Teamo
JF-Expert Member
- Jan 9, 2009
- 12,271
- 1,052
maisha haya bwana!...babu-seya and CO LTD anaozea jela KWA SABABU YA WANAWAKE...........!
enewei ndo hivo tena WE STILL NEED WOMEN AROUND US!hata kama ni hasara tutafanyeje sasa...!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
maisha haya bwana!...babu-seya and CO LTD anaozea jela KWA SABABU YA WANAWAKE...........!
angalau basi one has played his/her role......
timiza majukumu yako then akuchiti ujue tu huyo aliamua hata hukumsukuma kufanya hivyo....then ufe vizuri kwa machungu
wanaume wengi wanafanya kazi kwa bidii zote 99 ili wakidhi mahitaji ya WANAWAKE.....
just think...........ebu tueleweshe basi! how come ni ya hasara yet mnaendelea kuinvest?
just think...........
kwa kuzingatia hoja ya msingi kwamba INFIDELITY IS THERE TO STAY FOREVER.............!
nikiwa maeneo yangu nimemwita mary wangu anipunguzie stress za ndoa na makelele ya wife na watoto
LAZIMA AKAMATE MCHEMSHO NA REDD'S HATA TATU!
LAZIMA NICHUKUE MJENGO WA ELFU 30 HADI 40
LAZIMA NINAPOMUACHA NIMPE PAAKEI YA KUTOSHA MINIMUM 30KS
sasa sio hasara hiyo?
na ukirudi home wife ana demands zake 100times

hee nani afe awaache wanawe?......bht hawaridhishwi na lolote hawa, wewe umeshawahi kuwa kwenye mahusiano mpaka yamekukatisha tamaa lakini c ulikuwa unajitahidi mawili matatu kukidhi, aliridhika/waliridhika?

mama kashanunua ugomvi, jamaa anasema mie nawackiliza wao lakini hakuna jipya nililofanya ambalo hata hao ndugu zake hawajawahi kulifanya, hapo mie ni coz nimefanya na ndugu na waniulize nilianzanaje na ndugu then nitawapa jibu...haaa nilibaki nimetoa jicho na hivyo nilikuwa nimepiga tusker za kucndikiza lunch haaaa.....
ha ha ha!kwa style hiyo lazima mm kama wife nidemand hata 70elfu mara 70 elf, lakini hizi expenses za kina mary mnazitafuta wenyewe! so shida ni kwa wanaume sio wanawake hasara!
ha ha ha!
haya mom
idea yangu ni kwamba ni MIRADI YA HASARA!yani the women stuff,the marriages,and the whole contract ni HASARA TUPU!
yaani lazima uspend hela nyingi...!tena bora mkeo awe hana kazi au hana hela inakuwa hauweni lakini tofauti na hilo dah!
unajua kuna jamaaangu hapa kaoa machame yeye ni mtumishi wa serikali!kwa mwanamama hela ipo mingi sana,na yule mama ana hela kiaina!sasa jamaa anahaha kwel kwel anajitutumua kufika level fulani ili atizamike kwa mkewe
hivi tunavyoongea jamaa keshavuta gx100 kwa tabu,kufunga na shida zote na kampa waifu ake atembelee mafuta anajaza jamaa!hapa tunaumiza kichwa mafuta ya kumpa jamaa amjazie mkewe aende moshi...!
WHAT THE HELL IS THIS!
F-U-C-K!
ndo maana mi nadhani hawa viumbe ni miradi ya hasara!kwani lazima ushindane na mkeo na uwe juu yake kipatowise???
tabu nyingine mnajipa wenyewe kwa kutojiamini
HAHAHAHA!ha ha ha,..Teamo, jamaa yako ni mgonjwa wa akili!
...sasa Nyamayao, story si ina pande tatu?...His story, her Story, and the Truth?
...Nyamayao, si wamuulize tu sterlingi mkuu ili ukweli ujulikane?! Oooh wanaume ndio walivyo, aaah...
Yote ya nini hayo.
Huyo Wifi yako "kachemka", Ukitaka ku surprise nawe uwe umejiandaa kuwa Surprised!
...hehehe...:ranger:
exactly!siwezi kumtofautisha na mke ''anaelilia'' password ya e-mail au simu ya mumewe!.....so kosa la huyu wifi ni kum surprise mumewe?
HAHAHAHA!
unajua huyu jamaa ni ''ngosha''!
sasa mbu hapa tutakuwa na mjadala mpya kwamba wanaume ''wanaojua kupenda'' ni wagonjwa wa akili!
exactly!samahani mie nauliza hii ndoa ndio kwishwa habari yake au itaendelea... ? manake naona hii ni too much mwanamke kawaona ivi ivi (ile picha haiwezi futika tena) .... yani hii ni tofauti na aliye cheat lakini hujamuona...