Mavindozii
JF-Expert Member
- Oct 20, 2012
- 2,111
- 2,781
Taifa kubwa USATatizo kala pesa za mabeberu kwa hiyo lazima nchi yake ilipe kwa damu ya waukraine kupigana na warusi kwa niaba ya marekani!! Marekani inafurahi kuwa inaweza kupigana na urusi bila kumwaga damu ya askari yeyote wa marekani kwa kutumia mikono na damu ya watu wa ukraine!! Hawakubali kabisa ukraine ifanye mazungumzo ya amani na urusi!!
Marekani inasema itapambana na Urusi hadi tone la mwisho la damu ya watu wa Ukraine!! Uone Marekani ilivyo katili!!
Acha awaue tuu wanajeshi wa RussiaNawashangaa sana mnaosema eti wakae wazungumze yaishe, Sasa mtu kakuvamia chumbani kwako anataka Mali zako ukimwacha kesho atakuja tena atamtaka mkeo utamwacha kesho kutwa atakutaka na ww.
HIMARSHapa walikuwa wapo kwenye Sherehe za ubatizo aseee .....hakuna kitu kama hicho ....Urusi anachapika kwelikweli wamekimbilia Belarus.
Mkuu mbona hukunistuaππππRussia comments on deadly strike on Ukrainian city
Moscow said it targeted a meeting of Kiev's military commanders with foreign arms suppliers in central Vinnitsa.
Russia attacked the House of Military Officers in Vinnitsa with sea-launched Kalibr cruise missiles, the Defense Ministry said on Friday during a daily briefing. The statement claimed that the attack happened when a group of Ukrainian senior military officers were holding a meeting with foreign arms suppliers. The discussion was about the βtransfer of more warplanes and weapons systems as well as the repair of the Ukrainian military air fleet,β the ministry said. The Russian strike killed all participants at the gathering.
Ndiyo maana Zelensky amelalamika sana kupita kawaida yake ya kulalamika. Mpaka akasema ingefanyika namna hii huko Texas Marekani ingekuwaje? Hapa anazungumzia shambulizi lililofanywa na urusi katikati ya Ukraine kwenye mji wa Vinnytsia in central Ukraine. Makamanda wa ukraine walikuwa kwenye kikao cha kuzungumzia kuuziwa silaha na wawakilishi wa makampuni ya nchi za magjharibi yanayouza silaha nzito za kijeshi. Wote waliangamizwa!!
Niliweka jana wakaunganisha uzi ila soon nakuleteaWeka source ya habari usiripoti kama upo frontline. Hilo shambulio limefanyika lini?
Shirika la habari la UingerezaWeka source ya habari usiripoti kama upo frontline. Hilo shambulio limefanyika lini?
Huu mzigo sio mchezo π π πUS /UK/FR/GER hawakosekani Kati ya waliochanganywa mavumbiniπ€£π€£π€£π€£walitegemea kupiga fweza kwenye dili la silaha Sasa wakapige mavumbini
Hatari Sana km 4500 target
View attachment 2291801
View attachment 2291802
KawasaidieNawashangaa sana mnaosema eti wakae wazungumze yaishe, Sasa mtu kakuvamia chumbani kwako anataka Mali zako ukimwacha kesho atakuja tena atamtaka mkeo utamwacha kesho kutwa atakutaka na ww.
Rusia hanaga hizo swaga ndio maana anasonga mbele kimyakimya tu kama ananyataπ€£π€£π€£Ukitaka uchukiwe kwenye huu Uzi,omba majina ya Makamanda hata watano waliokufa na picha zao kama wafanyavyo Ukraine uone povu lake.
Akituulia generali mmoja tunasafisha kilinge kizima cha majenerali na machawa toka NATO πππRussia ana ma Agent ndani ya Jeshi la Ukraine na Nchi zote hasimu
Heheheh ndio maana Marekani kakimbiza balozi na watumishi wote wameacha jengo maana mrusi hakawilii kulishusha kama 9/11Hapa walikuwa wapo kwenye Sherehe za ubatizo aseee .....hakuna kitu kama hicho ....Urusi anachapika kwelikweli wamekimbilia Belarus.
Wamepewa onyo majengo ya diplomat yasitumike na military officers kitakachowapata watajijuHeheheh ndio maana Marekani kakimbiza balozi na watumishi wote wameacha jengo maana mrusi hakawilii kulishusha kama 9/11
If you can't fight join them....Nawashangaa sana mnaosema eti wakae wazungumze yaishe, Sasa mtu kakuvamia chumbani kwako anataka Mali zako ukimwacha kesho atakuja tena atamtaka mkeo utamwacha kesho kutwa atakutaka na ww.
Za ndani kabisa[emoji41][emoji41][emoji41]Heheheh ndio maana Marekani kakimbiza balozi na watumishi wote wameacha jengo maana mrusi hakawilii kulishusha kama 9/11
Washaona kabisa kua next move Ni Kiev[emoji4]Heheheh ndio maana Marekani kakimbiza balozi na watumishi wote wameacha jengo maana mrusi hakawilii kulishusha kama 9/11
Russia [emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji123]Uraaa!