Bora angechukua Range Rover Vogue, ina starlookNashangaa wabongo hii forum ya celebrities.. tunadiscuss hawa watu ..jitu linatoka Nachingwea wanaume wa Dar???Gari la thamani ila umewahi kuona star yoyote mkubwa duniani anaendesha gari la Kijapan...hayo magari angewaachia wabunge...angetoka na G class 2018(Mercedes Benz) angemaliza anyway Siku zote pesa zinaenda kwa washamba
Mkuu wanaweza pia kuigeuza CaterpillarHivi hawa jamaa ttrautoupgrade nikiwapelekea ka ist changu si wanaweza wakaki upgrade kikawa Benz au???
Ile Rolls royce new model bado ipo kwenye maji?
[emoji23][emoji23] #mo fayaa[emoji91]
Watanzania ni watu washamba sana wallai,yani mnakaa kushangilia mtu kununua land cruiser!??
Ndio kule alikopeleka magari ya polisi Bashite?Binafsi kwa hapa bongo sijaona watu wanao refurbish magari kama CAPITAL ZONE. Hawa jamaa wanahusika na Landrover defender. Hao ttr mi naona wanapimp tu.
Capitalzone wana hatari
Bele9,na Ben po cjui nn walikosea
Walitoka na huyu dogo mwaka
Mmoja 20010
Huyu dogo mganga wake kweli
Co wa bongo
Workhard?[emoji13]Workhard pays now
Hivi ile "rosi rosi" ilishawasili?
wenye team zao " watakuita haters....ila ninekuoenda bure ..maana unewaza nje ya box ...tofauti na wachañgiaji wengine ambao akili zao zimekubali kuwa bongo lala""NonSense,Promo za Kijinga hao mambwiga wa hiyo Garage wanatumia,Domo alituambia analeta Rolls Royce mpaka leo haijafika,huu mwaka wa pili unaelekea kukatika.
Kwa wenzetu USA wanachukulia kama Inspiration ,kibongo bongo utasikia analinga,ila hapo apost FLoyd Maywether utasikia wanavyo msifia au labda sisi dunia ya tatu bado tuna mawazo ya kimasikini.Wabongo Tujifunze kupongeza.
Khaaa!! hata angenunua Bajaji tumpongeze kijana wetu ...hivi UsA wangekua hivi sijui ingekuwaje
Kwakweli hii ni kasumba tunayo sana.Kwa wenzetu USA wanachukulia kama Inspiration ,kibongo bongo utasikia analinga,ila hapo apost FLoyd Maywether utasikia wanavyo msifia au labda sisi dunia ya tatu bado tuna mawazo ya kimasikini.
Ndio maana wenzetu wanakipindi cha MTV CRIBS kila superstar anaonyesha nyumba yake,magari nk,hii yote kwa ajili ya inspiration na kwa encourage watu wawe wachapakazi.Sisi huku mtu anafichaficha utafikiri muuza unga.Kwakweli hii ni kasumba tunayo sana.
Msanii yoyote asifanye jambo wsnaponda..lakini watu wa Nje wakifanya its okay na masifa kedekede.
Wanaponda mpaka saa zingine naumiaga mimi badala ya wao, WaTz tunachuki binafsi mno.
Unabadilisha nje tu ndani haziingiliani jomba2018 haiko hivo
Hao watu ukiwapelekea hata ya 2011 wanaibadilisha iwe 2018 wanabadili show ya mbele tu.
Afu sio Brand New