Ndo nakuambia sasa kama hujui. Asilimia 95 ya wanaume wanapenda mwanamke huyu

Ndo nakuambia sasa kama hujui. Asilimia 95 ya wanaume wanapenda mwanamke huyu

Hii nshawah kumuuliza demu fln hv mwembamba, akasema roho hua inamuuma sana mpaka anatamani asiwe anakutana na waliomzidi mwili
Huyoo yupoo sahihi...unakuta mwinginee mpk anakushikaa kaliooo...et au leo umevaa kigodoro...kumbe maskini ni majaliwa ya Allah tuu😄😄😄..Dunia ya saizi wanawake wasio na makalio wanakosa Sana confidence...tako limekuwaover rated kwa kweli😄🙌chanzo ni nyie wanaumeee
 
Ah Mm nimeridhika na nyash dogo la babe wangu Lamomy hvy mm sijawahi kuwa chanzo 😂

Ila mwanamke wa namna hy awekwe karibu na watoa ushauri maana anaweza hata kujitoa uhai kwa stress 😂
 
Awe na Tako awe na kiuno awe na bastola. Hutaki kajisaidie....mi nshakutana na wanaume wanasema napenda mwanamke namba moja....

Nyooooh...namba moja my ass. Wengi ambao ni vibamia wanaogopa kuyafakamia matinginya sababu hawafiki ndani au hawajui style mujarabu.

Unabisha aangalia insta wanawake gani wana wafuasi wengi. Wanaume wengi wakikosa ndo husema sizitaki mbichi hizi. Nyie viwanawake kau kau mna gubu nyieeee....khaaaah.walalamishi, mna husda,roho mbaya, washakunaku na hamjiamini.

Ni nadra sana mwanaume kugeuka kumwangalia mwanamke namba 1 au kaukau.lakini sisi namba 8 weeeeeeeh....watu wanapata mpaka ajali.na wanaume wanasema hawataki kutuoa sababu ni pasua kichwa.tunapendwa na kutamaniwa na wengi.

Humu JF ukisoma tu unajua hiki ni chembamba kimekosa nyama na roho, utakiona tu comments zake.hakijiamini, kinaweweseka na kikorofi.sisi wanene watamu..akhaaaaaaah....kama mwanaume hueleweki pita kule kaka tusitiane hashua ya papa.

Wanaume weak hukimbilia vinamke vidogo dogo sisi wenye trailers tunaogopwa. Nami siogopi kusema.kama hutaki kalia misumali .we vipi UNANTAKA? Akhuuuu....kajitafute.na uwe na afya yako.mwanaume chini ya kgs 80 huyo ni cha upepo aende huko asilete ubabaifu.

Mwanaume unatakiwa ukaze,uwe na uzito na nguvu.ndo maana mnabaki kuvuonea vidada vina uzito wa kgs 40 mpaka 60. Mimi mwenzenu nina above 90 kgs so mwanaume wangu naye ameshiba na likifua, mamikono hayo.unasema eeeeh....nmeshikiliwa.siyo kamtu kanapepesuka..

NDO NISHASEMA.SIJALI WALA NINI.
Huu uzi umekaa "kimkakati"

#Hilinalomkalitizame.
 
Ah Mm nimeridhika na nyash dogo la babe wangu Lamomy hvy mm sijawahi kuwa chanzo 😂

Ila mwanamke wa namna hy awekwe karibu na watoa ushauri maana anaweza hata kujitoa uhai kwa stress 😂
Anajiendekeza, ujitoe uhai sababu ya nyash??
Sijui mi niko tofauti?!! Yani sijawahi kuumizwa kichwa na hayo makitu, nawaza vitu vingine tofauti kabisaaa.!! Kuna muda nahisi nilitakiwa kuwa Mars huko 😂😂😂
 
Back
Top Bottom