Ndo nakuambia sasa kama hujui. Asilimia 95 ya wanaume wanapenda mwanamke huyu

To be honest wanawake walioumbikaa hata wanawake wenzao wanawaonea wivuu😄😄unakuta mtu anakukasirikia tu hata sababu hujuiii...unajiuliza nimefanyaa Nini😄😄kumbee shepuu dadaaa😄😄
😁😁😁 nimeshajua sasa
 
Hiyo research umeifanyia wapi ukacalculate na kupata 95 percent?

Kama ulifanya sampling, ulitumia method gani na accuracy yake ipo?

Ulifanya mikoa yote Tanzania au huko ulipo tu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…