NDI NDI NDI CONCERT : Updates from Mlimani City

Nawa shangaa wanao ponda! Ila kweli atuwezi fanana..
Mimi huwa simkubali huyu dada lakini najua ana uwezo mkubwa sana na wanasema kama huwezi kukubali unacho kiona mwenyewe hata ukiambiwa hutoweza kuamini!

Huyu mdada anaweza daaa nimeshangaa sana leo..na ana support kubwa sana...
 
Muda ulibana ningeenda leo...she derseve to be mama Africa..a strong woman
 
Mimi huwa simkubali huyu dada lakini najua ana uwezo mkubwa sana na wanasema kama huwezi kukubali unacho kiona mwenyewe hata ukiambiwa hutoweza kuamini!

Huyu mdada anaweza daaa nimeshangaa sana leo..na ana support kubwa sana...

Ndi ndi ndiiii tamu saaana aisee.... Enjoy tu mkuu
 
Mimi huwa simkubali huyu dada lakini najua ana uwezo mkubwa sana na wanasema kama huwezi kukubali unacho kiona mwenyewe hata ukiambiwa hutoweza kuamini!

Huyu mdada anaweza daaa nimeshangaa sana leo..na ana support kubwa sana...
Hajiitambui tu. Jide alipaswa kuwa malkia wa Africa kwa sasa. Hata kina Yemi Alade wangekuwa wanasubiri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…