Nope,hata kama ana mabaya yake kama binadamu sio hata yale mazuri yake ndio tusiyaone.Hakuna mwanamziki mwenye GUBU kama Jide walahi, anapenda sana beefing. Angekuwa mstaarabu, asingeanika maisha yake ya ndoa mitandaoni baada ya ndoa kuvunjika, na utu uzima aliokuwa nao nilitegemea aoneshe ukomavu, anajipakazia ukomando asiokuwa nao
kuna jamaa mnene kavaa suti nyeuc anacheza mwanzo mwisho hadi kiba anaongea masuala ya sonic bado tu anacheza
Hahahaaaa hilo jambo tokea nimemjua Kiba huwa anafanya hivyo.
Sijawahi kumuona mifuko ikiwa haijatuna kabisa.
ila alikiba mifukon anapenda kuweka vitu mfukon vinajaa sana
Mimi alipoingia yule aliyevaa kilemba nikatoka zangu katuboa eti dj ukiniudhi naondoka nani kamwita hovyoo kuoga kwenyewe sijui kama kakumbuka km kibaka vile.. Watu wamechefuka mpk Jide kafunga kinyongeJamani mpigieni kiba makofi basi mpaka awaambie acheni hizo
Saa 8 hii,watu wamechoka mama.Siamini ndi ndi ndi ndio inapigwa, lakini watu walivyopoa au wamechoka? Ule mlipuko niliokuwa nautegemea siuskii, karudia lakini kwanza watu wamesinzia
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] we jamaa ni comedian sana eti mawe umenikumbusha mbali primaryUwa anaweka mawe Ili ukilipuka ugomvi aweze kujitetea kiurahisi
Hahahahahaaaaaa Nifah sijakosoa kazi yake jamani, nimekosoa tabiaNope,hata kama ana mabaya yake kama binadamu sio hata yale mazuri yake ndio tusiyaone.
Wewe Paula japo hatujuani lakini tumekuwa tukikwaruzana humu.
Hebu tumpe nafasi huyu dada,nae ni binadamu ana moyo kama sisi.
Jide anabahati tu ya kupendwa bwana, unajua bahati, lakini sio perfomer hajui kumiliki jukwaaa, hajui kuchangamsha watu, watu walikuwa wanajichangamsha wenyewe kwa vile tu walikuwa wamepania.Saa 8 hii,watu wamechoka mama.
Hata T.I mwaka juzi hakupata shangwe la kutosha kwenye Fiesta kama Ali Kiba.
Watu wameshangilia sana mwanzo hadi wamechoka.
Hata hivyo nadhani kubwa ni nyomi alilolipata.... katisha!
Na kweli tulale sasaSasa huu Uzi wa show yake (kazi)unahusiana nini na tabia?
Anyways. ....nites mom.
Kupendwa! Sasa watu wanampendea nini kama sio sababu anawaburudisha! Hunawahiona wath wanaimba wamekaa! She has perfomed brother na asilimia kubwa hapa tumeburudishwa thats why despite ya muda tuliendelea kuangalia show! Sijaona mtu Tanzania ambaye angalau amethubutu kama alivyofanya Jide leo! Kaimba nyimbo zaidi ya 15! Ana back vocals 3 tu! Ans it was superb! Leta call a spade a spade brother! Tukosoe mengine.Jide anabahati tu ya kupendwa bwana, unajua bahati, lakini sio perfomer hajui kumiliki jukwaaa, hajui kuchangamsha watu, watu walikuwa wanajichangamsha wenyewe kwa vile tu walikuwa wamepania.