NDI NDI NDI CONCERT : Updates from Mlimani City

Noumaaaaaaaaaaaaaaa saaaanaaaaaaaaaaaaaaaa
 
Hv ambao hamjamuelewa huyu dada mpaka sasa mkaungane na Kitwana tu muomboleze
 
Hiki kiuno cha jidee inabidi apake gliss au mafuta ya cherehani
 
daaaa wanok nok mandojo na domokaya kanikumbusha mbali sna daaaaaaaa
Mandojo na Domokaya, vile vichwa vilikua ni hatari tupu!! hiyo ngoma ya wanok nok inanikumbusha sana mbali man, nilichoka kuisikilizia kweny radio nikaamua kununua album yao kabisa!! nimewamis sana wale machalii!!
 
Nimeshamkatia ticket wife, mimi siendi kwa sababu siyo mshabiki wa matamasha ya namna hiyo.
Angalia tu asije kukutana na shabiki mwenzake huko,alaf wakashabikiana.just kiddin mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…