujumbe huu umfikie mhusika, na ajitafakari vita aliyoianzisha na alipofikia. Hata kama ataficha kitu, hakitamusaidia katika vita hii. The loser is Polepole, asipokuwa serious na vita alivyovianzisha. Yeye ndo anapoteza.
- Kwamba hadi sasa, Polepole kwa namna yeyote, kwa hayo aliyoyasema, hayana madhara yeyote kwa CCM na mwenyekiti wao.
- Polepole asipotubu kutoka moyoni kwa wananchi yale yote waliyoyaasisi yeye na marehemu, hataeleweka vizuri kwa jamii. Yaani, atubu ukweli kwa mabaya ya CCM na marehemu, kisha aseme kwa uwazi nini na nani alifanya nini — hasa mauaji na utekaji wa wapinzani wa marehemu. Kisha aseme kabisa kwa dhati, katika uongozi wa Maza, kuwa katika maongozi yake mabaya haya yalitokea — mfano, mauaji — nani anayehusika, kwa black and white. Bila hilo, Watanzania wa kawaida hawatamuelewa.
- Kivuli cha kuwa alikuwa balozi, hivyo hataki kusema yote aliyoyajua akiwa balozi au katika uongozi wake, hakitoshi. Atambue kuwa amekwisha mwaga mboga. Hivyo, kitendo cha kujivua ubalozi tu, amepoteza credibility kwa Maza, na hakuna kingine cha kupoteza asipopambana kwa dhati kuyasema maovu yote aliyoyajua akiwa ndani. Atambue pia, akikaa nayo kimya, hata pata chochote katika serikali hii na ijayo pia. Atakufa na siri zake, na mateso juu yake ya kusaliti chama bila kuongea kwa wananchi. Atambue kuwa CCM anaishitaki kwa wananchi.
- Mapambano aliyoyaanzisha atambue kuwa yanahitaji nguvu ya umma na kuleta hofu kwa watawala. Hivyo, asipoyasema aliyoyapata kuyaona na kuyasikia akiwa huko na wadhalimu, jamii haitamuunga mkono, na hivyo atakuwa anapiga kelele hewani tu. Kujivua kwake itakuwa sawa na bure kabisa, na itaonesha ni uroho wa kutaka madaraka yeye na genge lake tu — si huruma kwa wananchi wa kawaida kutokana na udhalimu wanaotendewa na viongozi wao waliotokana na CCM.
- Polepole, usipolizungumzia suala la Lissu kwa kivuli cha kwamba lipo mahakamani, wakati wananchi wote wanatambua ni sehemu ya ukiukwaji wa haki za upinzani, wananchi wanakuona kama kwamba wewe ni mpinzani wa Maza, lakini siyo mpigania haki za Watanzania. Unaonekana ni msaka tonge tu, ambaye umekosa ulaji kwa Mama, unatafuta genge lako liingie madarakani ili ule vizuri.
- Mwisho, Polepole, wananchi ndiyo wanaweza kumuadhibu Maza kwa nguvu ya umma. Waeleze ufisadi wa bandari ilivyouzwa, mbuga za wanyama huko Ngorongoro — eleza kwa ushahidi, eleza ufisadi wote kwa nyaraka vizuri. Sisi wananchi tutamwajibisha Maza. Bila hivyo, ushafeli. CCM hii haiwezi kukuogopa kwa porojo tu. Umma ndiyo utachukua hatua kuinusuru nchi, na siyo Maza kujitoa kwa porojo za press zako.
Jumamosi njema.
Mjinga wewe yaani Upo gizani ufichue ya gizani?Habari wa JF,

Duhh hatariMjinga wewe yaani Upo gizani ufichue ya gizani?
Toka chini ya Uvungu umjibu H.Polepole na sio kujificha nyuma ya Keyboard
HakikaHakuna jiwe litasalia juu ya jiwe.
Soma vizuri unieleweUmesema episode zake zote hazina impact kwa CCM ila umesema kaanzisha mapambano magumu, sasa ueleweke vipi?.
Acha mikogo wewe, unataka ututangazie nini Tanzia? Kwamba umemuua?Ujumbe huu umfikie mhusika, na ajitafakari vita aliyoianzisha na alipofikia. Hata kama ataficha kitu, hakitamusaidia katika vita hii. The loser is Polepole, asipokuwa serious na vita alivyovianzisha. Yeye ndo anapoteza.
Niliwahi kusema dhamira yake ni njema, ila isipotimia kwa hoja zake kufanyiwa kazi atakuwa na wakati mgumu sana.Habari wa JF,
Siku nyingi sijafika humu. Leo nami ninene.
Ni kweli, nimesikiliza awamu zote mbili za mazungumzo ya Ndugu Polepole na wanahabari. Nimezitafakari sana, na haya ndiyo niliyoyaona:
Ujumbe huu umfikie mhusika, na ajitafakari vita aliyoianzisha na alipofikia. Hata kama ataficha kitu, hakitamusaidia katika vita hii. The loser is Polepole, asipokuwa serious na vita alivyovianzisha. Yeye ndo anapoteza.
- Kwamba hadi sasa, Polepole kwa namna yeyote, kwa hayo aliyoyasema, hayana madhara yeyote kwa CCM na mwenyekiti wao.
- Polepole asipotubu kutoka moyoni kwa wananchi yale yote waliyoyaasisi yeye na marehemu, hataeleweka vizuri kwa jamii. Yaani, atubu ukweli kwa mabaya ya CCM na marehemu, kisha aseme kwa uwazi nini na nani alifanya nini — hasa mauaji na utekaji wa wapinzani wa marehemu. Kisha aseme kabisa kwa dhati, katika uongozi wa Maza, kuwa katika maongozi yake mabaya haya yalitokea — mfano, mauaji — nani anayehusika, kwa black and white. Bila hilo, Watanzania wa kawaida hawatamuelewa.
- Kivuli cha kuwa alikuwa balozi, hivyo hataki kusema yote aliyoyajua akiwa balozi au katika uongozi wake, hakitoshi. Atambue kuwa amekwisha mwaga mboga. Hivyo, kitendo cha kujivua ubalozi tu, amepoteza credibility kwa Maza, na hakuna kingine cha kupoteza asipopambana kwa dhati kuyasema maovu yote aliyoyajua akiwa ndani. Atambue pia, akikaa nayo kimya, hata pata chochote katika serikali hii na ijayo pia. Atakufa na siri zake, na mateso juu yake ya kusaliti chama bila kuongea kwa wananchi. Atambue kuwa CCM anaishitaki kwa wananchi.
- Mapambano aliyoyaanzisha atambue kuwa yanahitaji nguvu ya umma na kuleta hofu kwa watawala. Hivyo, asipoyasema aliyoyapata kuyaona na kuyasikia akiwa huko na wadhalimu, jamii haitamuunga mkono, na hivyo atakuwa anapiga kelele hewani tu. Kujivua kwake itakuwa sawa na bure kabisa, na itaonesha ni uroho wa kutaka madaraka yeye na genge lake tu — si huruma kwa wananchi wa kawaida kutokana na udhalimu wanaotendewa na viongozi wao waliotokana na CCM.
- Polepole, usipolizungumzia suala la Lissu kwa kivuli cha kwamba lipo mahakamani, wakati wananchi wote wanatambua ni sehemu ya ukiukwaji wa haki za upinzani, wananchi wanakuona kama kwamba wewe ni mpinzani wa Maza, lakini siyo mpigania haki za Watanzania. Unaonekana ni msaka tonge tu, ambaye umekosa ulaji kwa Mama, unatafuta genge lako liingie madarakani ili ule vizuri.
- Mwisho, Polepole, wananchi ndiyo wanaweza kumuadhibu Maza kwa nguvu ya umma. Waeleze ufisadi wa bandari ilivyouzwa, mbuga za wanyama huko Ngorongoro — eleza kwa ushahidi, eleza ufisadi wote kwa nyaraka vizuri. Sisi wananchi tutamwajibisha Maza. Bila hivyo, ushafeli. CCM hii haiwezi kukuogopa kwa porojo tu. Umma ndiyo utachukua hatua kuinusuru nchi, na siyo Maza kujitoa kwa porojo za press zako.
Jumamosi njema.
POLEPOLE hana jipya kabisa nilidhani ana kitu cha maana kumbe anatumalizia MB.sasa hivi karukia issue ya Lissu kuwa aachiwe huru.haelewi asimamie wapi.Habari wa JF,