Pre GE2025 Ndio kwanza wanahakiki majina, bado wagombea kujinadi ndio zoezi la kura lianze! Wanatoboa kweli leo?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Chadema inayojinasibu kufanya mambo kisomi..!

Upuuzi mtupu..
Wamenikera sana.

Tangu asubuhi walikuwa wanafanya nini?

Anyway ikiwa zoezi limeenda polepole ili kuhakikisha Effectivenes then i have no question.
 
Wanamuandaa mheshimiwa kiasaikolojia kuyapokea majibu ya kushindwa.maana haitakuwa taarifa njema
 
Ajabu mtu kama mbowe anataka kupewa nchi nilikua nawaona watu wa ajabu waliokua wanasema acha ccm iendelee kutawala ila kwa hichi nachokiona bado hatuna watu wakuaminiwa wa kupewa nchi yaani hatuna mbadala wa ccm
Chukua nchi wewe kama unaona ni rahisi πŸ˜€
 
Hawa CHADEMA kwa uendeshaji wao huu wa mikutano kizamani hivi wasiwe wanaalika wageni kutoka nje ya nchi kwa sababu wanaijiabisha na kuaibisha nchi kwa ujumla.

Ni chama chenye vijana lakini kina mambo ya karne ya 10.
CHADEMA jirekebisheni mnatia aibu sana
 
Ni dhahiri kuna kutokuaminiana
 
CHADEMA wanatakiwa watambue kunatafiti zilifanyika na kuonekana watu wasomi ndio wanaoisupport CHADEMA na wenye kipato. Lakini kweli mtu muelewa utamueleza nini akuelewe sababu za kupiga kura usiku wa manane. Hamna na Bora hata ccm
 
Kwanini wasianze asubuhi kabisaaa
Chadema chama cha wachawi wabasubiri usiku wa manane ndio wachague mwanga atakayeongoza Chadema miaka mitano ijayo

CCM tulimaliza kila kitu mchana kweupe haikufika hata saa tisa mchana
 
Hivi na wale Mabalozi, Mashekhe na Maaskofu wstasuburi usiku?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…