Ndo nimemaliza C-section ya 6, nimechoka akili na mwili. Halafu kuna Wanasiasa kwa mwezi wanakula 11 M na bado wanajiongezea mshahara 40%

Sioti nina uhakika, nimeishi hayo maisha nayajua, nimekaa nje za nchi za waliowndelea nimeona vitu ambavyo vimewafanya wapige hatua moja wapo ni kuwajalinma Dakitari, walemavu etc. Hiki nilichoandika nina uhakika nacho! Medical Dooctor hatakiwa kufikiria kitu kingine zaidi ya kuhudumia wagonjwa!
Umeshasema nje,je hizo nchi zina uchumi sawa na wa kwetu?

Hivi unadhani huo mshahara ni masikhara,hata hiyo Kenya waliotuzidi uchumi hawawalipi MD wao huo mshahara
 
Tanzania sisi ni nchi tajiri sana tena sana. Tuna rasilimali nyingi sana za kuweza kufanya hayo yote. Hakuna kinachoshindikana! Hakuna nchi iliyoendelea bila kuwekeza kwenye afya na elimu haipo kabisa!
 
Mi nitakuja kuwa rais, maslahi ya Medical Doctor yatakuwa hivi;
1. Bima ya afya-maisha,
2. Kusomeshewa watoto-international mpaka chuo kikuu,
3. Mshahara minimum mil 12,
4. Makazi-bure,
5. Usafiri-unakopeshwa gari bila riba na unapewa mafuta
6. ….
Mkuu,

Ukiwa Rais nishtue nirudi nyumbani 🤣🤣🤣🤣.

Na uwe Rais hata kesho.
 
Kwa Msioelewa, C-section ni Upasuaji wa
Kumzalisha Mama ( kutoa mtoto/watoto) Kwa Kizazi kwa njia ya upasuaji.

Toka Nilipolala usiku wa kuamkia Jana, mpaka Leo sijalala yaani 24 hours bila kulala.

Kuweni na Huruma Enyi Viongozi, Hivi mtu toka saa Mbili usiku uko Chumba Cha Upasuaji , ukitumia Akili yote, Taaluma yote, kuhakikisha kwamba Mama na Mtoto wanatoka salama.

Hata Chakula nilokula Jana saa 12 jion, tumboni hakipo .

Tunafanya kazi kwelikweli, tunajituma mnoo bila kulala ,bila kupoteza muda, Akili na Mwili vyote vinachoka.

Hivi kweli kazi tunayoifanya inaendana na Mshahara Huu unaokatwa na unakatika haswaa ?. Na utu tuposho tudogodogo hivi?.

Eehh Mwenyezi Mungu uendelee Kuwatia Nguvu Madaktari, Wauguzi na Wafanya kazi wote wa Kada hiii, Mungu Baba, kazi hiii ilikua yako, ila kwakua uko juu mbinguni, uliamua kutuchagua tuitendee hapa Duniani, Endelea kutulinda, tuepushie Magonjwa , Linda familia zetu, Muda huuu Wake na watoto Wetu tumewaacha Majumbani, Usalama wao uko mikononi mwao.

Lakini Baba Mungu, embu nena na watawala wako, uwape Moyo wa kujinyenyekeza, wakati wanapanga Kujiongeza mishahara minono ya mamilioni, Baba Mungu wakumbuke kua Kuna watu wanapambana usiku kucha kwaajili ya Watanzania.

View attachment 2751793
Pole sana mkuu, kati ya watu ninaowaheshim na kuwapenda ni madaktari, siku nikiwa rais nitaboresha maslahi yao kwanza. Japo sio wote aisee mm ni mhanga wa madaktari wazembe nimepoteza watoto 3 wa kufuatana sababu ya uzembe wa kipuuzi sana tena wote 2 hosipitali ya mkoa na wa3 clinick zote nimeenda pale hawakujua wakampa mama alu in 1st tresemester ikaharibu mtoto naambiwa kila kitu kipo sawa nlienda kujifungulia private kwa gajrama kubwa ile dr anaangalia picha nilotoka nayo gov hospital akasema mbina kichwa cha mtoto kina maji. Akaniita pembeni akaniambia jikaze mtoto hataishi na kweli nlikaa naye 4 days akafa.
Pole sana mkuu kwa kufanya kazi kwa bidii
 
Mkuu,

Mimi nikupe hongera pamoja na majukumu mazito. Ile feeling ya kumdeliver mtoto salama na kwa mafanikio, huwa inaleta amani na furaha sana moyoni.

Poleni sana. On call ya less than 9 USD ni kuchoshana. Ila kwa kuwa uliridhia mwenyewe, basi wajibika.
 
Kwa Msioelewa, C-section ni Upasuaji wa
Kumzalisha Mama ( kutoa mtoto/watoto) Kwa Kizazi kwa njia ya upasuaji.

Toka Nilipolala usiku wa kuamkia Jana, mpaka Leo sijalala yaani 24 hours bila kulala.

Kuweni na Huruma Enyi Viongozi, Hivi mtu toka saa Mbili usiku uko Chumba Cha Upasuaji , ukitumia Akili yote, Taaluma yote, kuhakikisha kwamba Mama na Mtoto wanatoka salama.

Hata Chakula nilokula Jana saa 12 jion, tumboni hakipo .

Tunafanya kazi kwelikweli, tunajituma mnoo bila kulala ,bila kupoteza muda, Akili na Mwili vyote vinachoka.

Hivi kweli kazi tunayoifanya inaendana na Mshahara Huu unaokatwa na unakatika haswaa ?. Na utu tuposho tudogodogo hivi?.

Eehh Mwenyezi Mungu uendelee Kuwatia Nguvu Madaktari, Wauguzi na Wafanya kazi wote wa Kada hiii, Mungu Baba, kazi hiii ilikua yako, ila kwakua uko juu mbinguni, uliamua kutuchagua tuitendee hapa Duniani, Endelea kutulinda, tuepushie Magonjwa , Linda familia zetu, Muda huuu Wake na watoto Wetu tumewaacha Majumbani, Usalama wao uko mikononi mwao.

Lakini Baba Mungu, embu nena na watawala wako, uwape Moyo wa kujinyenyekeza, wakati wanapanga Kujiongeza mishahara minono ya mamilioni, Baba Mungu wakumbuke kua Kuna watu wanapambana usiku kucha kwaajili ya Watanzania.

View attachment 2751793
The hustle is real
 
Malipo ya wabunge ni rushwa iliyowekwa indirectly ili kuwalainisha wapitishe ajenda za watawala.
 
Daah andiko gumu hili, hongera na pole kaka.

Kama kawaida yako ukimakiza ukajipongeze na mrembo mkali hahaha mzee wa kitafuna
 
Eehh Mwenyezi Mungu uendelee Kuwatia Nguvu Madaktari, Wauguzi na Wafanya kazi wote wa Kada hiii, Mungu Baba, kazi hiii ilikua yako, ila kwakua uko juu mbinguni, uliamua kutuchagua tuitendee hapa Duniani, Endelea kutulinda, tuepushie Magonjwa , Linda familia zetu, Muda huuu Wake na watoto Wetu tumewaacha Majumbani, Usalama wao uko mikononi mwao
AMINA, Mwenyezi Mungu azidi kuwabariki na kuwapa maarifa zaidi ya kuendelea kufanya kazi yake iliyotukuka, Pia awape hitaji la mioyo yenu.
 
Pole sana mtumishi… wanakuja business owners na kaka yao Mpwanyungu kukwambia nenda kajiajiri…

Wanakuja ndugu zao viongozi wasio wahadilifu kukwambia ukipata upenyo hamisha mikasi na gloves nyumbani.

Mie jobless sina usemi zaidi ya pole.
Haya madongo sasa🤣
 
Back
Top Bottom