Franco Zetta
JF-Expert Member
- Nov 3, 2014
- 1,661
- 843
Ha ha ha ha dah! huo ni udhalilishaji dhahiri au pengine ndio ktk kunogesha sherehe mkaonekana nanyie mna tema upepo?,ama poleni sana.Mkuu heshima kitu cha bure, sisi wanaume wazima na korodani zetu unatuambia utakuwa na wifi yetu? Tuombe samahani kabla hatujaharibu sherehe ya watu.
ila alikiba mifukon anapenda kuweka vitu mfukon vinajaa sana
Hahaha....si alikuja kushukuru tu mashabiki zakeKiba kaaribu party full kutuboa
Hahahahahaha uchokozi huo,kuna jamaa mnene kavaa suti nyeuc anacheza mwanzo mwisho hadi kiba anaongea masuala ya sonic bado tu anacheza
Hahahaaaa hilo jambo tokea nimemjua Kiba huwa anafanya hivyo.ila alikiba mifukon anapenda kuweka vitu mfukon vinajaa sana
Hahaaa umenifanya nichekekuna jamaa mnene kavaa suti nyeuc anacheza mwanzo mwisho hadi kiba anaongea masuala ya sonic bado tu anacheza
Hakuna mwanamziki mwenye GUBU kama Jide walahi, anapenda sana beefing. Angekuwa mstaarabu, asingeanika maisha yake ya ndoa mitandaoni baada ya ndoa kuvunjika, na utu uzima aliokuwa nao nilitegemea aoneshe ukomavu, anajipakazia ukomando asiokuwa naokama Jide si mstaarabu basi bongo hakuna mwanamziki mstaraabu
Poleni tu ndivyo walivyo Wafalme njozi.Kiba kaaribu party full kutuboa
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] eti vinajaaila alikiba mifukon anapenda kuweka vitu mfukon vinajaa sana
Hakuna mwanamziki mwenye GUBU kama Jide walahi, anapenda sana beefing. Angekuwa mstaarabu, asingeanika maisha yake ya ndoa mitandaoni baada ya ndoa kuvunjika, na utu uzima aliokuwa nao nilitegemea aoneshe ukomavu, anajipakazia ukomando asiokuwa nao
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2][emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] eti vinajaa
Achana naye huyo,bila shaka ametumwa kutoka nyumba ya jiraniSio mstaarabu na bado mpaka muda huu unamfatilia? Ama kweli
Mko wapi..... Haya njoooni tumalizie
Kwani hao watu wamekaa! Walioko hapo wanaexperience zaidi ya sie tunaotizama! Ila huo wimbo una feelings zake!Siamini ndi ndi ndi ndio inapigwa, lakini watu walivyopoa au wamechoka? Ule mlipuko niliokuwa nautegemea siuskii, karudia lakini kwanza watu wamesinzia