Ndo nakuambia sasa kama hujui. Asilimia 95 ya wanaume wanapenda mwanamke huyu

Ndo nakuambia sasa kama hujui. Asilimia 95 ya wanaume wanapenda mwanamke huyu

BBW ndio ugonjwa wang. Sio watu wa kukasirika sana pia n Raha sana kulala kwenye minyamanyama.
Pale kati kumenona na Joto la Kutosha.
 

Attachments

  • images-1.jpeg
    images-1.jpeg
    7.5 KB · Views: 6
  • images-2.jpeg
    images-2.jpeg
    6.9 KB · Views: 4
To be honest wanawake walioumbikaa hata wanawake wenzao wanawaonea wivuu😄😄unakuta mtu anakukasirikia tu hata sababu hujuiii...unajiuliza nimefanyaa Nini😄😄kumbee shepuu dadaaa😄😄
😁😁😁 nimeshajua sasa
 
Hiyo research umeifanyia wapi ukacalculate na kupata 95 percent?

Kama ulifanya sampling, ulitumia method gani na accuracy yake ipo?

Ulifanya mikoa yote Tanzania au huko ulipo tu?
 
Back
Top Bottom