Wanaolinda mipaka ya nchi nao hawaokoi roho za watu?Kiukweli almost everyone is working hard, ila kuna hawa wanaookoa roho za watu ni lazima walindwe kwa wivu sana.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wanaolinda mipaka ya nchi nao hawaokoi roho za watu?Kiukweli almost everyone is working hard, ila kuna hawa wanaookoa roho za watu ni lazima walindwe kwa wivu sana.
Ma Dr. Ni daile wako front kupigania roho za watu... sekta nyingine unaweza kuingia kazini,hadi unastaafu,haujawahi pigania nchi yako.Tulia mkuu.Wanaolinda mipaka ya nchi nao hawaokoi roho za watu?
Kwahiyo mipaka hailindwi kilasiku? Wanaoenda Congo kulinda amani au Dafuu, wengine hadi wanakufa, hawajapigana mpaka kustaafu?Ma Dr. Ni daile wako front kupigania roho za watu... sekta nyingine unaweza kuingia kazini,hadi unastaafu,haujawahi pigania nchi yako.Tulia mkuu.
madaktari wanatakiwa kupewa mshahara mkubwa sana, na wapewe masaa machache ya kufanya kazi ili wafanye kazi kwa usahihi bila kuingiliwa na usingizi au stress. matokeo yake pesa tumepeleka kwa wengine huko, doctor hana nafasi ya kupata safari, anazisikia tu, wakati taaluma zingine tena wamesoma miaka 3 tu wanasafiri muda wote, hela ya mshahara hawagusi. madaktari ni yeye na hospitali hospitali na yeye, asafiri aende wapi sasa, ndio maana hua wanafikia hadi wakati wanachukua rushwa kwa mgonjwa. kuna mwaka nilijichanganya nikatoa rushwa kwa doctor tshs.20,000 tu, aliipokea, nilijiuliza hivi hawa jamaa njaa gani hii? kiukweli, bila kupepesa macho, hawa ni watu wa muhimu katika dunia ila ingekuwa ni mapenzi yangu nisingependa mtoto wangu awe daktari. hapohapo nyenzo ni chache wapo exposed kwa magonjwa, dah.Kwa Msioelewa, C-section ni Upasuaji wa kumzalisha Mama (kutoa mtoto/watoto) Kwa Kizazi kwa njia ya upasuaji.
Toka Nilipolala usiku wa kuamkia Jana, mpaka Leo sijalala yaani 24 hours bila kulala.
Kuweni na Huruma Enyi Viongozi, Hivi mtu toka saa Mbili usiku uko Chumba Cha Upasuaji , ukitumia Akili yote, Taaluma yote, kuhakikisha kwamba Mama na Mtoto wanatoka salama.
Hata Chakula nilokula Jana saa 12 jion, tumboni hakipo.
Tunafanya kazi kwelikweli, tunajituma mnoo bila kulala ,bila kupoteza muda, Akili na Mwili vyote vinachoka.
Hivi kweli kazi tunayoifanya inaendana na Mshahara Huu unaokatwa na unakatika haswaa ?. Na utu tuposho tudogodogo hivi?
Eehh Mwenyezi Mungu uendelee Kuwatia Nguvu Madaktari, Wauguzi na Wafanya kazi wote wa Kada hiii, Mungu Baba, kazi hiii ilikua yako, ila kwakua uko juu mbinguni, uliamua kutuchagua tuitendee hapa Duniani, Endelea kutulinda, tuepushie Magonjwa, linda familia zetu, Muda huuu Wake na watoto Wetu tumewaacha Majumbani, Usalama wao uko mikononi mwao.
Lakini Baba Mungu, embu nena na watawala wako, uwape Moyo wa kujinyenyekeza, wakati wanapanga Kujiongeza mishahara minono ya mamilioni, Baba Mungu wakumbuke kua Kuna watu wanapambana usiku kucha kwaajili ya Watanzania.
View attachment 2751793
Pole Sana mkuu...Kwa Msioelewa, C-section ni Upasuaji wa kumzalisha Mama (kutoa mtoto/watoto) Kwa Kizazi kwa njia ya upasuaji.
Toka Nilipolala usiku wa kuamkia Jana, mpaka Leo sijalala yaani 24 hours bila kulala.
Kuweni na Huruma Enyi Viongozi, Hivi mtu toka saa Mbili usiku uko Chumba Cha Upasuaji , ukitumia Akili yote, Taaluma yote, kuhakikisha kwamba Mama na Mtoto wanatoka salama.
Hata Chakula nilokula Jana saa 12 jion, tumboni hakipo.
Tunafanya kazi kwelikweli, tunajituma mnoo bila kulala ,bila kupoteza muda, Akili na Mwili vyote vinachoka.
Hivi kweli kazi tunayoifanya inaendana na Mshahara Huu unaokatwa na unakatika haswaa ?. Na utu tuposho tudogodogo hivi?
Eehh Mwenyezi Mungu uendelee Kuwatia Nguvu Madaktari, Wauguzi na Wafanya kazi wote wa Kada hiii, Mungu Baba, kazi hiii ilikua yako, ila kwakua uko juu mbinguni, uliamua kutuchagua tuitendee hapa Duniani, Endelea kutulinda, tuepushie Magonjwa, linda familia zetu, Muda huuu Wake na watoto Wetu tumewaacha Majumbani, Usalama wao uko mikononi mwao.
Lakini Baba Mungu, embu nena na watawala wako, uwape Moyo wa kujinyenyekeza, wakati wanapanga Kujiongeza mishahara minono ya mamilioni, Baba Mungu wakumbuke kua Kuna watu wanapambana usiku kucha kwaajili ya Watanzania.
View attachment 2751793
kwahiyo hayo mapato ya milioni mbili bila safari ndio unaona kitu? wakati kuna mtu anapata laki tisa kwa mwezi bila marupurupu ila anasafiri na kupata karibia 4m kwa mwezi.Unaweza kuona mshahara na malupulupu ya mlinzi wa BANDARI yanakuzidi mapato yako.
Mshahara 900k
House allowance 360k.
Transport allowance 200k
Overtime 600k
Misheni town (SIRI).
Bongo ni timing tu unatoboa.
Karibuni tulinde
Ukisafiri pia uko kazini.kwahiyo hayo mapato ya milioni mbili bila safari ndio unaona kitu? wakati kuna mtu anapata laki tisa kwa mwezi bila marupurupu ila anasafiri na kupata karibia 4m kwa mwezi.
Comparison is the thief of ur joy,,,,maisha ya kuishi kwa kujifananisha na mtu hayajawahi kumuacha ntu salama. Leo hii jobless unataman kupata kaz hata ya laki mbili kwa mwez,, ukipata unaanza kutaman kazi ya milion moja, ukiipata unaanza kutaman kazi ya milion 4, ukiipata unaanza kutaman mshahara wa waziri,, yaan haya maisha ukiwa mtu wa kujifananisha hakika hutokuja kupata furaha hata dakika moja!!!kwahiyo hayo mapato ya milioni mbili bila safari ndio unaona kitu? wakati kuna mtu anapata laki tisa kwa mwezi bila marupurupu ila anasafiri na kupata karibia 4m kwa mwezi.
Nlipokua mdogo nlikua napenda kuwa daktar,, lakn baada ya kupata exposure kuhusu kaz yenyewe,, nshafyekelea mbali hlo wazomadaktari wanatakiwa kupewa mshahara mkubwa sana, na wapewe masaa machache ya kufanya kazi ili wafanye kazi kwa usahihi bila kuingiliwa na usingizi au stress. matokeo yake pesa tumepeleka kwa wengine huko, doctor hana nafasi ya kupata safari, anazisikia tu, wakati taaluma zingine tena wamesoma miaka 3 tu wanasafiri muda wote, hela ya mshahara hawagusi. madaktari ni yeye na hospitali hospitali na yeye, asafiri aende wapi sasa, ndio maana hua wanafikia hadi wakati wanachukua rushwa kwa mgonjwa. kuna mwaka nilijichanganya nikatoa rushwa kwa doctor tshs.20,000 tu, aliipokea, nilijiuliza hivi hawa jamaa njaa gani hii? kiukweli, bila kupepesa macho, hawa ni watu wa muhimu katika dunia ila ingekuwa ni mapenzi yangu nisingependa mtoto wangu awe daktari. hapohapo nyenzo ni chache wapo exposed kwa magonjwa, dah.
Mnamwambia mwenzenu asubiri miaka mi3/4 mshahara upande wakati mbunge sku anayoanza tu kazi mshahara wake+posho ni mlima!;!!Na Kuna kupandishwa madaraja pia, miaka mitatu au minne, mishahara itaongezeka, so udogo wa mishahara ni miaka ya mwanzo tu, ikipita miaka kuanzia minne tu, unaanza kupata unafuu.
Zaman nkiwa shule kuna mwalimu aliachaga kazi ili akagombee udiwani. Nlipouliza why aache kaz nkajibiwa hvo. May be miongozo&kanuni za utumishi wa umma zimebadilika nowadays!!Sidhani kama ni kweli, chama unashiriki tu.
Nenda VETA mkuu huko ndo kuna helaHali ni tete! Jobless pro npo huku kijiweni nawachora tu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hongera kwa mapambano, tatizo ukishavaa nguo ya kijani, ni umevaa shida tupu.
Huyu niwala kisu kikipita kinakata layer zote kwa wakati mmoja. Wife alifanyiwa for 4hrs km dr umesimama na akili mda wote iko bize inachosha. Kwa sababu pia ni life threatening procedure sabab mama ama mtoto anaezaondoka.huyo ndo hao huwa wanasahau mikasi tumboniNenda kairuki mtafute gyno mmoja anaitwa Dr kiswaga anafanya Cs 6 kwa masaa matatu au manne unalalamika nini sasa?