Ndo nakuambia sasa kama hujui. Asilimia 95 ya wanaume wanapenda mwanamke huyu

Anajiendekeza, ujitoe uhai sababu ya nyash??
Sijui mi niko tofauti?!! Yani sijawahi kuumizwa kichwa na hayo makitu, nawaza vitu vingine tofauti kabisaaa.!! Kuna muda nahisi nilitakiwa kuwa Mars huko 😂😂😂
Najaribu tuu ku-appreciate namna ulivyo
 
Anajiendekeza, ujitoe uhai sababu ya nyash??
Sijui mi niko tofauti?!! Yani sijawahi kuumizwa kichwa na hayo makitu, nawaza vitu vingine tofauti kabisaaa.!! Kuna muda nahisi nilitakiwa kuwa Mars huko 😂😂😂
Binti anakuwa mawazo sana
 
nimecheka sana leo...Neno tinginya sikuwahi sikia nimeliongeza katika maneno ninayoyajua hapa duniani. Sisi wenye kilo chini ya 70 tupite kimya au tubebelee kama reli ya SGR na treni lake??
 
Back
Top Bottom