Mfumo wa tz ni mbovu sana.voingozi wote kuanzia rais,makamu, waziri mkuu,spika majaji,wakuu wa vyombo vya ulinzi Hawa wote hawalipi kodi.nyumba,umeme,maji,watoto wao kusomeshwa na serikali shule anayotaka,gari mpya Kila baada ya miaka mitano na itategemea gari Kali itakayokuwa sokoni,wanagharamiwa kwenda kufanya utalii Nchi yeyote anavyotaka kwenda labda akatae yeye,matibabu Bure.hivyo Hivyo na Kwa wastaafu japo kuwa wao wastaafu hupata 80% ya aliyepo madarakani lakini ukienda ulaya ambalo Kila siku bi chura anatembeza bakuli kuomba msaada wa pesa hakuna huo upuuzi.mfano uingereza na marekani viongozi wote wanalipwa Kodi ispokuwa nyumba tu wanajengewa.