Ndoa hazivunjiki kwasababu ya kuoa mke bikira ila kwa kuchunguzana au kupelelezana period

Etugrul Bey

JF-Expert Member
Joined
Aug 6, 2020
Posts
6,514
Reaction score
15,247
Huu uzi naundika mahususi kwa kwasababu ya mdau mmoja ambaye anatupigia sana makelele hapa jukwaani kuhusiana na mwanamke bikira,kwa mtazamo wake anaona mwanamke bikira ndio sababu ya utengamano wa ndoa kitu ambacho si kweli kwa asilimia mia moja

Kwanza ieleweke sio kwamba hatupendi wanawake wajitunze mpaka siku ya ndoa laa! Tunapenda sana na kila mzazi angependa mabinti zake waolewe katika hali hiyo na hii inawezekana kama jamii ikiweka sana mkazo katika elimu ya dini na mila na desturi zikilindwa.

Mfano Lesotho sasa hivi kila mwaka wanafanya sherehe za kuwatunuku vyeti mabinti ambao wako bikira ambao wametimiza miaka 25,wanapimwa na kupewa vyeti rasmi,kwahiyo kumbe haya yakifanywa katika jamii inawezekana kabisa

Sasa tuje upande wa pili wa shilingi,kuoa mwanamke bikra hakukupi asilimia mia moja kwamba huyo mwenza wako atakuwa mwaminifu kwa asilimia mia,na hii ni kutokana na mfumo wa maisha ambao tunao sasa,hii sayansi na tekinolojia imekuja na faida na hasara zake

Vishawishi ni vingi mno huko mitandaoni,mambo ya chumbani sasa hivi yapo mitandaoni kwahiyo watu hupenda kujaribu mambo mapya,kwahiyo hata huyo bikira wako nae hajapona juu ya hili,maana naye anashawishiwa kula muogo wa shamba moja kila siku huchoki ebu jaribu bwana muhogo wa jang'ombe,je hapo hajaliwa?

Huko nyuma sio kwamba mababu zetu pamoja na kuoa mabikira sio kwamba hawaja chapiwa laa! Ila hakukuwa na nyenzo za kuchunguzana na kukamatana haraka kwakuwa mpaka umjue mgoni wako basi ufanye kazi kweli

Istoshe wazee wetu walijua haya mambo yapo lkn walijitahidi kadri ya uwezo wao kuepusha ndoa kuvunjika,wazee wakirudi nyumbani kutoka safari,basi hawaendi makwao moja kwa moja ila watatuma mtoto wa jirani apeleke koti nyumbani ikiwa na ishara kwamba amerudi,hivyo kama hapo kwake kuna sintofaahamu yoyote basi asiikute,naam ndio maana waliishi kwa amani na starehe

Sisi karne hii hizi simu ndio mvunjaji wa kwanza wa ndoa zetu,siku hizi tunafumaniana kupitia meseji,halafu cha ajabu eti meseji ndio inavunja ndoa,hivi tupo serious kweli? Yaan umetumia gharama kubwa kuoa,kumchagua mchumba,kumhudumia halafu siku moja tu inaingia meseji halafu ndoa inakuwa hakuna tena,ni aibu kubwa

Hivi kama tukiacha kuchunguzana katika simu unafikiri ndoa hazitadumu? Kwa maono yangu kuna sababu nyingi sana za watu kuchepuka,ukosefu wa mapenzi,kutopeana mda kumfanya mwenzio kuwa mpweke na hakuna kitu kibaya kama kuwa mpweke katika ndoa,kutokuwepo kwa maelewano na ugomvi kila mara,kutopeana haki ya tendo la ndoa na mambo kadha wa kadha

Kwahiyo tusijidanganye kuchepuka kutakuwepo tu iwe umeoa bikra au sio bikra,na bikra mzuri ni yule ambaye amejitunza mpaka ndoa,kama ulimtoa bikra kabla ya ndoa wala usijisifu kwakuwa sio mcha mungu,ni mcha mungu pekee ndio ana nafasi kubwa ya kutochepuka kwakuwa ana hofu ya Mungu,lakini bikra yake sio dhamana ya uaminifu wake,ingawa kidogo ana uhafadhali

Ukitaka kudumu katika ndoa mheshimiane yaani msitengenezeane mazingira ya kuwa na mashaka,muaminiane hiyo ndio silaha kubwa sana,mkiaminiana hata kuwekeana soft ware za kuchunguzana hamtafanya,ila mkitaka kuachana fasta endekezeni kupekuana simu zenu na kuwekeana hizo soft ware zenu nipo pale nawazoom mtaendelea kulialia mpaka kiama

Ni hayo tu!
 
kuna harakati inasambaa sana mitandaoni siku hizi, inaitwa red pill

ni mambo ya wazungu wazungu

vijana wa kiume wanafundishwa kuchukia wanawake, wanashawishiwa kwamba chanzo kikubwa cha matatizo yao ni wanawake

tuseme ni kama feminism, lakini kwa wanaume

sasa vijana wengi wanatizama haya maudhui kwenye simu janja zao

nadhani ndo chanzo cha kero unayoizungumzia vijana humu kuwa walalamishi sana
 
kuna harakati inasambaa sana mitandaoni siku hizi, inaitwa red pill

ni mambo ya wazungu wazungu

vijana wa kiume wanafundiahwa kuchukia wanawake, wanashawishiwa kwamba chanzo kikubwa cha matatizo yao ni wanawake

Boss unapoint inabidi usikilizwe naona ndio harakati inayofanywa sasa hivi hapa ulimwenguni

Maana sasa tunaambiwa tuoe mabikra kwa maana nyingine namna fulani ya kukandamiza taasisi ya ndoa

Tuliko fikia inabidi akili kichwani kwetu
 
Thamani ya mwanaume na thamani ya mwanamke inapimwa kwa vigezo tofauti. Thamani ya mwanaume ni mali na thamani ya mwanamke ni mwili wake.

Tangu enzi na enzi suala la body counts sio ishu kwa mwanaume lakini upande wa mwanamke ni tatizo kubwa sana kwenye mchakato wa kuolewa. Hivyo hivyo suala la umasikini sio ishu kwa mwanamke lakini upande wa mwanaume ni jambo linalozingatiwa sana linapokuja suala la kuoa.

Kimila na kidini mwanamke ambae sio bikira wakati hajaolewa anatambulika kama malaya. Katika dini imeamliwa mwanamke uyo apigwe mawe mpaka kufa na kimila mwanamke uyo haolewi na anatengwa na jamii.

Tatizo tupo katika kizazi cha vijana masimp kama wewe ambao mmezidiwa akili na wanawake. Mmekubali kuzishusha standards zenu mbele ya wanawake.
 
Haya mambo ya ndoa hayana formula mkuu. Ndio maana hakuna chuo cha kufundishwa jinsi ya kuishi na mwanamke.

Ni sawa na Mimi ndoa yangu ilivyo fungwa na father asiye wahi kuwa na mke na akatusihi. Tukizinguana tukimbilie kwakwe akatupe ushauri.

Kwakweli kazi ipo
FB_IMG_1729332781854.jpg
 
Hata Serikali yenyewe inachunguza raia wake kivipi Mume ashauriwe asimchunguze mkewe au vice versa ?

Kama mtu unamlisha unamtunza mnalala wote kitanda kimoja kivipi usimfatilie ? Je kama anampango wa kukuua

Hii dunia usiamini yoyote... nitolee mfano tu, Wa Samson wa kwenye biblia kama angemchunguza Delila basi yamkini yasingemkuta yaliyomkuta.
 
Thamani ya mwanaume na thamani ya mwanamke inapimwa kwa vigezo tofauti. Thamani ya mwanaume ni mali na thamani ya mwanamke ni mwili wake.

Tangu enzi na enzi suala la body counts sio ishu kwa mwanaume lakini upande wa mwanamke ni tatizo kubwa sana kwenye mchakato wa kuolewa. Hivyo hivyo suala la umasikini sio ishu kwa mwanamke lakini upande wa mwanaume ni jambo linalozingatiwa sana linapokuja suala la kuoa.

Kimila na kidini mwanamke ambae sio bikira wakati hajaolewa anatambulika kama malaya. Katika dini imeamliwa mwanamke uyo apigwe mawe mpaka kufa na kimila mwanamke uyo haolewi na anatengwa na jamii.

Tatizo tupo katika kizazi cha vijana masimp kama wewe ambao mmezidiwa akili na wanawake. Mmekubali kuzishusha standards zenu mbele ya wanawake.
Kwanza ngoja nikuweke sawa linapokuja swala la kuzini jinsia zote zina hadhi sawa ndio maana kwa mujibu wa dini ya kiislamu mzinifu wa kike na wakiume ambao hawajaoana wote wanapigwa bakora mia moja

Na ikiwa wote wapo katika ndoa na.wamezini wanapigwa mawe mpaka kufa,sasa huenda uliona mwanamke mwenye ndoa kazini na mwanaume asiye katika ndoa,hapo mwanamke atawajibika kwa adhabu ya kuuwawa kwakuwa yeye ni mwanandoa

Ishu hapa ni bikira na uaminifu katika ndoa na sio sijui thamani ya mwanaume ni mali na.pesa noooo!
 
Kwanini kuchunguzana huko ni kwa kutoamiana tu,wengi wetu tunao angali hatuamini na shida inaanzia hapa
 
Thamani ya mwanaume na thamani ya mwanamke inapimwa kwa vigezo tofauti. Thamani ya mwanaume ni mali na thamani ya mwanamke ni mwili wake.

Tangu enzi na enzi suala la body counts sio ishu kwa mwanaume lakini upande wa mwanamke ni tatizo kubwa sana kwenye mchakato wa kuolewa. Hivyo hivyo suala la umasikini sio ishu kwa mwanamke lakini upande wa mwanaume ni jambo linalozingatiwa sana linapokuja suala la kuoa.

Kimila na kidini mwanamke ambae sio bikira wakati hajaolewa anatambulika kama malaya. Katika dini imeamliwa mwanamke uyo apigwe mawe mpaka kufa na kimila mwanamke uyo haolewi na anatengwa na jamii.

Tatizo tupo katika kizazi cha vijana masimp kama wewe ambao mmezidiwa akili na wanawake. Mmekubali kuzishusha standards zenu mbele ya wanawake.
Je kama binti alibakwa inamaana asiolewe kwa sababu alibakwa? Hoja yako ni muflisi. Angalia angle zote katika maisha. Kuna mambo yanatokea Involuntary/Voluntary!! Hivyo basi unataka kusema Mabinti yaliowakuta wasiolewe wakati wanaosababisha hayo ni sisi wanaume wenyewe!!
 
Boss hawa wanazingua sana ujue,kuna vibinti maskini kutokana na kazi ngumu bikra zinatoka,wengine kama hivyo kubakwa kama ulivyosema hlf wanatokea wapuuzi fulani wanavunja heshima ya hawa viumbe
 
kuna harakati inasambaa sana mitandaoni siku hizi, inaitwa red pill

ni mambo ya wazungu wazungu

vijana wa kiume wanafundiahwa kuchukia wanawake, wanashawishiwa kwamba chanzo kikubwa cha matatizo yao ni wanawake

tuseme ni kama feminism, lakini kwa wanaume

sasa vijana wengi wanatizama haya maudhui kwenye simu janja zao

nadhani ndo chanzo cha kero unayoizungumzia vijana humu kuwa walalamishi sana
The red pill men. Sio wanaume kweli, wapo busy kushindana na wanawake. Wanajidai wanaume wa shoka wakidai wanataka wanawake wenye haiba ya kike wakati hawapo tayari yaani they don't have what it takes kuishi na mwanamke wa aina hiyo
 
Tunapoelekea ni kubaya zaidi, inaonekana wengi kwa kukimbia majukumu yao watakuwa tayari watimiziwe wao badala ya wao wayatimize kwa wanawake!!
 
Thamani ya mwanaume na thamani ya mwanamke inapimwa kwa vigezo tofauti. Thamani ya mwanaume ni mali na thamani ya mwanamke ni mwili wake.

Tangu enzi na enzi suala la body counts sio ishu kwa mwanaume lakini upande wa mwanamke ni tatizo kubwa sana kwenye mchakato wa kuolewa. Hivyo hivyo suala la umasikini sio ishu kwa mwanamke lakini upande wa mwanaume ni jambo linalozingatiwa sana linapokuja suala la kuoa.

Kimila na kidini mwanamke ambae sio bikira wakati hajaolewa anatambulika kama malaya. Katika dini imeamliwa mwanamke uyo apigwe mawe mpaka kufa na kimila mwanamke uyo haolewi na anatengwa na jamii.

Tatizo tupo katika kizazi cha vijana masimp kama wewe ambao mmezidiwa akili na wanawake. Mmekubali kuzishusha standards zenu mbele ya wanawake.
umesema vema
 
Kwanza ngoja nikuweke sawa linapokuja swala la kuzini jinsia zote zina hadhi sawa ndio maana kwa mujibu wa dini ya kiislamu mzinifu wa kike na wakiume ambao hawajaoana wote wanapigwa bakora mia moja

Na ikiwa wote wapo katika ndoa na.wamezini wanapigwa mawe mpaka kufa,sasa huenda uliona mwanamke mwenye ndoa kazini na mwanaume asiye katika ndoa,hapo mwanamke atawajibika kwa adhabu ya kuuwawa kwakuwa yeye ni mwanandoa

Ishu hapa ni bikira na uaminifu katika ndoa na sio sijui thamani ya mwanaume ni mali na.pesa noooo!
Mnataka kufanya mambo yawe magumu tu lakini ni suala ambalo lipo wazi kabisa. Tuachane na mambo ya kiimani hata kisaikolojia mchakato wa kutengeneza chemistry na mwanamke ambae kichwani ana flashback ya wanaume waliomtomba hauwezi kulinganisha na mwanamke ambae wewe ndie wa kwanza, na hapo inapokosekana iyo chemistry ndipo instict ya kucheat inapoanzia.
 
Upo sahih mkuu, mi hujiuliza kama bikra ndo hudumisha mahusiano why wanawake hawadumu na wanaowatoa bikra?
Hawaolewi na wanaowatoa bikira kwasabau wengi huwa wanatolewa bikira na vijana ambao bado hawana uwezo wa kutunza familia, in most cases huwa ni wanafunzi wenzao pale miaka ya std 6 and 7 mpaka miaka ya olevel.

Tuwafundishe mabinti na wadogo zetu wa kike kujitunza na kuwaelekeza kwamba kijana ambae bado hawezi kujitegemea hawezi kukuoa pia, kuliko kuwapa uhuru wa kufanya ngono kwa kigezo kwamba bikira sio ishu linapokuja suala la kuolewa.

Binafsi naunga mkono hii kampeni ya kuoa bikira kwa sababu itawafanya wanawake kuwa accountable na ku-face consequencies za maamuzi yao kotu ambacho kitaamsha fikra za kizazi kijacho cha mabinti na kutambua kwamba wanatakiwa kujitunza.
 
Back
Top Bottom