Da sleeping Giant
Member
- Apr 5, 2023
- 25
- 59
Hapo uje upate maternal dearh ndo utajua watakakotoka
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa Msioelewa, C-section ni Upasuaji wa
Kumzalisha Mama ( kutoa mtoto/watoto) Kwa Kizazi kwa njia ya upasuaji.
Toka Nilipolala usiku wa kuamkia Jana, mpaka Leo sijalala yaani 24 hours bila kulala.
Kuweni na Huruma Enyi Viongozi, Hivi mtu toka saa Mbili usiku uko Chumba Cha Upasuaji , ukitumia Akili yote, Taaluma yote, kuhakikisha kwamba Mama na Mtoto wanatoka salama.
Hata Chakula nilokula Jana saa 12 jion, tumboni hakipo .
Tunafanya kazi kwelikweli, tunajituma mnoo bila kulala ,bila kupoteza muda, Akili na Mwili vyote vinachoka.
Hivi kweli kazi tunayoifanya inaendana na Mshahara Huu unaokatwa na unakatika haswaa ?. Na utu tuposho tudogodogo hivi?.
Eehh Mwenyezi Mungu uendelee Kuwatia Nguvu Madaktari, Wauguzi na Wafanya kazi wote wa Kada hiii, Mungu Baba, kazi hiii ilikua yako, ila kwakua uko juu mbinguni, uliamua kutuchagua tuitendee hapa Duniani, Endelea kutulinda, tuepushie Magonjwa , Linda familia zetu, Muda huuu Wake na watoto Wetu tumewaacha Majumbani, Usalama wao uko mikononi mwao.
Lakini Baba Mungu, embu nena na watawala wako, uwape Moyo wa kujinyenyekeza, wakati wanapanga Kujiongeza mishahara minono ya mamilioni, Baba Mungu wakumbuke kua Kuna watu wanapambana usiku kucha kwaajili ya Watanzania.
View attachment 2751793
Ufanye operation 10 au usifanye, malipo ni yale yale kwa call.Nilipokuwa shule huko watu walikuwa wanaupenda sana udaktari. Wanasema hivi:-
1. Dr wa operation analipwa kwa muda aliotumia kuoperate. Sasa wewe hizo operation 6 sequential umelipwa how much per operation per time taken eventual how much altogether?
2. Umebobea/bingwa/specialist?
Hapa mbezi beach neighbourhood ninayoishi kulikuwa na open space portion 4 zote wamebeba medical personnel (Mhimbili, (OBG mwingine ICU specialist, pharmacist mwingine cjajua ila ni MD MMed)) so how can you complain? wenzako hawa look like wametoboa ila cjawahi kuwaonea wivu na profession zao na sio kama siwezi kuingia huko infact nilizinguana na watu wangu wengi sana waliotaka nifanye MD.
Carlos The Jackal Usher-smith MD
Sisi tunaowaminya haki zenu tunapokuja huko kutibiwa fanyeni yale ya killing me softly.....Kwa Msioelewa, C-section ni Upasuaji wa
Kumzalisha Mama ( kutoa mtoto/watoto) Kwa Kizazi kwa njia ya upasuaji.
Toka Nilipolala usiku wa kuamkia Jana, mpaka Leo sijalala yaani 24 hours bila kulala.
Kuweni na Huruma Enyi Viongozi, Hivi mtu toka saa Mbili usiku uko Chumba Cha Upasuaji , ukitumia Akili yote, Taaluma yote, kuhakikisha kwamba Mama na Mtoto wanatoka salama.
Hata Chakula nilokula Jana saa 12 jion, tumboni hakipo .
Tunafanya kazi kwelikweli, tunajituma mnoo bila kulala ,bila kupoteza muda, Akili na Mwili vyote vinachoka.
Hivi kweli kazi tunayoifanya inaendana na Mshahara Huu unaokatwa na unakatika haswaa ?. Na utu tuposho tudogodogo hivi?.
Eehh Mwenyezi Mungu uendelee Kuwatia Nguvu Madaktari, Wauguzi na Wafanya kazi wote wa Kada hiii, Mungu Baba, kazi hiii ilikua yako, ila kwakua uko juu mbinguni, uliamua kutuchagua tuitendee hapa Duniani, Endelea kutulinda, tuepushie Magonjwa , Linda familia zetu, Muda huuu Wake na watoto Wetu tumewaacha Majumbani, Usalama wao uko mikononi mwao.
Lakini Baba Mungu, embu nena na watawala wako, uwape Moyo wa kujinyenyekeza, wakati wanapanga Kujiongeza mishahara minono ya mamilioni, Baba Mungu wakumbuke kua Kuna watu wanapambana usiku kucha kwaajili ya Watanzania.
View attachment 2751793
Malipo ni kiasi gani kwa call? Haiwagi overtime mukifanya past working hours???Ufanye operation 10 au usifanye, malipo ni yale yale kwa call.
Kuna moja ilipokea hapa mwezi wa 5.Hapo uje upate maternal dearh ndo utajua watakakotoka
Inategemea na hospitali, sehemu nyingi ni elfu 20 kwa call, zingine elfu 10 au 15.Malipo ni kiasi gani kwa call? Haiwagi overtime mukifanya past working hours???
Kuna moja ilipokea hapa mwezi wa 5.
Specialist kala ban miaka 2
Registra mmoja kala ban mwaka 1
Registra mwingine kashitakiwa [emoji26]
Hatari sana mkuu,pole sana kwao, sometimes unakuta ni sabab zisizozuilikaKuna moja ilipokea hapa mwezi wa 5.
Specialist kala ban miaka 2
Registra mmoja kala ban mwaka 1
Registra mwingine kashitakiwa [emoji26]
Viongozi aote huwa na ndoto kama hizo kabla hawajapata madaraka,wakishapata madaraka wakija kwenye uhalisia sasa wanakuta mapato hayatoshi kulipa kama walivyodhaniaMi nitakuja kuwa rais, maslahi ya Medical Doctor yatakuwa hivi;
1. Bima ya afya-maisha,
2. Kusomeshewa watoto-international mpaka chuo kikuu,
3. Mshahara minimum mil 12,
4. Makazi-bure,
5. Usafiri-unakopeshwa gari bila riba na unapewa mafuta
6. ….
HongeraKwa Msioelewa, C-section ni Upasuaji wa
Kumzalisha Mama ( kutoa mtoto/watoto) Kwa Kizazi kwa njia ya upasuaji.
Toka Nilipolala usiku wa kuamkia Jana, mpaka Leo sijalala yaani 24 hours bila kulala.
Kuweni na Huruma Enyi Viongozi, Hivi mtu toka saa Mbili usiku uko Chumba Cha Upasuaji , ukitumia Akili yote, Taaluma yote, kuhakikisha kwamba Mama na Mtoto wanatoka salama.
Hata Chakula nilokula Jana saa 12 jion, tumboni hakipo .
Tunafanya kazi kwelikweli, tunajituma mnoo bila kulala ,bila kupoteza muda, Akili na Mwili vyote vinachoka.
Hivi kweli kazi tunayoifanya inaendana na Mshahara Huu unaokatwa na unakatika haswaa ?. Na utu tuposho tudogodogo hivi?.
Eehh Mwenyezi Mungu uendelee Kuwatia Nguvu Madaktari, Wauguzi na Wafanya kazi wote wa Kada hiii, Mungu Baba, kazi hiii ilikua yako, ila kwakua uko juu mbinguni, uliamua kutuchagua tuitendee hapa Duniani, Endelea kutulinda, tuepushie Magonjwa , Linda familia zetu, Muda huuu Wake na watoto Wetu tumewaacha Majumbani, Usalama wao uko mikononi mwao.
Lakini Baba Mungu, embu nena na watawala wako, uwape Moyo wa kujinyenyekeza, wakati wanapanga Kujiongeza mishahara minono ya mamilioni, Baba Mungu wakumbuke kua Kuna watu wanapambana usiku kucha kwaajili ya Watanzania.
View attachment 2751793
Sioti nina uhakika, nimeishi hayo maisha nayajua, nimekaa nje za nchi za waliowndelea nimeona vitu ambavyo vimewafanya wapige hatua moja wapo ni kuwajalinma Dakitari, walemavu etc. Hiki nilichoandika nina uhakika nacho! Medical Dooctor hatakiwa kufikiria kitu kingine zaidi ya kuhudumia wagonjwa!Viongozi aote huwa na ndoto kama hizo kabla hawajapata madaraka,wakishapata madaraka wakija kwenye uhalisia sasa wanakuta mapato hayatoshi kulipa kama walivyodhania