je parle
JF-Expert Member
- Nov 28, 2018
- 2,022
- 3,919
Wanangu madaktar mnalipwa Hela ndogo sana na mnafanya kazi inayotumia akili kubwa na maarifa alafu kahela kenu ni kadogo tu.
Ila Kuna vijana huko manispaa na halmashauri form 4 tu wanaondoka na 200k kiulanini tena kwa siku . Kwa mikono ya rushwa na UPIGAJI
Madaktari waangaliwe kwa jicho zuri !!!!
Ndio maana wengi wanauza simu na kufungua maduka ya vifaa vya hospital kwa sababu washaona hospital sio MCHONGO tena