Ndo nimemaliza C-section ya 6, nimechoka akili na mwili. Halafu kuna Wanasiasa kwa mwezi wanakula 11 M na bado wanajiongezea mshahara 40%

Vyeo vya kisiasa sio vya kiutumishi na haviko Chini Utumishi.

Vyeo vya kisiasa NI vya uwakilishi hivyo kila mtu achague mwenyewe kwenda kuwatumikia wananchi au kuwa mwakilishi Tu.

Ukiwa unatumikia wananchi usitarajie kulipwa interms of cash
 
Mkuu kwa nchi yetu kazi za Afya, Ualimu na Polisi ni kazi za Wito! Zinahitaji uwe Mpole tu kama Padre! Na kumtegemea Mungu.
Vinginevyo Mkuu kwa kada yetu kama huna imani, utaangukia kwenye majaribu ya kuchukua CCD ili kujikim na maisha!
Mungu atusaidie.
 
Nilipokuwa shule huko watu walikuwa wanaupenda sana udaktari. Wanasema hivi:-
1. Dr wa operation analipwa kwa muda aliotumia kuoperate. Sasa wewe hizo operation 6 sequential umelipwa how much per operation per time taken eventual how much altogether?

2. Umebobea/bingwa/specialist?
Hapa mbezi beach neighbourhood ninayoishi kulikuwa na open space portion 4 zote wamebeba medical personnel (Mhimbili, (OBG mwingine ICU specialist, pharmacist mwingine cjajua ila ni MD MMed)) so how can you complain? wenzako hawa look like wametoboa ila cjawahi kuwaonea wivu na profession zao na sio kama siwezi kuingia huko infact nilizinguana na watu wangu wengi sana waliotaka nifanye MD.

Carlos The Jackal Usher-smith MD
 

C-Section ni Incision n Drainage iliyochangamka, acha kulalamika, piga kazi.
 
Ufanye operation 10 au usifanye, malipo ni yale yale kwa call.
 
Sisi tunaowaminya haki zenu tunapokuja huko kutibiwa fanyeni yale ya killing me softly.....

Mtupunguzie gundu mitaani.
 
Kuna moja ilipokea hapa mwezi wa 5.
Specialist kala ban miaka 2
Registra mmoja kala ban mwaka 1
Registra mwingine kashitakiwa [emoji26]
Kuna moja ilipokea hapa mwezi wa 5.
Specialist kala ban miaka 2
Registra mmoja kala ban mwaka 1
Registra mwingine kashitakiwa [emoji26]
Hatari sana mkuu,pole sana kwao, sometimes unakuta ni sabab zisizozuilika
 
Viongozi aote huwa na ndoto kama hizo kabla hawajapata madaraka,wakishapata madaraka wakija kwenye uhalisia sasa wanakuta mapato hayatoshi kulipa kama walivyodhania
 
Hongera
 
Viongozi aote huwa na ndoto kama hizo kabla hawajapata madaraka,wakishapata madaraka wakija kwenye uhalisia sasa wanakuta mapato hayatoshi kulipa kama walivyodhania
Sioti nina uhakika, nimeishi hayo maisha nayajua, nimekaa nje za nchi za waliowndelea nimeona vitu ambavyo vimewafanya wapige hatua moja wapo ni kuwajalinma Dakitari, walemavu etc. Hiki nilichoandika nina uhakika nacho! Medical Dooctor hatakiwa kufikiria kitu kingine zaidi ya kuhudumia wagonjwa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…