Cute Wife
JF-Expert Member
- Nov 17, 2023
- 1,906
- 5,000
Wakuu,
Naona CHADEMA leo wanataka kutulaza saa tisa usiku
.Maana ndio kwanza wapo kwenye zoezi la kuhakiki wajumbe, mara wamesema sijui kuna kanda ya Rukwahaikuwepo kwenye orodha, hapo inabidi wajadili tena ili naowahakikiwe. Kupoteza muda tu.
Wakimaliza kuhakiki wajumbe, wanatakiwa kumchagua mwenyekitu wa uchaguzi atakayeongoza zoezi hilo, halafu wagombea waitwe kujinadi! Wamalize wote kujinadi na kujibu maswali ndio waanze kupiga kura. Na hapo bado hawajaenda kura!
Hii haiwezi kuwa bahati mbaya, mambo yafanyike usiku mwingi ili wafanye umafia! Sisi vimbelembele ndio hatutali hadi kieleweke! Tutabaki macho hata tukiwa mazombi 😒😒
Pia soma: Pre GE2025 - Yanayojiri Uchaguzi Mkuu CHADEMA 2025: Tundu Lissu ashinda nafasi ya Mwenyekiti CHADEMA Taifa kwa Kura 513 sawa na 51.5%
Naona CHADEMA leo wanataka kutulaza saa tisa usiku
.Maana ndio kwanza wapo kwenye zoezi la kuhakiki wajumbe, mara wamesema sijui kuna kanda ya Rukwahaikuwepo kwenye orodha, hapo inabidi wajadili tena ili naowahakikiwe. Kupoteza muda tu.Wakimaliza kuhakiki wajumbe, wanatakiwa kumchagua mwenyekitu wa uchaguzi atakayeongoza zoezi hilo, halafu wagombea waitwe kujinadi! Wamalize wote kujinadi na kujibu maswali ndio waanze kupiga kura. Na hapo bado hawajaenda kura!