PROF NDUMILAKUWILI
JF-Expert Member
- Mar 25, 2016
- 10,518
- 13,144
Shs 10M , vipi unasemaje ?Ina uzwa shngapi i gari???
Kabisa mkuu kuna magari ya kudiscuss sio hiyo mitulinga!!kale kabinti ka Nandy kana ki gari flani hivi unaweza kukidiscuss,juzi ally kiba kaenda clouds na ki toyota double cabin, haha wabongo kma kawaida wakasifiaNashangaa wabongo hii forum ya celebrities.. tunadiscuss hawa watu ..jitu linatoka Nachingwea wanaume wa Dar???Gari la thamani ila umewahi kuona star yoyote mkubwa duniani anaendesha gari la Kijapan...hayo magari angewaachia wabunge...angetoka na G class 2018(Mercedes Benz) angemaliza anyway Siku zote pesa zinaenda kwa washamba
Duuu asee umetoa wazo zuri jamaa angetupia hii gari you tube ili ipambane kwa views na Ally KibaAcha ale maisha...
Ukiacha mapungufu ambayo kimsingi kila mwenye pumzi anayo, jamaa ana roho nzuri sana.
He deserves this, by the way muungurumo wa hicho chuma ni zaidi ya mvumo wa radi!
Ukiweka youtube views milioni fasta ndani ya 24hrs.
Inaonyesha lingekuwa la Ally Kiba lingesaidia watanzaniaSijapata kuona watu wajinga kama watanzania.....supposedly, hili gari la Diamond ila wasiojitambua wanapoteza muda wao kushangilia wakati haliwasaidii lolote maishani mwao. So sad kwa kweli.
Hilo gari wewe linakusaidia nini mpanda daladala?Team kiba lazima mjiharishie mwaka huu
Ila huo mwaka hatujafikaBele9,na Ben po cjui nn walikosea
Walitoka na huyu dogo mwaka
Mmoja 20010
Huyu dogo mganga wake kweli
Co wa bongo
Yaani 20010?Ila huo mwaka hatujafika
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ila huo mwaka hatujafika