NDI NDI NDI CONCERT : Updates from Mlimani City

NDI NDI NDI CONCERT : Updates from Mlimani City

Hakuna mwanamziki mwenye GUBU kama Jide walahi, anapenda sana beefing. Angekuwa mstaarabu, asingeanika maisha yake ya ndoa mitandaoni baada ya ndoa kuvunjika, na utu uzima aliokuwa nao nilitegemea aoneshe ukomavu, anajipakazia ukomando asiokuwa nao
Nope,hata kama ana mabaya yake kama binadamu sio hata yale mazuri yake ndio tusiyaone.
Wewe Paula japo hatujuani lakini tumekuwa tukikwaruzana humu.
Hebu tumpe nafasi huyu dada,nae ni binadamu ana moyo kama sisi.
 
JD ndio analaza asilimia kubwa ya watu wa majumbani this time na wale walioko ukumbini atawalaza kuanzia nusu saa na kuendelea! TUKIACHA UNAFKI NA USHABIKI! SHOW YA LEO NI KAMA MOJA YA MECHI KUBWA YA UEFA AMA FAINALI KABISA! TANZANIA ilikuwa Mlimani City kwa muda! Haya ngoja tulale sasa! Bora umemaliza shoo tungekesha leo!
 
Hahahaaaa hilo jambo tokea nimemjua Kiba huwa anafanya hivyo.
Sijawahi kumuona mifuko ikiwa haijatuna kabisa.

Anaweka power bank na charger zake [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Jamani mpigieni kiba makofi basi mpaka awaambie acheni hizo
Mimi alipoingia yule aliyevaa kilemba nikatoka zangu katuboa eti dj ukiniudhi naondoka nani kamwita hovyoo kuoga kwenyewe sijui kama kakumbuka km kibaka vile.. Watu wamechefuka mpk Jide kafunga kinyonge
 
Siamini ndi ndi ndi ndio inapigwa, lakini watu walivyopoa au wamechoka? Ule mlipuko niliokuwa nautegemea siuskii, karudia lakini kwanza watu wamesinzia
Saa 8 hii,watu wamechoka mama.
Hata T.I mwaka juzi hakupata shangwe la kutosha kwenye Fiesta kama Ali Kiba.
Watu wameshangilia sana mwanzo hadi wamechoka.
Hata hivyo nadhani kubwa ni nyomi alilolipata.... katisha!
 
Nope,hata kama ana mabaya yake kama binadamu sio hata yale mazuri yake ndio tusiyaone.
Wewe Paula japo hatujuani lakini tumekuwa tukikwaruzana humu.
Hebu tumpe nafasi huyu dada,nae ni binadamu ana moyo kama sisi.
Hahahahahaaaaaa Nifah sijakosoa kazi yake jamani, nimekosoa tabia
 
Ali kiba nae anabidi ajifunze kariba ya kuwa ktk hali ya usupastaa! Talk less na endana na mazingira! Show ya mtu mwingine unaanza maneno and the like! Kuimbisha watu wakati hata Jide alikuwa hawaimbishi but waliimba kwa hiari na msukumo wao! Mara makofi! Nimesign dili kubwa aaagh! Anahitaji orientation! Nahisi kwa kiasi fulani amewaboa wahudhuriaji.
 
Saa 8 hii,watu wamechoka mama.
Hata T.I mwaka juzi hakupata shangwe la kutosha kwenye Fiesta kama Ali Kiba.
Watu wameshangilia sana mwanzo hadi wamechoka.
Hata hivyo nadhani kubwa ni nyomi alilolipata.... katisha!
Jide anabahati tu ya kupendwa bwana, unajua bahati, lakini sio perfomer hajui kumiliki jukwaaa, hajui kuchangamsha watu, watu walikuwa wanajichangamsha wenyewe kwa vile tu walikuwa wamepania.
 
Hata mapambio ya kihehe ukiyapa promo lazima upige hela. Biashara akili bana!
 
Jide anabahati tu ya kupendwa bwana, unajua bahati, lakini sio perfomer hajui kumiliki jukwaaa, hajui kuchangamsha watu, watu walikuwa wanajichangamsha wenyewe kwa vile tu walikuwa wamepania.
Kupendwa! Sasa watu wanampendea nini kama sio sababu anawaburudisha! Hunawahiona wath wanaimba wamekaa! She has perfomed brother na asilimia kubwa hapa tumeburudishwa thats why despite ya muda tuliendelea kuangalia show! Sijaona mtu Tanzania ambaye angalau amethubutu kama alivyofanya Jide leo! Kaimba nyimbo zaidi ya 15! Ana back vocals 3 tu! Ans it was superb! Leta call a spade a spade brother! Tukosoe mengine.
 
Hivi kibongobongo kuna msanii wa kike ambaye anaweza/angeweza kupiga show classic na yenye staha kama hii ya Jide and watu wakafurahi to that extent. Sipati picha angekuwa V-money au Shishi Baaby, tungeona viungo vyote visivyotakiwa kuonwa kwenye public.
 
Back
Top Bottom