Ndo nimemaliza C-section ya 6, nimechoka akili na mwili. Halafu kuna Wanasiasa kwa mwezi wanakula 11 M na bado wanajiongezea mshahara 40%

Wanaolinda mipaka ya nchi nao hawaokoi roho za watu?
Ma Dr. Ni daile wako front kupigania roho za watu... sekta nyingine unaweza kuingia kazini,hadi unastaafu,haujawahi pigania nchi yako.Tulia mkuu.
 
Kwahiyo mipaka hailindwi kilasiku? Wanaoenda Congo kulinda amani au Dafuu, wengine hadi wanakufa, hawajapigana mpaka kustaafu?
 
Kwa Msioelewa, C-section ni Upasuaji wa kumzalisha Mama (kutoa mtoto/watoto) Kwa Kizazi kwa njia ya upasuaji.

Toka Nilipolala usiku wa kuamkia Jana, mpaka Leo sijalala yaani 24 hours bila kulala.

Kuweni na Huruma Enyi Viongozi, Hivi mtu toka saa Mbili usiku uko Chumba Cha Upasuaji , ukitumia Akili yote, Taaluma yote, kuhakikisha kwamba Mama na Mtoto wanatoka salama.

Hata Chakula nilokula Jana saa 12 jion, tumboni hakipo.

Tunafanya kazi kwelikweli, tunajituma mnoo bila kulala ,bila kupoteza muda, Akili na Mwili vyote vinachoka.

Hivi kweli kazi tunayoifanya inaendana na Mshahara Huu unaokatwa na unakatika haswaa ?. Na utu tuposho tudogodogo hivi?

Eehh Mwenyezi Mungu uendelee Kuwatia Nguvu Madaktari, Wauguzi na Wafanya kazi wote wa Kada hiii, Mungu Baba, kazi hiii ilikua yako, ila kwakua uko juu mbinguni, uliamua kutuchagua tuitendee hapa Duniani, Endelea kutulinda, tuepushie Magonjwa, linda familia zetu, Muda huuu Wake na watoto Wetu tumewaacha Majumbani, Usalama wao uko mikononi mwao.

Lakini Baba Mungu, embu nena na watawala wako, uwape Moyo wa kujinyenyekeza, wakati wanapanga Kujiongeza mishahara minono ya mamilioni, Baba Mungu wakumbuke kua Kuna watu wanapambana usiku kucha kwaajili ya Watanzania.

View attachment 2751793
madaktari wanatakiwa kupewa mshahara mkubwa sana, na wapewe masaa machache ya kufanya kazi ili wafanye kazi kwa usahihi bila kuingiliwa na usingizi au stress. matokeo yake pesa tumepeleka kwa wengine huko, doctor hana nafasi ya kupata safari, anazisikia tu, wakati taaluma zingine tena wamesoma miaka 3 tu wanasafiri muda wote, hela ya mshahara hawagusi. madaktari ni yeye na hospitali hospitali na yeye, asafiri aende wapi sasa, ndio maana hua wanafikia hadi wakati wanachukua rushwa kwa mgonjwa. kuna mwaka nilijichanganya nikatoa rushwa kwa doctor tshs.20,000 tu, aliipokea, nilijiuliza hivi hawa jamaa njaa gani hii? kiukweli, bila kupepesa macho, hawa ni watu wa muhimu katika dunia ila ingekuwa ni mapenzi yangu nisingependa mtoto wangu awe daktari. hapohapo nyenzo ni chache wapo exposed kwa magonjwa, dah.
 
Pole Sana mkuu...
Karibu tupige kisungura akili ikae sawa..
 
Unaweza kuona mshahara na malupulupu ya mlinzi wa BANDARI yanakuzidi mapato yako.
Mshahara 900k
House allowance 360k.
Transport allowance 200k
Overtime 600k
Misheni town (SIRI).
Bongo ni timing tu unatoboa.
Karibuni tulinde
kwahiyo hayo mapato ya milioni mbili bila safari ndio unaona kitu? wakati kuna mtu anapata laki tisa kwa mwezi bila marupurupu ila anasafiri na kupata karibia 4m kwa mwezi.
 
What I have learned from Africa is that all professional jobs are useless unless uhame nchi,mfano Mtz ukafanyw kazi UG u will make money ila ukiwa nchi uliosomea nakuzaliwa unaoenaka wakawaida sn. Dr fanya mpango nenda hata botswana malawi hutakosa kazi,nenda nchi iliotuzidi exchange rate after 5 to 10yrs utaona raha ya professional yako
 
kwahiyo hayo mapato ya milioni mbili bila safari ndio unaona kitu? wakati kuna mtu anapata laki tisa kwa mwezi bila marupurupu ila anasafiri na kupata karibia 4m kwa mwezi.
Ukisafiri pia uko kazini.
Si wote huko wanasafiri.
Nurse, doctor, mhudumu wanasafiri mara kwa mara?
Halafu binafsi kusafiri safiri kuiacha familia sipendi. Wenye kipato kidogo makazini ndio hufurahia safari
 
kwahiyo hayo mapato ya milioni mbili bila safari ndio unaona kitu? wakati kuna mtu anapata laki tisa kwa mwezi bila marupurupu ila anasafiri na kupata karibia 4m kwa mwezi.
Comparison is the thief of ur joy,,,,maisha ya kuishi kwa kujifananisha na mtu hayajawahi kumuacha ntu salama. Leo hii jobless unataman kupata kaz hata ya laki mbili kwa mwez,, ukipata unaanza kutaman kazi ya milion moja, ukiipata unaanza kutaman kazi ya milion 4, ukiipata unaanza kutaman mshahara wa waziri,, yaan haya maisha ukiwa mtu wa kujifananisha hakika hutokuja kupata furaha hata dakika moja!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
madaktari wanatakiwa kupewa mshahara mkubwa sana, na wapewe masaa machache ya kufanya kazi ili wafanye kazi kwa usahihi bila kuingiliwa na usingizi au stress. matokeo yake pesa tumepeleka kwa wengine huko, doctor hana nafasi ya kupata safari, anazisikia tu, wakati taaluma zingine tena wamesoma miaka 3 tu wanasafiri muda wote, hela ya mshahara hawagusi. madaktari ni yeye na hospitali hospitali na yeye, asafiri aende wapi sasa, ndio maana hua wanafikia hadi wakati wanachukua rushwa kwa mgonjwa. kuna mwaka nilijichanganya nikatoa rushwa kwa doctor tshs.20,000 tu, aliipokea, nilijiuliza hivi hawa jamaa njaa gani hii? kiukweli, bila kupepesa macho, hawa ni watu wa muhimu katika dunia ila ingekuwa ni mapenzi yangu nisingependa mtoto wangu awe daktari. hapohapo nyenzo ni chache wapo exposed kwa magonjwa, dah.
Nlipokua mdogo nlikua napenda kuwa daktar,, lakn baada ya kupata exposure kuhusu kaz yenyewe,, nshafyekelea mbali hlo wazo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Na Kuna kupandishwa madaraja pia, miaka mitatu au minne, mishahara itaongezeka, so udogo wa mishahara ni miaka ya mwanzo tu, ikipita miaka kuanzia minne tu, unaanza kupata unafuu.
Mnamwambia mwenzenu asubiri miaka mi3/4 mshahara upande wakati mbunge sku anayoanza tu kazi mshahara wake+posho ni mlima!;!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pole sana, nakuombea pia kuwakumbuka kwenye maombi. Kazi mnayofanya ni kubwa sana mbele za Muumba
 
Pole sana.
Hapo zaidi utapewa lawama tu ikitokea maternal death, hakuna anaeAppriciate kitu inachofanya.
Nadhauri: fanya mpango ukaongeze elimu, GP utapigika sana .
 
Nenda kairuki mtafute gyno mmoja anaitwa Dr kiswaga anafanya Cs 6 kwa masaa matatu au manne unalalamika nini sasa?
Huyu niwala kisu kikipita kinakata layer zote kwa wakati mmoja. Wife alifanyiwa for 4hrs km dr umesimama na akili mda wote iko bize inachosha. Kwa sababu pia ni life threatening procedure sabab mama ama mtoto anaezaondoka.huyo ndo hao huwa wanasahau mikasi tumboni
 
Back
Top Bottom