Ndinga jipya la Diamond Platnumz Cruiser 200 series 2018

Ndinga jipya la Diamond Platnumz Cruiser 200 series 2018

Usikute huyu lossoJR ni mtu mzima mwenye akili timamu, anaacha kujishughulisha na mambo yake anashupalia vya wengine. Wanaume wa Dar jamani, sijuwi nani kawalaani.
 
Nashangaa wabongo hii forum ya celebrities.. tunadiscuss hawa watu ..jitu linatoka Nachingwea wanaume wa Dar???Gari la thamani ila umewahi kuona star yoyote mkubwa duniani anaendesha gari la Kijapan...hayo magari angewaachia wabunge...angetoka na G class 2018(Mercedes Benz) angemaliza anyway Siku zote pesa zinaenda kwa washamba
 
Kabisa mkuu kuna magari ya kudiscuss sio hiyo mitulinga!!kale kabinti ka Nandy kana ki gari flani hivi unaweza kukidiscuss,juzi ally kiba kaenda clouds na ki toyota double cabin, haha wabongo kma kawaida wakasifia
 
Acha ale maisha...
Ukiacha mapungufu ambayo kimsingi kila mwenye pumzi anayo, jamaa ana roho nzuri sana.
He deserves this, by the way muungurumo wa hicho chuma ni zaidi ya mvumo wa radi!
Ukiweka youtube views milioni fasta ndani ya 24hrs.
Duuu asee umetoa wazo zuri jamaa angetupia hii gari you tube ili ipambane kwa views na Ally Kiba
 
Sijapata kuona watu wajinga kama watanzania.....supposedly, hili gari la Diamond ila wasiojitambua wanapoteza muda wao kushangilia wakati haliwasaidii lolote maishani mwao. So sad kwa kweli.
Inaonyesha lingekuwa la Ally Kiba lingesaidia watanzania
 
Bele9,na Ben po cjui nn walikosea
Walitoka na huyu dogo mwaka
Mmoja 20010

Huyu dogo mganga wake kweli
Co wa bongo
 
Mtumba huo hata mbunge wangu jimbo la Karatu analo
 
safi sana.....acha wengine waendelee kuangaika na bolingo huko
 
Back
Top Bottom