Ndg Polepole amekwishapoteza, asipotubu nafichua yote ya gizani

Pole pole hiki nilikushauri toka zamani. Tubu tukusamehe kisha uwalipue. Kwa utangulizi wako WA Leo, Kesho utatubu vyema na hapo sasa tutawashugulikia hao wenye kiburi cha madaraka
 
Hivi ni kweli hana athari zozote?
Walikwenda kumamata dadake kwa sbb gani sasa?
Wanazima mitandao kwa sababu ipi?
 
Hajawahi kuwa waziri hivo hakuna alilofanya baya hawa wanao mutishia wanataka kumunyamazisha but wamechelewa hayupo nchini ana relax yuko nje nyie mutanjinyonga bure wacha aseme puma na Mchele wenye akili watajua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…