Badala ya Chama tawala kuweka masharti wapinzani ndio wanaweka hiki ni kioja.Alichosema n sahihi, hakuomba mashart, alisema njooni tushindane kwa hoja, mkinizidi nendeni na maandamano, sasa cdm kusema mnataka mswada ufutwe ndio muende kwenye mdahalo hamuoni ni kukimbia ?
Ni kweli kabisa, kwani Joyce wowowo yeye anasemaje?kamweleze tu puppet bila kumficha chochote, kwamba jamaa wanaoongoza nchi, wameona ni ushamba kujadiliana na mapanyarodi na manyumbu 🐒
Wewe unashida kwenye hilo dish lako,hamtaki kufanya mdahalo na makonda kwa sababu ni mhalifu au hamtaki kufanya mdahalo na makonda kwa sababu ccm hawawezi kufuta mnachokitaka kifutwe.?!Kwamba Makonda na ccm ni wafuata Sheria sana?! Ama mnadhani hatujui ni kwa kiwango gani Sheria Zina double standard kwenye matakwa ya ccm? Ni mjinga tu ataenda kushiriki mdahalo na huyo muhalifu. Kama kweli Kuna Sheria zinafuatwa nchi hii, yeye alipaswa kuwa jela muda huu, na sio kwenye majukwaa ya siasa kusaka kiki za bei rahisi.
Kuna kitabu cha riwaya cha mwandishi maarufu sana wa nyakati zake kinaitwa JUST ANOTHER FVCKER
si ungemuuliza puppet ndugu Nyumbu wa akina panyarodi 🐒Ni kweli kabisa, kwani Joyce wowowo yeye anasemaje?
Magufuli alishaweka bayana kwa kumuambia Makonda arejeshe fedha alizoiba TASAF.Muhimu wafanye ili huo wizi uwekwe bayana.
😆😆😆😆😆Kamwambie Sasa Joyce wowowo asipoteze muda wake, maana watu wanataka mambo serious sio kuchambana na huyo muhalifu.
Kumbe wewe ndo hamnazo kabisa! Hizo mambo zilizoorodheshwa na CDM ndo pointi za kwenda kuziongelea kwenye huo mdahalo. Utaandaa vipi mdahalo asiokuwa na topics? Kojoa kalaleAlichosema n sahihi, hakuomba mashart, alisema njooni tushindane kwa hoja, mkinizidi nendeni na maandamano, sasa cdm kusema mnataka mswada ufutwe ndio muende kwenye mdahalo hamuoni ni kukimbia ?
Wewe ndio mpumbavu, kilichoorodheshwa pale ni topics za kwenda kuziongelea kwenye huo mdahalo. Sasa utaingia vipi kwenye mdahalo hujui kinachoenda kuzungumzwa? Yaani man wewe ni pimbiKwa hiyo ulitaka afuate masharti yenu yale ya kijinga na kihayawani ambayo mliyaweka mkijuwa hayatekelezeki? Kila mtu anafahamu ya kuwa mlifanya vile kwa uoga wenu wa kuogopa mdahalo hasa baada ya kugundua kuwa mtaumbuliwa ulafi,uroho na ufisi wenu wa kutaka kuwa na wabunge wawili katika kila jimbo ilihali mnafahamu ya kuwa jambo hilo litamuongezea na kumbebesha mzigo mtanzania mnyonge anayelipa kodi.
Lakini mmeona aibu baada ya kutambua kuwa hoja zenu ni dhaifu na tayari mheshimiwa Makonda alikuwa ameshaeleza hadharani madai yenu dhaifu na kuyatolea majibu ambayo yalieleweka vyema kwa watanzania ambao kwa sasa wanawadharau tu kwa uroho na ulafi wenu wa madaraka muliouonyesha katika kutaka mlango mkubwa wa kupatia madaraka ya ubunge kwa ajili ya kushibisha na kujaza matumbo yenu..
It a matter of logics,anyone can win.Hangaya anamuona ana akili kweli yaani !
YKupasa ujadili mjadala na hoja za chadema kwa ukubwa na upana wa hoja zao unachokifanya wewe ni kushikilia na kujadili vihoja ambavyo vinakufanya uonekane kiroja na chawa tuu. Ulosoma wapi? Huko mnako fundishwa ujinga wa kusoma sheria kipengele kimoja tu. Jibu hoja za chadema isiimbe taarabuCHADEMA ya sasa haina weledi wa kuweza kufanya mdahalo.... mdahalo gani wenye masharti ya kufuta muswada wa sheria? CHADEMA kiukweli inabidi mfanye kazi kubwa sana kuondoa hii damage iliyosababishwa na hoja ya kuongeza wabunge. Utetezi wa Mnyika ni mwepesi sana.
😆😆😆Huna akili wewe.. idiot kabisa.
Hivi mtu una akili zako timamu kabisa unaweza kubali kabisa kuingia kwenye mdahalo na makonda?CHADEMA ya sasa haina weledi wa kuweza kufanya mdahalo.... mdahalo gani wenye masharti ya kufuta muswada wa sheria? CHADEMA kiukweli inabidi mfanye kazi kubwa sana kuondoa hii damage iliyosababishwa na hoja ya kuongeza wabunge. Utetezi wa Mnyika ni mwepesi sana.
DaàhHivi mtu una akili zako timamu kabisa unaweza kubali kabisa kuingia kwenye mdahalo na makonda?