Ndg Polepole amekwishapoteza, asipotubu nafichua yote ya gizani

Mtoa mada umemaliza kila kitu. Nje ya hapo anapoteza Muda Hana legitimate ya kumnyoshea mtu kidole wakati Mama anaendeleza kile walichokianzisha wao akiwa na mwendazake akitutambishia V8
Kabisa. Anapaswa atubu na kunyosha maelezo
 
Pole pole kasema mmeazima mitandao kwa masaa mawili takriban bilioni zimepotea, kasema atadili nanyi akimaliza kuwaweka sawa wahuni
Mimi mshabiki wake, ila hanyoshi maelezo
 
Mama alikuwa makamu yote yakitokea...Ina maana hata ihu ya lisu kupigwa risasi yeye haijui au polepole haijui Kuna viapo hulishana vya kutunza Siri...mf.kabendera alijuaje SAA na me alipigwa risasi ikulu na mengine mengi...kwa Nini alipewa kesi nzito...aliyempa Siri ya Ben NI Nani na yupo wapi...si ajabu alishapotezwa...
 
Kama ndiyo hivyo hakupaswa kujihudhulu Kwa barua yake Kali. Maana wananchi wanataka ufafanuzi wa kile alichoandika. Kwa SASA kwenye press zake anabaki kulalamika tu taratibu za chama hazijafatwa. Wananchi wao malalamiko ni haki zao.
 
Number 5 naona umeigusa. Hongera
 
Unafichua yote yapi gizani?
Unaleta uzi halafu unaunzungukazunguka…
 
Mjinga wewe yaani Upo gizani ufichue ya gizani?
Toka chini ya Uvungu umjibu H.Polepole na sio kujificha nyuma ya Keyboard
 
Umesema episode zake zote hazina impact kwa CCM ila umesema kaanzisha mapambano magumu, sasa ueleweke vipi?.
 
Nimesema hivi asifiche chochote Kwa kigezo mala alikuwa balozi, mara kesi IPO mahakamani. SASA kama kaanzisha vita aseme vyote
 
Ujumbe huu umfikie mhusika, na ajitafakari vita aliyoianzisha na alipofikia. Hata kama ataficha kitu, hakitamusaidia katika vita hii. The loser is Polepole, asipokuwa serious na vita alivyovianzisha. Yeye ndo anapoteza.
Acha mikogo wewe, unataka ututangazie nini Tanzia? Kwamba umemuua?
 
Niliwahi kusema dhamira yake ni njema, ila isipotimia kwa hoja zake kufanyiwa kazi atakuwa na wakati mgumu sana.
 
POLEPOLE hana jipya kabisa nilidhani ana kitu cha maana kumbe anatumalizia MB.sasa hivi karukia issue ya Lissu kuwa aachiwe huru.haelewi asimamie wapi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…