Ndo nakuambia sasa kama hujui. Asilimia 95 ya wanaume wanapenda mwanamke huyu

Ndugu mwandishi Nyie mnaishiwa kuchezewa tu Hao namba moja ndo wanawekwa ndaniπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒ ..pia mwanamke mwenye akili hawezi kuja kujinadi huku kuhusu nyashi nyashi hata Kuku anayo
Kumbe vita imeanza πŸ˜€πŸ˜€
 
ipo siku nasie wembamba tutapata mtetezi wetuπŸ˜₯
Mtetezi wenu ni dunia isiyofake mambo!

Ukiacha maneno na sifa, mbona wembamba kiuhalisia ndiyo wazuri kuliko wanene!

Kuna mdau kishasema humu: 'tembo ni mzuri kumfuata na kumwangalia mbuga za wanyama, siyo kumleta na kumfuga kwako'.
 
Wenye vibamia tunasakamwa kila leo jamani 😭😭😭😭
 
tiGo wanatoa?
 
Mtetezi wenu ni dunia isiyofake mambo!

Ukiacha maneno na sifa, mbona wembamba kiuhalisia ndiyo wazuri kuliko wanene!

Kuna mdau kishasema humu: 'tembo ni mzuri kumfuata na kumwangalia mbuga za wanyama, siyo kumleta na kumfuga kwako'.
Lamomy sitaki upitwe na hii njoo usome apa😌😌
 
Binafsi napenda mwanamke mwenye tako na sio manyama nyama .kuna wanawake wana zani wana tako kumbe wana manyama nyama ya unene tuu .
 
Umesema kweli lakini nyie huwa tunawatamani tu huwa tunawapelekea moto tunalala mbele hatuweki kambi,ukiona amekuganda basi huyo hakusomea Cuba.
 
Umesema kweli lakini nyie huwa tunawatamani tu huwa tunawapelekea moto tunalala mbele hatuweki kambi,ukiona amekuganda basi huyo hakusomea Cuba.
ni woga wanaume wengi ambao hawajiamini hukimbia wanawake wenye mvuto sana . nawaelewa ni sababu ya uogopa kupasuliwa kichwa.
 
Wanawake wenye mishepu tunawapenda only for domestic users.....tukitaka kuoa tunatafuta wembamba walio na akili.....maana mishepu na akili huwa havikai pamoja
 
Chagua moja kuchezewa Kama mdori ukichoka utupwe jalalani au kuhifadhiwa na kulindwa,kila ua lina mwisho likikomaa Sana hukosa hadhi,tumia uzuri ulionao kwa akili.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…