Franco Zetta
JF-Expert Member
- Nov 3, 2014
- 1,661
- 843
Ha ha ha ha dah! huo ni udhalilishaji dhahiri au pengine ndio ktk kunogesha sherehe mkaonekana nanyie mna tema upepo?,ama poleni sana.Mkuu heshima kitu cha bure, sisi wanaume wazima na korodani zetu unatuambia utakuwa na wifi yetu? Tuombe samahani kabla hatujaharibu sherehe ya watu.