Ndiyo maana Zelensky amelalamika sana!! Kumbe Makamanda wake walikuwa kwenye kikao na wauzaji wa vifaa vya kijeshi, makombora ya Urusi yakawaangamiza!

Ndiyo maana Zelensky amelalamika sana!! Kumbe Makamanda wake walikuwa kwenye kikao na wauzaji wa vifaa vya kijeshi, makombora ya Urusi yakawaangamiza!

Tatizo kala pesa za mabeberu kwa hiyo lazima nchi yake ilipe kwa damu ya waukraine kupigana na warusi kwa niaba ya marekani!! Marekani inafurahi kuwa inaweza kupigana na urusi bila kumwaga damu ya askari yeyote wa marekani kwa kutumia mikono na damu ya watu wa ukraine!! Hawakubali kabisa ukraine ifanye mazungumzo ya amani na urusi!!
Marekani inasema itapambana na Urusi hadi tone la mwisho la damu ya watu wa Ukraine!! Uone Marekani ilivyo katili!!
Taifa kubwa USA
 
Nawashangaa sana mnaosema eti wakae wazungumze yaishe, Sasa mtu kakuvamia chumbani kwako anataka Mali zako ukimwacha kesho atakuja tena atamtaka mkeo utamwacha kesho kutwa atakutaka na ww.
Acha awaue tuu wanajeshi wa Russia
 
Hapa walikuwa wapo kwenye Sherehe za ubatizo aseee .....hakuna kitu kama hicho ....Urusi anachapika kwelikweli wamekimbilia Belarus.
HIMARS
JamiiForums1613461802.jpg
 
Labda kwenye hilo dili Zelenscky alikua na uhakika wa kupata 10pasent km lingetik [emoji41][emoji41][emoji41]
 
Russia comments on deadly strike on Ukrainian city​

Moscow said it targeted a meeting of Kiev's military commanders with foreign arms suppliers in central Vinnitsa.
Russia attacked the House of Military Officers in Vinnitsa with sea-launched Kalibr cruise missiles, the Defense Ministry said on Friday during a daily briefing. The statement claimed that the attack happened when a group of Ukrainian senior military officers were holding a meeting with foreign arms suppliers. The discussion was about the “transfer of more warplanes and weapons systems as well as the repair of the Ukrainian military air fleet,” the ministry said. The Russian strike killed all participants at the gathering.

Ndiyo maana Zelensky amelalamika sana kupita kawaida yake ya kulalamika. Mpaka akasema ingefanyika namna hii huko Texas Marekani ingekuwaje? Hapa anazungumzia shambulizi lililofanywa na urusi katikati ya Ukraine kwenye mji wa Vinnytsia in central Ukraine. Makamanda wa ukraine walikuwa kwenye kikao cha kuzungumzia kuuziwa silaha na wawakilishi wa makampuni ya nchi za magjharibi yanayouza silaha nzito za kijeshi. Wote waliangamizwa!!
Mkuu mbona hukunistua😂😂😂😂
 
Weka source ya habari usiripoti kama upo frontline. Hilo shambulio limefanyika lini?
Niliweka jana wakaunganisha uzi ila soon nakuletea
 
Attachments

  • Screenshot_20220716-202459_Chrome.jpg
    Screenshot_20220716-202459_Chrome.jpg
    107.1 KB · Views: 4
Nawashangaa sana mnaosema eti wakae wazungumze yaishe, Sasa mtu kakuvamia chumbani kwako anataka Mali zako ukimwacha kesho atakuja tena atamtaka mkeo utamwacha kesho kutwa atakutaka na ww.
Kawasaidie
 
Ukitaka uchukiwe kwenye huu Uzi,omba majina ya Makamanda hata watano waliokufa na picha zao kama wafanyavyo Ukraine uone povu lake.
Rusia hanaga hizo swaga ndio maana anasonga mbele kimyakimya tu kama ananyata🤣🤣🤣
 
Heheheh ndio maana Marekani kakimbiza balozi na watumishi wote wameacha jengo maana mrusi hakawilii kulishusha kama 9/11
Wamepewa onyo majengo ya diplomat yasitumike na military officers kitakachowapata watajiju
 
Nawashangaa sana mnaosema eti wakae wazungumze yaishe, Sasa mtu kakuvamia chumbani kwako anataka Mali zako ukimwacha kesho atakuja tena atamtaka mkeo utamwacha kesho kutwa atakutaka na ww.
If you can't fight join them....
 
Heheheh ndio maana Marekani kakimbiza balozi na watumishi wote wameacha jengo maana mrusi hakawilii kulishusha kama 9/11
Za ndani kabisa[emoji41][emoji41][emoji41]

Odessa na kyiv ndio kituo kinachofata sasa kulingana na namna maafisa wa us kushirik kwa namna tofaut tofaut kumsaidia zele licha ya maonyo waliyopewa na DUBU itakua ngumu kuwalinda maafisa wa ubaloz ikitokea wamedakwa nje ya ubaloz.

Sasa ili kujiham dhid ya hasira za DUBU wameonelea bora wakihame kichaka chao.

Mpaka sasa DUBU ana taarifa za mienendo ya maafisa wote wa ubaloz inamaana atakayedakwa fasta taarifa za mienendo yake zinawekwa hadharan na namna walivyokiuka mashart yanayompa kinga mwanadiplomasia ktk nchi ya kigen.

Chanzo;niamin bro
 
Back
Top Bottom