Pre GE2025 Ndio kwanza wanahakiki majina, bado wagombea kujinadi ndio zoezi la kura lianze! Wanatoboa kweli leo?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Wakuu,

Naona CHADEMA leo wanataka kutulaza saa tisa usiku :BearLaugh: :BearLaugh: .Maana ndio kwanza wapo kwenye zoezi la kuhakiki wajumbe, mara wamesema sijui kuna kanda ya Rukwahaikuwepo kwenye orodha, hapo inabidi wajadili tena ili naowahakikiwe. Kupoteza muda tu.

Wakimaliza kuhakiki wajumbe, wanatakiwa kumchagua mwenyekitu wa uchaguzi atakayeongoza zoezi hilo, halafu wagombea waitwe kujinadi! Wamalize wote kujinadi na kujibu maswali ndio waanze kupiga kura. Na hapo bado hawajaenda kura!

Hii haiwezi kuwa bahati mbaya, mambo yafanyike usiku mwingi ili wafanye umafia! Sisi vimbelembele ndio hatutali hadi kieleweke! Tutabaki macho hata tukiwa mazombi 😒😒
Bongo hatujawahi kuwa serious, kipindi chote hiko kumbe baadhi ya maandalizi hayajawa tayari?
Basi sawa , tokea asubuhi??
 
Wakuu,

Naona CHADEMA leo wanataka kutulaza saa tisa usiku :BearLaugh: :BearLaugh: .Maana ndio kwanza wapo kwenye zoezi la kuhakiki wajumbe, mara wamesema sijui kuna kanda ya Rukwahaikuwepo kwenye orodha, hapo inabidi wajadili tena ili naowahakikiwe. Kupoteza muda tu.

Wakimaliza kuhakiki wajumbe, wanatakiwa kumchagua mwenyekitu wa uchaguzi atakayeongoza zoezi hilo, halafu wagombea waitwe kujinadi! Wamalize wote kujinadi na kujibu maswali ndio waanze kupiga kura. Na hapo bado hawajaenda kura!

Hii haiwezi kuwa bahati mbaya, mambo yafanyike usiku mwingi ili wafanye umafia! Sisi vimbelembele ndio hatutali hadi kieleweke! Tutabaki macho hata tukiwa mazombi 😒😒
Mkuu sisi huku pia halali, mpaka saa 7 usiku, kesho hasubui, kesho jion kesho kutwa , pigeni kazi wakuu, muandike historia mpya
 
Na huku mitaani bado tunaendelea na Jaramba bambam la ama kubaki na ama ndio mwisho wa kuwa Chadema

Ole! Lissu asiposhinda, Chadema by by
 
Sisi Wafrika ni watu wa hovyo sana.

Zoezi la siku moja tu linachukua masaa kibao?

Why are we not smart in everything?

Au ndio zile mbinu?
Alieturogaga huenda nae alirogwa!
 
Wakuu,

Naona CHADEMA leo wanataka kutulaza saa tisa usiku :BearLaugh: :BearLaugh: .Maana ndio kwanza wapo kwenye zoezi la kuhakiki wajumbe, mara wamesema sijui kuna kanda ya Rukwahaikuwepo kwenye orodha, hapo inabidi wajadili tena ili naowahakikiwe. Kupoteza muda tu.

Wakimaliza kuhakiki wajumbe, wanatakiwa kumchagua mwenyekitu wa uchaguzi atakayeongoza zoezi hilo, halafu wagombea waitwe kujinadi! Wamalize wote kujinadi na kujibu maswali ndio waanze kupiga kura. Na hapo bado hawajaenda kura!

Hii haiwezi kuwa bahati mbaya, mambo yafanyike usiku mwingi ili wafanye umafia! Sisi vimbelembele ndio hatutali hadi kieleweke! Tutabaki macho hata tukiwa mazombi 😒😒
Mungu yupo pamoja nasi.. Hili nalo litapita tena salama kabisa
CHADEMA Logo PNG Vector (EPS) Free Download.jpeg
 
Chawa kunguni papasi na viroboto wameuvamia huu uzi kwa kasi ya 5G😂😂😂
 
Naomba kura zikianza kupigwa umeme ukate na generator liungue beyond repair! Wametaka wenyewe michezo ya kupiga kura usiku
Kumbe mnyika naye ni wale wale tudaah
Wajinga sana, sasa watatulaza watu wa magazeti ofisini hadi matokeo yatoke ndo tuchapishe pale fenti fodi, ukizingatia hata overtime hatupewi
Mwananchi Com huwa wanatoa gazeti lao saa sita kamili. Leo watatoa saa 11 alfajiri. Nakala hazitafika Arusha🤣🤣
 
Back
Top Bottom