Smith Rowe
JF-Expert Member
- Sep 18, 2018
- 4,319
- 9,003
Lipa namba unaweza mtumia mtu pesa?Sasa makato ya mtandao ambayo si tozo yanahusika vipi na serikali? Namba za biashara (LIPA NAMBA) hazifanani makato na namba za simu za kawaida.
Acha kujitetea madam Tulia Ackson.Hakuna, mitandao mingi kutuma pesa chini ya 30,000 kwenda mtandao ule ule hakuna makato
Unakataa Nini na unakubali Nini?Sasa makato ya mtandao ambayo si tozo yanahusika vipi na serikali? Namba za biashara (LIPA NAMBA) hazifanani makato na namba za simu za kawaida.
Si kweli!Muamala chini ya 30,000 haukatwi tozo, acha kupotosha umma
Vitu ingine huna haja ya kuandika chochote.Muamala chini ya 30,000 haukatwi tozo, acha kupotosha umma
Wacha kujitoa ufahamu .!Hakuna, mitandao mingi kutuma pesa chini ya 30,000 kwenda mtandao ule ule hakuna makato
Achana hata na hilo. Unajuaje iwapo ujumbe ni halisi? Kama kaediti tu na kuiposti ili kuwajaza upepo???Utajuaje kama ni ya wakala
Punguzeni nyivu.....Inauma sana hii yaani Wanyonge ndio tunakatwa tozo lakini wale waliopitisha hizo sheria hawakatwi tozo. Hata Mpesa hawachukui ada yao ya transaction ya miamala na serikali pia haikati Government Levy.
Eeeh Mwenyezi Mungu Baba tuepushe na hiki kikombe tunapitia mazingira na hali ngumu sana. Pia hata haki zetu za msingi tunazikosa 🙏
View attachment 3030586
Line ya wakala huwa haina mpangilio huo wa maelezo..Utajuaje kama ni ya wakala