Nifah
JF-Expert Member
- Feb 12, 2014
- 34,020
- 79,098
HahahahaaaaaTushawaelewa mbona. Jide noma sanaaa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
HahahahaaaaaTushawaelewa mbona. Jide noma sanaaa
Hadi nikejikuta nashangaa hilo nyomi...mkuu hii habar nyingine
Huyu mdada anapendwa haya ni mafuriko Mlimani city....
Hadi nikejikuta nashangaa hilo nyomi...
hii nguo aliyovaa inanipa wakati mgumu....
Noma sana,namkubali alivyo strong,kasimama pamoja na juhudi kibao za kumzima zinazomuandama.Huyu mdada anapendwa haya ni mafuriko Mlimani city....
Mimi huwa simkubali huyu dada lakini najua ana uwezo mkubwa sana na wanasema kama huwezi kukubali unacho kiona mwenyewe hata ukiambiwa hutoweza kuamini!Nawa shangaa wanao ponda! Ila kweli atuwezi fanana..
Leo nimekiri huyu dada ni jasiri sana aiseee duuu....bint machoz katushinda mbabe kila kitu huyu hahahahaha
Mimi huwa simkubali huyu dada lakini najua ana uwezo mkubwa sana na wanasema kama huwezi kukubali unacho kiona mwenyewe hata ukiambiwa hutoweza kuamini!
Huyu mdada anaweza daaa nimeshangaa sana leo..na ana support kubwa sana...
acha ampe vijembe huyo sura ya goti la punda
Hajiitambui tu. Jide alipaswa kuwa malkia wa Africa kwa sasa. Hata kina Yemi Alade wangekuwa wanasubiri.Mimi huwa simkubali huyu dada lakini najua ana uwezo mkubwa sana na wanasema kama huwezi kukubali unacho kiona mwenyewe hata ukiambiwa hutoweza kuamini!
Huyu mdada anaweza daaa nimeshangaa sana leo..na ana support kubwa sana...