Ndio tunaingia mwezi wa tatu wa mwaka huu mpya, vipi unaonaje mwelekeo wa mipango (resolutions) yako ya mwaka huu? Apeche alala au Apeche alolo?

Ndio tunaingia mwezi wa tatu wa mwaka huu mpya, vipi unaonaje mwelekeo wa mipango (resolutions) yako ya mwaka huu? Apeche alala au Apeche alolo?

Eli Cohen

JF-Expert Member
Joined
Jun 19, 2023
Posts
4,460
Reaction score
13,715
All in All ukata ni wa moto sanaa tena ukiongezea na hili jua kali hivi unachomeka kisawa sawa hadi unaanza kunukia kama ndafu.

Ila tushazoea Uafrika wetu huu, mapambano yanaendelea hadi hio 31st of december.
20250228_174311.jpg
 
Sio kuwa hesabu ama miaka ama namba za siku zinatekeleza mipango yako Bali ni wewe, unaanza kuamua ukaishi unavyopenda yaani siku are just immaterial, Kuna watu wanaabudu siku Ila ishu kubwa ni moyo wako wa dhati kwa Muumbaji wako, so Kama upo poa hata may inaweza ikawa January yako,pia outcome yako or future is uncertainty
 
Back
Top Bottom