Pre GE2025 Ndio maana Bunge linapitisha tozo, kumbe wao haziwahusu!
Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Salaam Wakuu,

Tulia amekua akiwatunuku followers wake mara kadhaa kwa kuwatumia mialama mara kadhaa, na mara zote amekuwa akiweka copy ya miamala hiyo kuonesha kuwa wahusika wamepokea.

Siku zote hizo amekuwa akiedit text hizo na kuondoa kisehemu kinachoonesha makato ya ada na tozo ya serikali, sasa jana akajichanganya kwa kushea screenshot yote ya muamala ambapo inaonesha hakuna makato yoyote anayokatwa!

Ila pia katika maongezi ya hapa na pale nikafamu pia kuna taasisi hapa nchini mfano CRDB wafanyakazi wao hawakatwi makato hayo pia!

Kumbe ndio maana wanashadadia tukwatwe kwasababu wao hawapati maumivu haya?

Kama tozo hizi ni kwaajili ya maendeleo ya taifa kwanini wengine hawakatwi? Yaani mbali na kuwa tunalipa mishahara, yao na posho zao nono bado bado pia wawe exempted kwenye kulipa tozo? Mbali na kutufanyia ufisadi wote huo unaoibuliwa na ripoti za CAG bado na huku muondolewe, kweli?

Watanzania bado tutaendelea kukaa kimya? Makato haya yanatakiwa kuondolewa tuwe tunatuma pesa bure.
Hiyo chai mpelekee Lissu. Ingawa na chai zenyewe zimemchosha hadi akaugua!!!
 
Hii tanzagiza wananchi ni maiti zinazotembea misukule tupu.
Mungu awachukue mmoja mmojahawa wanao(viongozi wote wa nchi wanaojibambikia mali kwa ulafi)
 
Hakuna, mitandao mingi kutuma pesa chini ya 30,000 kwenda mtandao ule ule hakuna makato
20240526_155227.jpg
 
Salaam Wakuu,

Tulia amekuwa akiwatunuku followers wake mara kadhaa kwa kuwatumia mialama mara kadhaa, na mara zote amekuwa akiweka copy ya miamala hiyo kuonesha kuwa wahusika wamepokea.

Siku zote hizo amekuwa akiedit text hizo na kuondoa kisehemu kinachoonesha makato ya ada na tozo ya serikali, sasa jana akajichanganya kwa kushea screenshot yote ya muamala ambapo inaonesha hakuna makato yoyote anayokatwa!

Ila pia katika maongezi ya hapa na pale nikafamu pia kuna taasisi hapa nchini mfano CRDB wafanyakazi wao hawakatwi makato hayo pia!

Kumbe ndio maana wanashadadia tukwatwe kwasababu wao hawapati maumivu haya?

Kama tozo hizi ni kwaajili ya maendeleo ya taifa kwanini wengine hawakatwi? Yaani mbali na kuwa tunalipa mishahara, yao na posho zao nono bado bado pia wawe exempted kwenye kulipa tozo? Mbali na kutufanyia ufisadi wote huo unaoibuliwa na ripoti za CAG bado na huku muondolewe, kweli?

Watanzania bado tutaendelea kukaa kimya? Makato haya yanatakiwa kuondolewa tuwe tunatuma pesa bure.
Nchi pamoja na viongozi imeoza
 
Habar za muda huu

Katika pita pita zangu leo nikakutana na miamala kadhaa ya kiongoz mkubwa wa nch yetu katika miamala hiyo kuna kitu kimenihuzunisha na kunichanganya sanaaa.

Katika miamala ya kiongoz huyu hakuna kod yoyote anayokatwa nikajiuliza huyu si ndio katunga sheria na kuruhus watanzania wote tulipe kod kupitia miamala ya simu na banks inakuaje sasa anaetakiwa kuwa mfano wa kulipa kod alipi kodi na anakamata wasiolipa kodi

Nimeumia sanaa viongoz wtu kuna mahali wanatusaliti
 
Attachments

  • Screenshot_20240625-144238_Instagram Lite.png
    Screenshot_20240625-144238_Instagram Lite.png
    371.4 KB · Views: 4
Mbona kama haijakamilika.. haisemi balance iliyobaki ni ngapi...maybe katwist mambo.
 
Back
Top Bottom